Kwa kweli hakuna kosa kubwa lililofanyika kama kumuweka Vuai Bungeni hivi ni nani alitekuwa na Cheo kama chake aliwekwa kwenye Bunge la Zanzibar aliyetoka Bara maajabu sanaaaa
Uko sahihi mafundisho hayana mwelekeo na Sera ya Taifa. Taifa lijikite kwenye kuweka mipango ya muda mrefu amabayo itaelekeza sera zote zilinge kuutekeleza mpango huo! Taifa hili linataka liwe la wajuzi wa mambo gan????
Huyu ndo mtu angalau akisimama kusema unajua kabisa anajua anachoongea Hakika Zanzibar inahazina kubwa saana ya viongozi naomba siku Moja uiongoze Zanzibar.
Wewe ni Professor katika mipango. Ukishindwa Kupanga vizuri basi Ulipanga Kushindwa!
Kauli hii aliizungumza Padre Dr. Kamugisha wa Bunazi hivyo Nahodha (sijui wa chombo kipi) kaibeba (c&p)
Kwa kweli hakuna kosa kubwa lililofanyika kama kumuweka Vuai Bungeni hivi ni nani alitekuwa na Cheo kama chake aliwekwa kwenye Bunge la Zanzibar aliyetoka Bara maajabu sanaaaa
Uko sahihi mafundisho hayana mwelekeo na Sera ya Taifa. Taifa lijikite kwenye kuweka mipango ya muda mrefu amabayo itaelekeza sera zote zilinge kuutekeleza mpango huo! Taifa hili linataka liwe la wajuzi wa mambo gan????
Huyu ndo mtu angalau akisimama kusema unajua kabisa anajua anachoongea
Hakika Zanzibar inahazina kubwa saana ya viongozi naomba siku Moja uiongoze Zanzibar.
Ndiyo maana alitia nia ya uraisi Zanzibar