MJI MKUU WA PEMBA NA UHALISIA WA RAMADHANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 54

  • @salehal-tewany4627
    @salehal-tewany4627 6 місяців тому +3

    Mashaallah nimefurahi sana kutizama hii video miaka mingi tena nipo mbali ya kisiwa chetu cha pemba ❤

  • @mohamedally4535
    @mohamedally4535 6 місяців тому +1

    ما شاء الله تبارك الرحمن وجزاك الله خير رمضان كريم وكل عام وأنتم بألف خير

  • @HalimaSalym-jl2ui
    @HalimaSalym-jl2ui 6 місяців тому +2

    Allah arujengee Wapemba atujengee Nyumba PEPONI ammyna. Maana kwa Duniani ndio ........

  • @AdmiringCorgi-rg5tj
    @AdmiringCorgi-rg5tj 6 місяців тому +2

    Sheikh Rashid Kengeja unakujua vizuri maana umeishi pale Mjiweni naijuwa hadi nyumba yenu

    • @alhudhaify7810
      @alhudhaify7810 6 місяців тому +1

      Yupo baba yake pale maarufu kwa mzaire 😂

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 6 місяців тому +1

    Mashallah home sweeety Home jaman😭😭😭😍 Seee you soon inshaallah 🤲💔Serekeal mtuangalie jaman Pemba yetu bado iko Nyuma kimaendelea mhhh😭😭😭hoi bintaaban

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 6 місяців тому +1

      Sio suala la serikal tukubal jamii nyengine zije ili mawazo mapya yazaliwe na fursa mpya zionekaneee, jamii ikikaliana hakuna mawazo mapya ya kimaendeleo yatakayo patikana ili mzunguko wa pesa uwepo lazima turuhusu muingiliano maana wageni ndo wanatumia hivyo tukubali kuchanganyika ili fursa na mawazo mapya ya kimaendeleo yapatikane

    • @princesaha3262
      @princesaha3262 6 місяців тому

      Tatizo ni fursa ni ndogo sana!! Na serikali imeitupa na wapemba wenyewe wameitupa,utakuta Kuna matajiri wengi huku bara lkn kwenda kuwekeza huko ni tatizo!! Na huo muingiliano si mzuri kwani hao ndyo wanaosababisha mabadiliko ya tabia kama vile ulevi,uzinzi n.k

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 6 місяців тому

      @@princesaha3262 sasa mbona wewe upo bara ? Ulevi ni mtu mwenyew ila wageni ndo wanaozungusha pesa kwa kufanya matumizi na matanuzi ... Mfano tajiri gani aje awekeze kwenye sekta ya usafir wakat watu tumezoea lifti mtu atoka wete, konde, au micheweni kwa kudoea lifti 🤣🤣🤣 kwa siku gari ya abiria mtu aweka elfu 7000/= acheni watu waje jamii yetu ifunguke akilia mawazo mapya na fursa mpya ziibuke tuache khofu , mbona sisi tunaenda unguja , mikoani pia Kwan hakuna mmong'onyoko wa maadili ? Hatuwez kuishi kwa kukaliana kiami Ami siku zote lazima tukubali kuwapokea watu wa jamii nyengine

  • @zenadaudzena2849
    @zenadaudzena2849 6 місяців тому +2

    Natamani nipate mume kutoka pemba 😊😊

  • @OmaryHamadi-hs2ew
    @OmaryHamadi-hs2ew 6 місяців тому +2

    Sisi wapemba wenyewe ndio tunaoiuwa Pemba yetu kwa kupenda kujenga mji ya watu na kuacha kwetu mbona hawa watu wa bara wanakuja kutafuta huku lkn utakuta mtu anawekeza kwao uko, kwnn na wao wasijenge huku

    • @princesaha3262
      @princesaha3262 6 місяців тому +1

      Ni kweli PBA watu tumeitupa sana!! Kwani Kuna matajiri wengi sana!! Lkn wote wamejenga huku Tanzania bara,kama kariakoo!!!

    • @jumaali7119
      @jumaali7119 6 місяців тому +1

      Hiyo ndio shida yetu

    • @princesaha3262
      @princesaha3262 6 місяців тому

      @@jumaali7119 ktk Kila Kona ya PBA hakukosi mtu au watu hawapunguwi utajiri ni zaidi ya milioni mia Tano!!

  • @khalifaal-sabahi2971
    @khalifaal-sabahi2971 6 місяців тому +1

    Tutolee sehemu ya Piki na Kipapo Chonga

  • @MussaMussa-v4x
    @MussaMussa-v4x 6 місяців тому

    Sheikh Rashid naomba uniunganishe na matajiri kujengewa madrasa.mimi ndio mwalimu muhusika.

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 6 місяців тому

    Mashaallah kuna mvua Allah awazidishie neema

  • @nassorali1605
    @nassorali1605 6 місяців тому +1

    Hhhhhh 😅😅😅😅 tumerogwa n serikali 😂😂😂😂

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 6 місяців тому +1

      Tunajiroga wenyew, hatutaki kuruhusu mawazo mapya wageni ndio wanao leta mawazo mapya na fikra mpya za kimaendeleo, ila jamii yetu ya kipemba haitaki wageni sio kutoka bara , Wala kutoka unguja tunataka tukae wenyewe tu tudumae kiakili na kimaendeleo ona , dar es salaam imejengwa kutoka na muingiliano wa wageni kutoa mikoa mingine wahaya , wachaga , wapemba , waunguja ... Hata unguja imefunguka kutokana na muingiliano wa wapemba , wahaya, wachaga, wamasai , wanyamwezi na mataifa ya kigeni .... South Africa imejengwa kutoka na muingiliano wa watu watanzania, wamalawi, wamsumbiji, wazungu , Uganda ila sisi hatutaki muingiliano kwetu ila sisi tunakwenda kuibua fursa sehem nyengine hivyo ni lazima watu kutoka sehem nyengine waje na mawazo mapya na fursa mpya za kimaendeleo.

  • @yahyasuleiman4024
    @yahyasuleiman4024 6 місяців тому +1

    Mm napenda mfike tibirinzi kiwacha cha kufurahishia watoto😊

    • @BimkubwaOthman
      @BimkubwaOthman 6 місяців тому

      Mtumeee tibirinzi jmn we Nani Mie mwenzio

  • @jumamkali8307
    @jumamkali8307 6 місяців тому +1

    Natamani tuoneshe maeneyo ya mtambwe kwass

  • @HussainAbdallaAli
    @HussainAbdallaAli 6 місяців тому +1

    Mashallah mm natamani mufike wambaa

    • @BimkubwaOthman
      @BimkubwaOthman 6 місяців тому

      Wawamba sehemu gani mwenzangu

    • @princesaha3262
      @princesaha3262 6 місяців тому

      Wambaa ipi?? Kwa Azan au Dale au

    • @princesaha3262
      @princesaha3262 6 місяців тому

      Kwa Azan,mialeni,kunguni,Kidutani,Delo,wambaa chini,kutukuu!! Hapo vipi?? Je uko wapi wewe???

  • @FatmaOmar-r1t
    @FatmaOmar-r1t 6 місяців тому +2

    Machomanne

  • @AdmiringCorgi-rg5tj
    @AdmiringCorgi-rg5tj 6 місяців тому +1

    Sasa kule Mwambe na Kengeja yake nazo muziangalie

  • @IssaIra-j9u
    @IssaIra-j9u 6 місяців тому

    Unajitafutia Kiki kwa wapenda Dunia wenzako

  • @FatmaOmar-r1t
    @FatmaOmar-r1t 6 місяців тому +1

    Mpaka wawi

  • @IssaIra-j9u
    @IssaIra-j9u 6 місяців тому

    Tafuta madrasa uzisaidie na Mayatima

  • @MustaphAbdi-x3k
    @MustaphAbdi-x3k 6 місяців тому +1

    Ivi serekali asa Rais ii hali ya pemba nd haiyon au vp au n muendelezo tu wa kukitenga kisiwa cha pemba km walivofanya maraisi waliopita

    • @princesaha3262
      @princesaha3262 6 місяців тому

      Tatzo Pemba ni wapenzani na sehemu zote zenye wapinzani Kwa serikali inakuwa serikali inawatenga!! Mpaka wao wenyewe wajikwamue!!!

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 6 місяців тому

      @@princesaha3262 sio serikali n cc wapemba wenyewe hatukutaki kwetu ,,,,,

  • @MussaMussa-v4x
    @MussaMussa-v4x 6 місяців тому

    Kwani huyu sheikh Rashid ni mzaliwa wapi?jmn

  • @abdallah2676
    @abdallah2676 6 місяців тому +1

    Mufike mkoani sokoni

  • @Habilamor
    @Habilamor 6 місяців тому +3

    Duh,inatia huruma Pemba watu wote washaihama,Yaani sisi wapemba sijui nani katuroga hatukai kwetu inasikitisha kwakweli

    • @nailamohd-wn6sb
      @nailamohd-wn6sb 6 місяців тому +4

      Yote hio inasababishwa na njaa hamna anaetaka kukimbia kwao hebu ije neema km hawatorudi

    • @MbaroukKhalifa
      @MbaroukKhalifa 6 місяців тому +1

      ​@@nailamohd-wn6sbnikwel kwabisa wote ambao tumetoka kwetu bx tumekuja kutafuta maisha ili wazazi wetu na familia zetu zijivunie sis kwaiy lzm tutoke mbali ili tujitafutie wallah Pemba yetu tumeikimbia kabisaa dah 😢😢😢

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 6 місяців тому +2

      Hakuna aliye rogwa ila ni ugumu wa maisha ulioandaliwa kwa makusudi eti Kuwatia adabu WaPemba kutokana misimamo ya kisiasa.Watawala wameitupa Pemba kwa kila uwanja wa maendeleo na hii imepeleka WaPemba kutafuta riziki nje ya Pemba.Lakini in shaa allah iko siku hayo yatakwisha na wenyewe watarudi.

    • @jumahamadomar9124
      @jumahamadomar9124 6 місяців тому +2

      Tupo na tunaishi hatujahama sote baadhi tu wamehama lakini fikra na mawazo yapo kwao,pia sio mbaya kuhama ni suna Mtume s.a.w alihama makka akahamia Madina aliporudi Maka alirudi na nguvu mpya InshaALLAH tuwe na subra baada ya dhiki faraja,wahenga walinena mtu hachumi kwao na ukweli umethibiti mfano matajiri wakubwa pale dar es lam sio wa asili ya pale bali ni watu kutoka different parts in tz hata unguja ndio hivyo,,,subra subra subra iko siku meza itageuka tu

    • @nailamohd-wn6sb
      @nailamohd-wn6sb 6 місяців тому

      @@ahmedalbalooshi8518 Ameen ya rabby