"Nyakati zinabadilika ... watu tunabadilika ... mazingira yanabadilika ..." Unaweza kuwa sahihi sana lakini MABADILIKO YA KIJAMII ni jambo la kuzingatiwa.
Wakati mwingine inakulazimu kuendana na mabadiliko. Ila mke mwenye kujitahidi ktk kuishi kwa kufuata maandiko ndo hustahili zaidi kuonyeshwa mapenz ya hali ya juu kabisa kwa kuwa naye mke anajua thamani ya mazuri afanyiwayo. Tofauti na mke Wa namna hiyo basi ni ngumu Kwa mwanamke kuthamini upendo wa hali ya juu kutoka kwa mmewe.
Mashallah napenda kukufuatila upo vizur saana kuelezea ki elimu khasaa yaani kiprofeshnal wala huchoshi mtu kukuskiliza ❤
Masha ALLAH 🎉🎉🎉❤
Maalim Hassan uko vizuri sana Allah akuzidishie
Masha_Allah kipindi kizuri sana. Nafurahi pia kuwa ni miongoni mwa wanafunzi waliosoma kwa Maalim Hassan
Yani kaka yangu na kukubali kwa kweli na fayidika kabisa allah akujaliye afya njema amin
Mashaaallah umeongea mann Kamil
MashaAllah, mungu akupe maisha marefu
Mashaallah nawafuatilia nikiwa Oman
Allah awalipe kher
Sana hongera zake mwalim Hassan 🎉
MWALIM. HASAN..MAASHAALLAH. UNAJUA UNAJUA TENA KUWASOMA BINAADAM❤
Anajuwa mpaka anakera,kwakwel apewe maua yake
Wallah umeongea sahihi kabisa
Assalamualaikum nakipenda sana kipindi hiki
kweli kabisa mwalim
Si wang hana kunikubali
Alihamdulilah ktk maelezo yote asimilia 90.kumi sina ukamilifu na 10 yakawaida tu ya kibinadamu
Swadakta
Tupo pamoja shehe Rashid na maalim Hassan tuna wapenda kwa ajil ya Allah hakika kipnd kuzur na tuaelimika
"Nyakati zinabadilika ... watu tunabadilika ... mazingira yanabadilika ..."
Unaweza kuwa sahihi sana lakini MABADILIKO YA KIJAMII ni jambo la kuzingatiwa.
Wakati mwingine inakulazimu kuendana na mabadiliko. Ila mke mwenye kujitahidi ktk kuishi kwa kufuata maandiko ndo hustahili zaidi kuonyeshwa mapenz ya hali ya juu kabisa kwa kuwa naye mke anajua thamani ya mazuri afanyiwayo. Tofauti na mke Wa namna hiyo basi ni ngumu Kwa mwanamke kuthamini upendo wa hali ya juu kutoka kwa mmewe.
Shikh naomb nmb yk ntk kuongea na ww faragha
Uyo mwny mamb ya kitoto ni mumewang mpk apelekeswe na wazaz wk