Komando Koplo Ali Khamis Omary kutoka Tanzania, afunguka.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • Komando Koplo Ali Khamis Omary kutoka Tanzania aliyenusurika wakati wa mapambano na waasi huko katika misitu mizito ya DR Congo, kupitia mahojiano haya na Stella Swaumu Vuzo wa Unic Daressalaam TZ anasimulia kisa hicho kilivyotokea.

КОМЕНТАРІ • 378

  • @mohamedmbarouk7482
    @mohamedmbarouk7482 5 років тому +117

    mzee kapigwa risasi kafunga bandeji mguuni kaendekea na mapambano gonga like mzee twende sawa

  • @frankgeorge9371
    @frankgeorge9371 5 років тому +53

    makamanda wote tujuane apa like JWTZ

    • @ViceAdmiralVasilyArkhipov
      @ViceAdmiralVasilyArkhipov 7 місяців тому

      Ata ww Ni Komando?

    • @BarakaSagamba
      @BarakaSagamba 2 місяці тому

      ​@@ViceAdmiralVasilyArkhipovhuyo raia tu kama yeye ni komando muulize jina lengine la komando analoitwa usiangaike linaitwa CDO

  • @ckosmah21
    @ckosmah21 5 років тому +41

    Me jesh napenda,sana sem nd hvo tu cjui nianzie wapi bt uzalendo nao ni sehem ya jesh so mm n mzalendo pia respect to all soldiers

  • @msemwawalter837
    @msemwawalter837 5 років тому +24

    Wanasiasa:
    Kazi ndio hizi, mmezoea ngonjera.....
    Asante mpiganaji.

  • @user-lv9zw9em8c
    @user-lv9zw9em8c Рік тому +7

    Brother mungu akujalie afya jema utapona Kaka nakubali sana

  • @lucaschambika5437
    @lucaschambika5437 5 років тому +44

    komando wangu Mungu akulinde (nchi yako inakupenda sana )

  • @nestoryseleman1801
    @nestoryseleman1801 5 років тому +41

    Huyu jamaa ni komando kwahyo anapojib maswali hatoi taarifa za kiintelihensia salute sana

    • @abdulshaban4560
      @abdulshaban4560 5 років тому +2

      Sarut sana.

    • @CertifiedFriend
      @CertifiedFriend 5 років тому +1

      ukiangalia vizuri, utagundua 'anaongozwa' kwenye kile anachozungumza.

    • @kadoathuman6001
      @kadoathuman6001 5 років тому +1

      Kuna taarifa gani ya kiintelligensia uliyoiona hapo ktk maongezi?

    • @flova7022
      @flova7022 2 роки тому +1

      @@kadoathuman6001 tatizo hujaelewa...wewe ulienda jeshi

    • @Mwigaa95
      @Mwigaa95 4 місяці тому

      Siuna ona ana full mabawa begani

  • @jumahamis227
    @jumahamis227 5 років тому +41

    These are our modern heroes, blessings to that Malawian soldier who died bravely in fighting for peace.

  • @anthonyfaru9908
    @anthonyfaru9908 5 років тому +28

    Mwandishi amekutana na hali ambayo hakuitgemea jamaa kauzu sana, kapoteza dira mama WA WATU

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 5 років тому +30

    Daah yani komandoo huwa hawacheki yani jamaa serious balaaa

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 5 років тому +45

    Watu wanao toa uhai wao kwa ajili ya wengine hawata upoteza. Mungu daima yupo nao.

  • @erickmakundi5278
    @erickmakundi5278 5 років тому +18

    This soldier is real and honest he won't exaggerate any thing. Bravo.if it was Americans the stories would be different

  • @kdf1246
    @kdf1246 3 роки тому +9

    Alaf li harmonize linajiita jeshi,aje aone wajeshi wenyewe na hali halisi ya jeshi

  • @isaiahstadius2383
    @isaiahstadius2383 3 роки тому +4

    Kama umemuona kunguru mmbea kule nyuma like hapa.

  • @fabiannyambalya2616
    @fabiannyambalya2616 5 років тому +9

    Daah makomandoo bhana duuuh! Wanajeshi hawaruhusiwi kufuga ndevu lakini hawa makomandoo 🤙🏿🤙🏿🤙🏿 tyuuu

  • @patrickchima4101
    @patrickchima4101 5 років тому +29

    Mungu Mungu Mungu jamaaa kamtaja sana a real soldier recognize His presence

    • @leahezekiel281
      @leahezekiel281 5 років тому +1

      Mungu ni wa Majeshi

    • @Ndu-wa.uroony2
      @Ndu-wa.uroony2 4 роки тому +1

      Daah! Kweli leo askari amkiri Mungu japo majeshi ya dunia ni ya mataifa.

    • @RashidAli-mm1uo
      @RashidAli-mm1uo 3 роки тому +1

      @@Ndu-wa.uroony2 huyu mwanajeshi ni muislaam halafu ni mzanzibari kwaiyo hulka yake ipo palepale washazoea kumtanguliza Mungu kila mda wa mambo yao yao

  • @allymohamedmkiwa8573
    @allymohamedmkiwa8573 5 років тому +5

    Kz mnayo fanya ni ngumu sana mungu atawalinda makamanda wetu

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 3 роки тому +4

    Big Soldiers from Tanzania
    Big up commands

  • @williamnathan4630
    @williamnathan4630 Рік тому +1

    Hongera Sana , ningefurahi sana Kama ninyi mashujaa mngeandika historia zenu ktk vitabu na kuacha kumbukumbu kwa Jamii. Yale mliofanya yanajulikana , inaumiza kuona Kumbukumbu na matukio yaliyowasibu ktk KAZI hayawekwi. Mbona wale waliotumika ktk jeshi la South Africa (SADF), USA n.k Kila siku twasoma historia zao hata nyingine za kutumikia majeshi Yao kukandamiza na kupambana na wapigania uhuru , lakini wameweka Kumbukumbu zao!

  • @iketiinini966
    @iketiinini966 3 роки тому +5

    Mungu awabariki wanajeshi wetu.

  • @bilalbaker9238
    @bilalbaker9238 4 роки тому +1

    Mpiganaji A. K. Omar, Pole na matokeo katika ukamilishaji wa majukumu. ni mda mrefu tangu tokeo, lakini kumbukumbu hazi zeeki.
    Na Mungu Amlaze Pema komred kutoka Malawi. Kwani Mungu hulipa kwa nia ya Mtu. nae alikua na nia ya kuleta amani miongoni mwa Binaadam.

  • @masasawamasasa905
    @masasawamasasa905 5 років тому +20

    uko umoja wa mataifa wamejaa masnichi tu, jamaah anajibu short tu nicely ''kurinda amani ni kazi nzuri tu'' according to kaka komando🤐🤐🤐🤐💪

  • @mkemia_magege5816
    @mkemia_magege5816 5 років тому +12

    Hawa ndugu zetu bwana ni hatari sana na mtu hatari siku zote huwa hawana mambo mengi. Yani kwao uliza maswali au maneno buku, Majibu mafupi yenye maana milioni. Angekuwa Lisu hapo mwanasiasa, mamaaaaaa ungesikia na mambo mengine usiyotarajia. Atakawambia alipandwa juu ya mgogo na kifaru.

    • @davidkawiche8372
      @davidkawiche8372 5 років тому +1

      kuna askar wa aina nyingi ww ni askari wa wapi. au we ni askari mwanajeshi. JWTZ oyeeeee

    • @chrissymahunja5248
      @chrissymahunja5248 5 років тому

      Hahahahahahaha magege hahahahahaa eti alipandwa na kifaru mgongoni

    • @kigomakid74
      @kigomakid74 4 роки тому

      Hahaaaa

    • @fadhiliromwald
      @fadhiliromwald 2 роки тому

      😂

    • @HammyJey
      @HammyJey Місяць тому

      😂😂😂😂😂😂

  • @Mwigaa95
    @Mwigaa95 4 місяці тому

    Kweli mwamba ni kazi pia ni full komandoo maana na full mabawa begani 👏🏽👏🏽👏🏽👊🏽👊🏽👊🏽✊🏽✊🏽✊🏽😄😄

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 3 роки тому +1

    Safi sana Mashaallah amemshukuru Mungu means anamwambia Mungu. Hata Mungu anahimiza Amaan, Haki na kuabudiwa yeye pekee Mungu Allah. Uzushi wa imaan za Dini za uwongo, Viongozi/Watawala na raia wasomuamini/wasomchaMungu ndo kikwazo cha uvunjifu wa amaan duniani kwa tamaa za Mali, Madaraka, Vyeo, Umaarufu nk yakidunia. Dunia ninmapito na Starehe za muda!

  • @princesinko4073
    @princesinko4073 5 років тому +17

    Mie siwezi kumuuliza maswali sana maana jamaa anaonekana hana huruma na wala hacheki, lazima kwa sura hii maswali yapungue...huyo

  • @manonisita1302
    @manonisita1302 5 років тому +4

    Sura Ya Kazi......
    Nakubali sana Kaz hii

  • @levocatusgatu4295
    @levocatusgatu4295 5 років тому +6

    Saluuut ka zoteeeee yaaaan. Wenikomando Bila chengaaaaa

  • @georgenorasco6595
    @georgenorasco6595 3 роки тому +2

    Da unavyomhoji na anakujibu naumia moyo sana maana vita c mchezo, mungu a2saidie 2, maana eti vjana wenzetu Wa tz wabaomba vta et wakapgane da mnaijua vita? Eti mkipgana maisha yatakuwa mazr nan kawadanganyen, vtaikikolea askari wenyemafunzo na nyota zao makomando aseee hulia ktk uwanja Wa vita, si mchezo mungu atuepshe

  • @lusekelodaison8159
    @lusekelodaison8159 5 років тому +6

    Big up my real blood Brother

  • @edsonlaurencemwagamasasi9074
    @edsonlaurencemwagamasasi9074 5 років тому +23

    Utadumu sanaaaaaa komandooooo.... utadumu katika chombo....

  • @elisamehecharles5432
    @elisamehecharles5432 5 років тому +8

    Ogaaah! Huyu kweli ni soldier safi snaa nimemuelewa sana majibu ni short and clear na havijishi siri

  • @babusadala5732
    @babusadala5732 5 років тому +15

    Daaa jamaa yupo cool mweee.. 🤒🤒🤒🤒🤒

    • @zftv-zanzibarfantvtv5560
      @zftv-zanzibarfantvtv5560 5 років тому +1

      Wazungu wataendelea kutuulisha kina siku washajua waafrika hatu akili
      Hakuna was waasi ni watu ambao wanaandaliwa na Umoja wa mataifa na kupewa silah ili Nchi isiwe na aman wapate kichukua madini

  • @neemaibrahim2810
    @neemaibrahim2810 2 роки тому +4

    Mimi nilitamani sana kua Mwanajeshi lakini mitazamo ya familia yangu ilinikwamisha
    Natamani nipate Mume komando au Mwanajeshi takua nimeziishi ndoto zangu Kwa asilimia kadhaa

  • @selestinsongola2787
    @selestinsongola2787 3 роки тому +3

    Angekua msanii limaiki angekua anamsogezea had mdomoni

  • @fatmamati5246
    @fatmamati5246 9 місяців тому +1

    Allah awalinde na kuwapa nguvu wanajeshi wetu ameen

  • @kobajumakuziwa9976
    @kobajumakuziwa9976 5 років тому +10

    Huyu comandoo wa ukweli hacheki mpaka mwandishi anaogopa mashwali 😂😂

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 5 років тому +18

    Mtu akiwa komando huwa lazma sura yake iwe mda wote kaikunja au

  • @mr.content266
    @mr.content266 2 роки тому +3

    God bless Africa.

  • @lameckzakaria7773
    @lameckzakaria7773 3 роки тому +3

    Uyu ni full bawa yani complete komando

  • @simonnembomadola7512
    @simonnembomadola7512 5 років тому +8

    Na bado anasema kazi ni nzuri

  • @jimmymbella9912
    @jimmymbella9912 4 роки тому +5

    Pole Sana mkuu kazi ya Mungu haina makosa, pole kw jeraha ulilolipata ktk mguu wako Kaka ila Mungu atakupa uponyaji

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 5 років тому +16

    Nyie Vp’ huyo Sio Lisu au Ndugai ‘ aongee sana...!
    huyo ni COMBAT....MGUU WA SHINGO MGUU WA ROHO...!

    • @UzalendoNaUtu
      @UzalendoNaUtu 5 років тому +2

      Ismail Yusuph hahahah

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 5 років тому +2

      #AdrianLalika ....kabisa..!...si unajua KAMBINI hata ukigonga mti unalipa...!..Sisi hatuongeagi sana...!

  • @wilsonjohn1919
    @wilsonjohn1919 5 років тому +10

    Kweli wew komando

  • @datiusamani9767
    @datiusamani9767 5 років тому +2

    ###support UN ## support Peace ### support Tanzania.

  • @doctorzero-dj5xg
    @doctorzero-dj5xg 3 роки тому +4

    Kalibua maisha yote kwa sasa ni hatari tupu, siyo maisha ya jeshi tuu, tunaona wasafiri tu wanavyopata ajali mbaya na kufa na kujeruhiwa vibaya ! Kufo na ajali ni kilasehem

  • @muuibrahim1805
    @muuibrahim1805 14 днів тому

    Allah awabariki wanajeshi walinda Amani, reL recognize real oooossss

  • @detectivejeffrey6401
    @detectivejeffrey6401 5 років тому +17

    Hiyo sura tuu inaweza kumchinja mtu shingo.

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 3 дні тому

    Mungu awacmamie ktk yote 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @AceB4real
    @AceB4real 5 років тому +5

    Daaah mwana kanuna kinoma

  • @ismailsanifa
    @ismailsanifa 5 років тому +5

    Pole sanna

  • @mohamedbinfadhil1396
    @mohamedbinfadhil1396 5 років тому +17

    Sauti iko chini mwandishi na unahoji kwa woga sana

  • @selemanseed2476
    @selemanseed2476 5 років тому +26

    Kwa tuliowahi kukutana na huyu Afande tukae tu kimya kabisaa..🙏

  • @anoldbashube7746
    @anoldbashube7746 5 років тому +19

    saluuti soldier sema mwandishi anakuogopa usi mchenjie anauliza kwa woga

  • @m-tatu1050
    @m-tatu1050 Рік тому +1

    komandoo.... maneno macheche direct to the point kulingana swali bila kusahaua usiri mkubwa

  • @user-nz4ks3fc3y
    @user-nz4ks3fc3y 6 місяців тому +1

    cheki ndevu hizo ukijichanganya 😂😂😂😂😂😂huyu raia dooooh

  • @lujenjejr3628
    @lujenjejr3628 3 роки тому +2

    mwamba anajibu kijeshi yani short and Clear

    • @solomonpeter8843
      @solomonpeter8843 3 роки тому

      Ahahahhaa hatari jamaa anavyojibu ila Mungu azidi kuwa nanyi kwakweli

  • @rafikindugu4674
    @rafikindugu4674 5 років тому +7

    Mbona huyu muandishi anashindwa kuuliza, waasi ni wanani? Mahali mutu kafariki alafu watu wasifahami nani ao kundi la wanani limemuuwa?🤷‍♂️🤦‍♂️

  • @alphankilenga6209
    @alphankilenga6209 5 років тому +12

    mtu muhimu sana kwa taifa . hawa watu wapo wachache sana . komandoo sio mtu wa kumpeleka congo bna .ni matumiz mabaya . kwann msipeleke migambo jaman

  • @barakanatus5676
    @barakanatus5676 5 років тому +10

    muwe mnaangalia syo kila channel ya kucomment vibaya

  • @TFxClub
    @TFxClub 5 років тому +4

    Mwandishi mbona anauliza majibu ya tukio?au ana wasi wasi na sura ya kazi.

  • @erickzephania1030
    @erickzephania1030 5 років тому +4

    Saluti kamanda,

  • @fidurashidi5781
    @fidurashidi5781 3 роки тому +1

    Haina kona kona, straight forward

  • @037corgj7
    @037corgj7 5 років тому +7

    Mzee baaba hapo ni.ngumu.nyeusi anatamani haya huyo muandishi asepe mapema maana analeta nyeusinyeusi

  • @kingcobra9238
    @kingcobra9238 5 років тому +9

    Salute mwana familia

  • @briaynalleni4608
    @briaynalleni4608 4 роки тому +1

    daaaaaah amakweli mungu achaaitwe mungu?

  • @jobujohnson3052
    @jobujohnson3052 5 років тому +9

    Mbona kama kafuga mzuzu yani udevu au macho yangu

  • @brownkira1332
    @brownkira1332 5 років тому +5

    Sasa mbona huyu ana ndevu ana uchebe yani

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 5 років тому +5

    do!!! ukiwa komando huruhusiwi hata kutabasamu?

    • @ahamadikatapka833
      @ahamadikatapka833 5 років тому

      Seleman Kishema
      Gk

    • @anthonymkhae74
      @anthonymkhae74 5 років тому

      Alikuwaga nyumbani kwa muda mrefu wakati anauguza jeraha walivyoenda waandishi kumhoji ndio ikambidi avae sare maana hawezi kuhojiwa mambo ya kijeshi akiwa kiraia.

    • @samwelombeni6850
      @samwelombeni6850 5 років тому

      @@anthonymkhae74 nadhani itakuwa hivyo,

  • @stn4873
    @stn4873 5 років тому +10

    Ngome hapo...naskia Azana ya masjid maamur

    • @abdulrazakgwotta5561
      @abdulrazakgwotta5561 5 років тому +1

      Aaaaah hapa Upanga sio.

    • @ramsokhamis9262
      @ramsokhamis9262 5 років тому

      😀😀Nashukur kwa kupajuwaa mkubwa uko sahihi kabisaa...

    • @stn4873
      @stn4873 4 роки тому

      @@abdulrazakgwotta5561 yah

  • @wahidawahida6675
    @wahidawahida6675 5 років тому +10

    Upo smart kaka

  • @newforcejv9721
    @newforcejv9721 5 років тому +9

    We CPL Ally Omary kabla ya maongez Umemfanyaje hyo Dada mbona kashindwa Maswal nawewe

  • @wakatashombo2454
    @wakatashombo2454 5 років тому +29

    Kamanda anaongea kikarimu ila ana sura ya kazi

  • @Mubarak552
    @Mubarak552 5 років тому +6

    Nimesikia vibaya serikali na hasa Jeshi kumtoa mtu muhimu na mkubwa kama haya kupeleka Congo katika vita, mtu anaitwa Comando ni katika hazina kubwa za nchi jamani hatolewi hovyo, huyu aanatakiwa kutumika kwa maslahi ya nchi yetu pale ambapo tutavamiwa, lakini kumtoa hovyo hovyo Sasa ameshapigwa risasi ya mguu, ki ukweli imeniuma sana, nakumbuka jamaa nilipokutana nae akiwa na nguo za kiraia huwezi fikiria kama ni Comando........ Ukweli jambo hili limenisikitisha sana, KUMTOA MTU MUHIMU KAMA HUYU KUMPELEKA CONGO wakati vijana wengine wapo!!!!!!! Comando ni kwa matumizi ya nchi yetu

    • @abdulrazakgwotta5561
      @abdulrazakgwotta5561 5 років тому +1

      Kwani jamaa anaishi Moro sehemu gani?

    • @kadoathuman6001
      @kadoathuman6001 5 років тому

      Komando hazaliwi bali anatengenezwa,na ndio kazi aliyoomba so acha aitumikie hiyo kazi maana kuna wengine wanatengenezwa so usijali kijana

    • @Gavi_255
      @Gavi_255 5 років тому +1

      Lazima tutumie watu best ili wasife wengi ndio maana ya commando wewe amka

    • @jacobrehany3492
      @jacobrehany3492 5 років тому

      Kazi kazi

  • @mnegaamina6085
    @mnegaamina6085 3 роки тому +2

    Kamanda wetu pole sn

  • @nestrykipetha3761
    @nestrykipetha3761 3 роки тому +2

    Bbaby tuma na yakutolea

  • @ludovickndaki3761
    @ludovickndaki3761 5 років тому +13

    Duh waandishi wahabar kazi mnayo hamjui kua hatutoagi siri zajeshi sisi mtasubir sana solute sana kamanda najivuniaga watu kama nyinyi ad najiona ni meme

  • @abdulshaban4560
    @abdulshaban4560 5 років тому +2

    Sarut sana.

  • @tgeofrey
    @tgeofrey 5 років тому +6

    No revenge,,defensive Force, never offensive

  • @eliazarinyakiema1969
    @eliazarinyakiema1969 5 років тому +1

    Mh, huyu jamaa kweli komando,, mwandishi anatetemeka😂😂

  • @godfreymwaikeke1564
    @godfreymwaikeke1564 5 років тому +3

    Salute kwako na Jwtz vikosi vyote

  • @richardhaule8372
    @richardhaule8372 Рік тому +1

    Cku Moja ntakuw askar Kam wew

  • @joempenda400
    @joempenda400 5 років тому +6

    bawa

  • @lutenganocharles7194
    @lutenganocharles7194 3 роки тому

    Lkn nimekukubali Sana bro uko vzuli huo ndo uzalendo tunawategemea jeshi letu

  • @najma3268
    @najma3268 5 років тому +1

    Mungu awatanguli kwenye kaz zenu, lakin cjui kwa nn mtu hata awe mweupe vp akiingia jeshini lazima awe mweus

  • @aboubakarahmad234
    @aboubakarahmad234 3 роки тому +1

    Aah uyu Jamaa akikumata upo kweny uvunjifu waaman cjui atakufanyaje maana mmmmmh mshikaj achek

  • @alfalikongamwamba7511
    @alfalikongamwamba7511 Рік тому

    God bless you

  • @mrishorajabu1134
    @mrishorajabu1134 5 років тому +5

    Komando kauzu tiisha

  • @almasabbdi9176
    @almasabbdi9176 5 років тому +10

    Dah! Hawa jamaaaa ni sheedah, yn hapo alipo kavurugwa sheria ndevu jeshini marufuku lakini jamaaaa ana uchebe

    • @yusuphjuma4638
      @yusuphjuma4638 5 років тому

      Kumbe na wewe umeona

    • @kibebwaytz7413
      @kibebwaytz7413 5 років тому

      SPECIAL FORCE huyo ndevu wanaruhusu usikaririw

    • @saidomar6806
      @saidomar6806 4 роки тому

      Ndevu km kawaida shida sio ndevu shida jukumu linahitaj mazingira yepi. Acha komando wafanye kazi zao

    • @bilalbaker9238
      @bilalbaker9238 4 роки тому +1

      alikuwa hospital aliitwa kwa mahojiano tu, kwa hiyo alikuwa kaziweka tu. he is commandoo anywawa. hupaka hata matope usoni wachilia mbali ndevu.

  • @simonkapesa121
    @simonkapesa121 2 дні тому

    Komando toa sauti komando

  • @AliAli-xi3hu
    @AliAli-xi3hu 5 років тому +6

    Hakuna TPDF anaweza kumchukua majukumu ya msemaji wa jeshi

    • @othumanmaulid7406
      @othumanmaulid7406 5 років тому +2

      Ukiona hivo ka ruhusiwa sababu nimaswali yanayo muhusu kuumia kwake

    • @othumanmaulid7406
      @othumanmaulid7406 5 років тому +2

      Nikama unavo kuja kuhojiwa hospital

    • @mwasoprince3459
      @mwasoprince3459 5 років тому +3

      Huyu si kwamba ni msemaji wa jeshi, ila anahojiwa kuhusu maendeleo yake binafsi.

    • @hafidhimakele5489
      @hafidhimakele5489 5 років тому +1

      Kwakibali maalum

  • @abuusalha7736
    @abuusalha7736 5 років тому +5

    mbona huyu dada muoga hivyo

  • @dorisnyaoke277
    @dorisnyaoke277 5 років тому +4

    komando anafuga ndevu akiwa ndani ya gwanda na uyo kashachukua majukumu ya msemaji wa jeshi mej gaudence kapinga

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 5 років тому

      Huyo sio askari wa kawaida (special forces).. na wakati mwingine hutakiwa kufanana hata na adui .. wakati mwingine askari maalum huvaa vilemba wakati wako Afghanistan na maeneo mengine.. ili kuweza kuepa maadui .. hasa pale wanapojipenyeza nyuma ya ngoma za adui.. kwa ajili ya kutafuta taarifa za kijasusi..nk.

    • @rashtv8573
      @rashtv8573 5 років тому

      Doris Nyaoke CDO anaruhuxiwa kufuga ndevu bhana

    • @vehaelinatai8700
      @vehaelinatai8700 5 років тому

      wekwel mshamba wew ume nyoa

    • @rusakanyohenry6932
      @rusakanyohenry6932 5 років тому

      Ukipita Bila kukoment kwan kunashida?

  • @user-ho6ev8uh2r
    @user-ho6ev8uh2r 7 місяців тому

    Big up comondoo

  • @eliasjillanga3158
    @eliasjillanga3158 3 роки тому +1

    Jamaa anaongea kwa busara lakin ingia kwenye anga zake sasa utafrahi

  • @khamissaid3083
    @khamissaid3083 3 роки тому

    Bro mbona sura ngumu hivyoooo

  • @samwelkavwanga4491
    @samwelkavwanga4491 4 роки тому +1

    Safi sana mzalendo wetu

  • @elibarikielikana1824
    @elibarikielikana1824 5 років тому +1

    Nakibli soldier......
    Comando.......

  • @georgemahembe3538
    @georgemahembe3538 4 роки тому +1

    Nimekubali kk hakuna siasa apo kazi tu saruuuuuutttiii

  • @geraldjames8741
    @geraldjames8741 5 років тому

    Mwandishi ni huna akili sasa alipigwa risasi nawenzake? Jeshi jeshiiii kazi kazii nakuwahoji sio nzuri