JINSI YA KUPIKA MCHUZI WA NYAMA YA KUKU MTAMU SANA
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- MAHITAJI
Vipande Vya kuku mapaja 6
Mafuta 3 Tbsp
Pilipili kavu ya unga 1/2 tsp
Vitunguu 2
Tangawizi na kitunguu saumu 1 tbsp
Nyanya 1
Nyanya ya kop1 Tbsp
Binzari 1 tsp
Viungo vya curry 1 tsp
Kiungo Cha kuku au royco 1 1/2 tsp
Maggi cube au royco 1
Majani ya Bay 2
Chumvi 1/2 tsp
Maji 1 1/2 kikombe
Siagi 20 g
#mchuziwakuku #mapishiyamchuziwakuku #jinsiyakupikamchuziwakuku
Yummy ❤❤
Hongera sana ndg
Ndugu Asante sana