N wakati mwingine tena tumekutana wapenzi wa Lucas chioma kaza moyo utayashinda mpenzi lazima uwe na V wako Timothy hana lolote kwako 😂😂😂 like zenu pls
❤❤oooh kaka lucas vp ten chioma wakati leo ni Edna jaman? Mimi nataka Roma lumbas minyanduo, et jaman tulio Tamani Edna piteni na like, Sito sits kusema ante maana umetujali🌹🌹🏃
Ni kweli hakuna maumivu yanayofanana na yakutengana na umpendae hata kwa muda mfupi,nakumbuka miaka 36 iliyopita nikisubiria uhamisho wa kumfuata kipenzi changu,japokuwa ilikuwa ni mwezi mmoja tu,hakika maumivu yake nayakumbuka hadi leo😁😁
Daaaah jaman simuliz nzur san mpaka nataman isiiishe maan tumejikuta tunaizoea san ety ila daaah enderea kutupa vitu vizuri zaidi ety kaka daaah thenks ❤❤❤
@@lareineminah1353Dah! Jamani Mbona Ni Mimi Kabisaaa Huyoo Alafu Nashindwa Kujibu Mtihani Jamani Naomba Kama Unafahamu Tiba Ya Hii Changamoto Anisaidie
Simulizi hii imenipa funzo kubwa na imenifariji na mimi nimetubu kwa kwa mpenzi wangu kupiitia simulizi hii nimegundua mpenzi wangu ananipenda sana 😅😅😅
N wakati mwingine tena tumekutana wapenzi wa Lucas chioma kaza moyo utayashinda mpenzi lazima uwe na V wako Timothy hana lolote kwako 😂😂😂 like zenu pls
Aiseeeh hapa mwishoni 💔😭😭😭😭 kazi ya mungu haina makosa poleni yakupoteza wazazi💔 niwakat mungum sana
Kaka Lucas chio ninzuri sana tumeipenda shukrani lakini tunataka edna ije kila Siku 🎉🎉🎉❤❤❤
Afandali tumalizie hii chioma tubaki na edina ya roma pasua kichwa
Kabisa 😂😂😂
Wow wakwanza leo jamani vipi mutanipea likes ama
Chukua na maua 🎉🎉🎉 pia
@@saumunyadzua😊😊😊
Lakini sio vizuri lucus leo edna
Lucas ume changanya mafail Leo ni Edina bwana
Tunataka Edna yetu jamani 😞
😊😊 acha tuone mwisho wake je itakuwa happy ending 😅
chioma tena na sio edina 😢😢😢😢
Ama vpi ❤❤❤ kaka lumbas tupe mambo
Vinny weeee A.K.A baba kija.
Wakwanza jamani team chio 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
Wenzetu sijui wanapataga wapi wapenzi ya kweli jaman aniweyi tuachane na mapenzi lucas roma ramon unatufanyia nini jaman Edna yupo wapi leo😢
Tuletee na Edna basi tuejoy
VIP. Mumbi Wa Naivasha ako Ndani Leta likes
Edna jaman ❤❤🎉
Edina sikuhizi imekuwa pasua kichwa
❤❤oooh kaka lucas vp ten chioma wakati leo ni Edna jaman? Mimi nataka Roma lumbas minyanduo, et jaman tulio Tamani Edna piteni na like, Sito sits kusema ante maana umetujali🌹🌹🏃
@@user-rc3om5hs9i ⁱᵗᵃᵇⁱᵈⁱ sasa
Had nimeboeka yan ngoja niangalie tu move yangu hii chioma nitasikiliza. Usk
Kivivuvivu t hamna ujanja duuh
@@user-rc3om5hs9iHata mimi nitafute pakupumzikia, kwani nilimtamani sana Edna leo😂😂
@@avelinabaluhya2804 hii nayo mwisho nizurii ila daah😭 inauzunisha
Shukrani sana Mungu awatanguriye kwasimurinzi ❤
Tutumie edna sisi hi simulizi hatujaielewa kabisa😢
😭😭😭😭😭Atujakubaliana ivi jaman lucas inapenda malalamiko tunataka edna yetu please😢😢
Ukwel hatujapenda😭
Tuandamane time Edna jmn hy Roma anatuzowea
@@user-qx3dz3iy4pametunyoosha leo tumekoma ad tukakomaaaah!😭😭
Asinge tupa ratiba maana nitofauti
ᵂᵒʸᵒᵒᵒᵒ❤❤❤❤🎉🎉😅😅
Waooooh 🌷👏
Nini iki tna leo akuna Edina? Tunaboweka sna sipower kka lucas sina ataham yakuisikiliza utusame kwakweli bila Edina wamoja tunaumwa.
Mwenzio niliieka kiporo ndio naskiliza sahii
Wooow amazing story asante lucas kweli usikate tamaa katika maisha
nmewahii🎉🎉🎉
Wa2
Ni kweli hakuna maumivu yanayofanana na yakutengana na umpendae hata kwa muda mfupi,nakumbuka miaka 36 iliyopita nikisubiria uhamisho wa kumfuata kipenzi changu,japokuwa ilikuwa ni mwezi mmoja tu,hakika maumivu yake nayakumbuka hadi leo😁😁
Pole sana
Hamlali
Nko😂single sina❤wakutumbu dear Lucas
Daaaah jaman simuliz nzur san mpaka nataman isiiishe maan tumejikuta tunaizoea san ety ila daaah enderea kutupa vitu vizuri zaidi ety kaka daaah thenks ❤❤❤
Amen amen and amen thank you Lucas for your advisor may God richly bless you abundantly 🎉🎉🎉🎉🎉
Mama Chioma amenichekesha eti, tunamimba
Mhh nilijuw edna leo lkn kmbe chioma cyo haki kaka lucas
That's very sweet napendasana simurizi zako utatumarizia akibazetu kwakununuabando😂😂😂tunakupenda sana
Wa kumi leo
Hat me hinzo ndoto zinanisumbua san nisipoot leo kesh nafululiz wik nzim zinakela 😊😊😊😊
Hata mimi ni hivo hivo eti 😢
Itabid lucas atupe tafsiri yake tafadhali uwenda zikatutoka😢
Shuklani kaka tuko pamoja🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wa20 leo nawapenda
Tupe Edina Lucas chioma mambo ya mapenzi wengine tupo single kutiana wivu tuh😢
@@Eshaomar-ge2nf 🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂 umenifurahisha
🎉🎉❤
Janani nilikaa na sm pembeni tangu Saa 7 kalibu kwaajili ya edna mbona ivi sasa😢😢😢😢😢
Yaaaaaniiii
We acha tu mm nimeona niangalie tu move yangu
@@user-qx3dz3iy4p hhhhhhhhhh😅😅😅
Yametukuta😅😅😅
@@Kellyperry947 polee yan huku UA-cam leo hakuna ht vibes
Sielewi juu ya ratiba yako ulionipa juzi ama imebadilika yaani wewe
Chioma lazima awe wa V
Tutamuita alivchioma
@@wertqwe8326Alvichio
Jamn kumbe kuna upendo wa kweli kwenye hii dunia😢😢
Ee team strong leo tumejaribu top 10
Lucas asant ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Lucas,,😂😂😂ndoto za shule kumbe zinawatokea na nyie jaman
Mimi pia inantokea sana jamani
Wakatiwamungu nisaii manenoyamwishoyamenibariki❤❤🎉🎉🎉🎉
Hv wanaum kma alvin wap kqel ktk karn hii ya mwish
Me nawaona kwenye simulizi2 ata sielew raivu wanapatika wap uko, ndio maana napenda simliz ila mapenzi pita kure😮
Wapo ila wachache sana
Wario nao wawashikilie mno
@@user-rc3om5hs9i😊😊😊
Wapo hata Lukas ni mmoja wao hujaskia akisema wanao sema mapenzi mambaya si kweli inamaana ss hatujui kupenda ama na mbona tuko wengi tulio umizwa
🤣🤣🤣🤣acha tukatubu
ᵁᵏⁱᵒᵗᵃ ᵏᵘʷᵃ ᵘᵏᵒ ˢʰᵘˡᵉ ᵐᵃⁿᵃᵏᵉ ⁿⁱᵏᵘʷᵃ ᵘⁿᵃʳᵘᵈⁱ ⁿʸᵘᵐᵃ kimaisha😢😢
Ao kwenye chumba cha mtihan yani maisha yako ni misuko suko
Jamani Mimi Ni Muhanga Wa Hizo Ndoto Msaada Basi Jamani 😢😢😭
@@lareineminah1353Dah! Jamani Mbona Ni Mimi Kabisaaa Huyoo Alafu Nashindwa Kujibu Mtihani Jamani Naomba Kama Unafahamu Tiba Ya Hii Changamoto Anisaidie
@@user-db1fb7ob8b sogeleya muongozaji wako wa iman... Akupe mu elekezo
@@user-db1fb7ob8b ᵐᵃᵒᵐᵇⁱ ᵗᵘ ᵈᵉᵃʳ ᴺᵈⁱᵒ ufunguo
That's very sweet
Leo ntatubu wallah tna 😢
🎉🎉🎉❤❤❤
Amenipangusa tongotongo😂😂😂😂
Inauma sana kaka Lucas mm nilifiwa na mwanangu wa kwanza Hadi nilichanganyikiwa kaka na mwanaume akawa pasua kichwa dah 😢😢😢😢😢😢😢
Vp Lucas ww umetubu tayr kama bado Fanya ivyo
Nko single sina mtu wakutubu naye😂😂😂😢😢😢❤❤❤🎉🎉
Huyo timoth nikama aliuliwaa nawezake kwakua aliachia hiyoo kaxi haram.kazi halali mhimu jamani.asant kwasimulixi safii
Nashkuru nimejifunza nawaombea maisha mema na maref.. Ntatubu😂usjl😊
Tisha sanaaa❤❤❤❤
Lucas my brother mungu akubariki na akupe ngufu kukusimulia Tena🙏♥️
Amin
Amen amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤❤❤CHIOMA❤❤❤❤😂😂😂😂
Pesa siyo kila kitu
Lkn Lucas hujatutetea haki leo ilikuwa ni endna mbona sasa umetufanyia hivyo kaka wetu
Ila chioma anakisura Cha upole jaman mpak rah
Simulizi hii imenipa funzo kubwa na imenifariji na mimi nimetubu kwa kwa mpenzi wangu kupiitia simulizi hii nimegundua mpenzi wangu ananipenda sana 😅😅😅
Hogela Dada
🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
Yan jamani uwez amini mimi nimetubu asubuh😢
❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉ameen
❤❤❤🔥🔥🇴🇲🇴🇲
Kwani edna sku izi haiji
Hhhh English 😂😂
That's very sweet napendasana simurizi zako utatumarizia akibazetu kwakununuabando😂😂😂tunakupenda sana
That's very sweet
❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤❤