Ufunuo Choir - Uaminifu (Official Audio)
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Stream And Download Uaminifu Audio (Maisha yangu Alburm)Available on all Platforms
Boomplay:www.boomplay.c...
Audiomack:audiomack.com/...
Sportify:open.spotify.c...
Deezer:deezer.page.li...
Amazon Music:amazon.com/mus...
For Booking Contact Ufunuo Choir
Phone:+255684479638
Email: ufunuoc@gmail.com
Catch up with Ufunuo Choir on Social Media
Instagram: / ufunuo_gospel_choir
Tiktok:www.tiktok.com...
Boomplay:www.boomplay.com/albums/80176278?from=search&srModel=COPYLINK&srList=WEB
Audiomack:audiomack.com/ufunuo-choir/album/maisha-yangu
Sportify:open.spotify.com/album/4MLJ2eCUzfcrmwjSuLHfwd?si=AtXHMPTiTy28ZuivD-WEWw
Waoooooh hakika nyimbo zenu huwa zinatafakalisha mnahubili Sana kupitia uimbaji wenu Mungu wa mbinguni akubarikini sanaa Sana Sana ameni napenda Sana nyimbo zenu Mungu awatunze 🙏❤❤❤❤❤❤
Uaminifu ni kuthibitika katika haki wow ,ufunuo mko juu
Munaimba sana masolo wote muna sauti zuriii kila mtu ana sauti yake zuriii yakupendeza
Asante sana
Mungu awashike mkono na awatie nguvu.❤
Mungu Wa Mbinguni Awabariki Sana Watumishi Wa MUNGU Mwaminifu Ni Wimbo Uliyo Beba Ujumbe wa 2023 to 2024
Ufunuo choir viwango vyenu ni vya kimataifa mno. Yaani nimeisikiliza hii nyimbo kuanzia asubuhi mpaka usiku nazidi kubarikiwa bila kuchoka kusikiliza huu wimbo. Hakika tutakuwa waaminifu kwa Mungu.
muongo wewe
Nmeusikiliza huu wimbo zaidi ya mara 10,nabarikiwa mno masolo munaimba vizuri mno❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤,tunaomba video
❤❤
Kazi nzuri Mungu atukuzwe sana
Huu wimbo ni 🔥🔥🔥🔥,, sichoki kuurudia. Kiukweli kwaya hii imebarikiwa sana❤❤❤,, tuzidi kuwa waaminifu kwa Mungu ndipo tutaona baraka zikimiminika kwetu🎉🎉🎉
Huu wimbo umefanya nijitafakari sana. God bless
Kwaya Bora Tanzania nzima 👌
Mubalikiwe ❤
Amen 🙏
Kwaya bora zaidi Afrika ❤
Safi sana
❤❤Mungu azidi kuwabariki
Hakika tuwe waaminifu kwa Mungu wetu, naye atazidi kutubariki
Amen 🙏
Wah
my loyalty is shifting to ministry of this choir
Nimekuwa wa kwanza kuisikiliza Mungu awabariki sana kwa nyimbo nzuri
Amen 🙏
Waaminifu .....Mungu awabarikii
Amen 🙏
Nyimbo Nzuri snaaa
🙏
Amen
Uaminifu ni kuthibitik katika haki
🙏🙏🙏🙏
Naisikia sauti ya lenick huyu dada amebarikiwa mno
🙏🙏🙏🙏