KATARAMA MZIGONI TENA, LATRA YATOA MAAGIZO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024
  • DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imeyafungulia mabasi sita kati ya 10 ya Kampuni ya Katarama kabla ya kufunga leseni ya usafirishaji kwa kosa la kuchezea mfumo mwendo mnamo Septemba 13 mwaka huu.
    Akizungumza leo jijini Dar es salaam kwenye Mkutano na waandishi wa Habari pamoja na Mmiliki wa Kampuni ya Karatama, Mkuu wa uhusiano na Mawasilano LATRA Salum Pazzy amesema mabasi hayo yaliyofunguliwa ni yale ambayo ukaguzi na uchunguzi umebaini kuwa hayakuwa yamechezewa mfumo.
    Follow us on:
    FACEBOOK;
    SpotiLeo: / spotileo-176. .
    HabariLeo: / habarileo
    DailyNews: / dailynewstz
    INSTAGRAM;
    HabariLeo: ....
    SpotiLeo: ....
    TWITTER;
    Twitter HabariLeo: Ha...

КОМЕНТАРІ • 3