🔴LIVE : RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA EDGAR 06 - 17 JUNE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 чер 2024
  • 🔴LIVE : RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA EDGAR 06 - 17 JUNE
    -
    Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9
    Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
    -
    Follow Us On:
    INSTAGRAM:
    Efmtanzania:
    TWITTER:
    Efmtanzania
    FACEBOOK:
    Efmtanzania:

КОМЕНТАРІ • 33

  • @claramboya2018
    @claramboya2018 Місяць тому +4

    Saa nyingine tujifuze kutii kauli za wazazi wetu😢pole sana teacher eddiga

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 Місяць тому +3

    Aisee pole sana eddiga watu wajifunze kauli za wazazi nimuhimu kuzifata ili kulinda amani yako

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 Місяць тому

      Tukisoma hatuamini tunayoambiwa na wazazi. Hilo ndo tatizo.

  • @HappyShirima-rb1jx
    @HappyShirima-rb1jx Місяць тому +2

    Siyo kila mfungwa ana hatia jmn dah

  • @fatumakyengya45
    @fatumakyengya45 Місяць тому

    Pole sanaaa Mwl Edgar

  • @hadija_makange
    @hadija_makange Місяць тому +1

    Daaah 🥹🥹nimeumia sana wallahy

  • @user-vt1qw4lo9i
    @user-vt1qw4lo9i Місяць тому

    Mimi mwenyewe nimeshawahi kusingiziwa kama hivyo pole Mungu amesha kuvusha.

  • @BeenRdBenson
    @BeenRdBenson Місяць тому +1

    daaaa Veronica upewe maua yako

  • @user-uu6ei1ys3k
    @user-uu6ei1ys3k Місяць тому

    💔💔💔💔😭😭😭😭😭😭

  • @iantussa9064
    @iantussa9064 Місяць тому

    Duh!

  • @officialromyg232
    @officialromyg232 Місяць тому

    Hello me nipo mwanza nisaidie ni namba ngapi 91.3imegoma kushika

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 Місяць тому +2

    Sisi kizazi hiki tunajifanya wasomi na wa kisasa kiasi cha kutosikia tukionywa haya ndo matokea yake. Labda wangemwambia Edgar kuna laana kwa mkewe labda angetafuta ufumbuzi

    • @user-ei2ud7gh5h
      @user-ei2ud7gh5h 24 дні тому

      Hapana asingehangaika kutafua maana mtu akisoma sana 😂😂msomi et hawaaminigi uchawiii nyiee urogo upo 😢😢 ila wanaelewaga wakishapigwa na matukioo moja baada ya jingine akiri inanza kumrejea

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 Місяць тому

    Asiyesikia la mkuu,huvunjija guu Edgar

  • @MwanaishaHussein-di2ty
    @MwanaishaHussein-di2ty Місяць тому +1

    Hii stori niliwahi kuisikia tena mwisho ataitwa mchawi

  • @zayabdala-ky9dg
    @zayabdala-ky9dg Місяць тому +3

    Nimewahi Leo nipeni maua yangu 😅🎉

  • @jamesmrina1510
    @jamesmrina1510 Місяць тому +1

    Mbona simulizi ya saa nne ma nusu haipo huku na ile simulizi ya saa tano kamili

  • @PetrolNgeleja
    @PetrolNgeleja Місяць тому

    Za

  • @user-vd2zg1fe5g
    @user-vd2zg1fe5g Місяць тому

    Mmmh nadhani kuna namna hapo siyo bure,labda Edgar alishatembea na huyo binti,sasa akaamua kumpotezea hivyo

    • @GloryKiongos
      @GloryKiongos Місяць тому

      Ivi wewe upo sawa kiakili😮

    • @yusterwilliam6048
      @yusterwilliam6048 Місяць тому

      Mmmh kuna watu ni wagumu kuelewa aisee kama umesikiliza kuanzia epsd 1 usingesema hivi

  • @abdulabasi3333
    @abdulabasi3333 Місяць тому

    Wajamen huku Mwanza hatuwapati kabisa tangu wiki jana

  • @user-jo5ig8ww1b
    @user-jo5ig8ww1b Місяць тому

    Mtihani saaana 😢😢😢😢😢