@@Mejumaa-v3gHuko visiwani ndiyo makao rasmi ya mfalme Pluto ndiyo maana alienda kuolea huko na Edna ndiye malkia,na hao wengine wataishi huko tu na hivi anampango wa kuwa na watoto wengi😂😂😂
@@TeklaNdekejaRoma hajajua namna ya kuongoza mke na mama kila mtu kwenye nafasi yake,huyo Blandina anafikiri Edna ni mtoto mdogo anaehitaji malezi yake,pia ni mkorofi sana huyo mama
Roma uwe unaajibika kurinda Edn ju iuomisukosuko apa umemuowa njo imeanza kuwa inamufatiria nahushukru Lukasi nipe adrese nihamiye kwako niwe natoka wakwanza kamawenzangu Edin anamumudu Roma kwaraundi koma utazoewa
Bi,wema chukua🌹🌹🌹unahekima sana mama🙏
Jamani muniaciye nami nitoke wakwanza mwemunaishi kwa Dj Lukasi siombiyo🏃🏻🏃🏻🏃🏻🏃🏻🏃🏻💚💚💐💐💐💐nawapenda wana Sim mx💋💋💋💋💋
Nimechelewa Leo ila nimefika nikiwa naimani wasikilizaji wenzagu muwazima🎉🎉🎉❤❤❤
Yaaah mamaa tuko salma
❤❤wauuu kaka lucas tupo 🤝 tm edna like zenu muchukuwen otena🌹🌹🧎🪑🎧
Wawoo wakwanza mm jamani nikjumbukeni ❤❤❤❤😣😣😣😣
❤❤❤🎉🎉 nime wah 🎉🎉
Edna kiboko yako ni roma wachezea mpenzi ww😂😂😂
Edina na Roma Nisawa na Daymond na Zuchu ❤😊
Wakwanza lewo nipeni likizangu 10 🇲🇿❤️
Kaka Lucas Asante kwa mzigo, pia sauti Iko vizuri
Nimewi namm naombeni like 🎉 jamani
Niko hapa kutoka Kanda ya Kaskazini🎉🎉🎉🎉shukran Lucas
Wakwanza jamani likes zenu team Roma 🙏🙏❤️❤️❤️❤️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
Zena hujambo nitakupata vpi tafadhali kuna kitu nikuulize
@@neemamwachepha213Neema mbona nimekupa mawasiliano
❤❤❤❤❤❤
Micepuko ipande levo ivo ivo wote wahamiye uko visiwa vya wafu wamupishe Edina na mume wake wafuraiye ndoa yao mke kilasiku niwasamani tu .
Hl nalo neno wakafchwe huko 😂😂😂😂😂
Kweli kabisa
Nilikuwa nawaza hivyo
Mmmmh na edna atakua na amani kweli na alivyoona kitanda si mchezo cha uko si ndio atajifia
@@Mejumaa-v3gHuko visiwani ndiyo makao rasmi ya mfalme Pluto ndiyo maana alienda kuolea huko na Edna ndiye malkia,na hao wengine wataishi huko tu na hivi anampango wa kuwa na watoto wengi😂😂😂
❤❤❤
Kazi.nziri.sans.kaka.lucas
Ila.edna.namuomea.huruma.sama😢😢
Huyu Neema nae kutamani nafasi ya Edna ni kichekesho,mtu haki ya wanae yeye anaitamani🤣🤣🤣
Mtu mzima ovyo🤣🤣🤣
@@RehemasiryaKabahasha 😂😂😂 aiii
😂😂😂😂
Mtumuzima ocyo
Wakumi na moja ❤❤❤❤
Duh m mwamwisho kelasiku
Edna akishika mimba wa kwadza itakuwa vizuri kabla mafudzo kumuingia ili roma awe na maswali zaidi ju ya mkewe.....
Kabisa
@@ademago3375 itakuwa vizuri sana ikiwa hivyo
Wa 21mnipe like nime wahi jamn🎉🎉
ggg%gggggg%ggggggggggggggggggggggggggggg%gggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggg%ggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggg%ggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggg
Asante kaka Lucas hongela kwa kazi mzuri
Nimewahiiiiiiii🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
ᴱᵈⁿⁿᵃ ʸᵃᵐᵉᵐᵏᵘᵗᵃ ʲᵃᵐᵃⁿⁱ ᵐᵃᵐᵃ ᵐᵏʷᵉ ˢⁱᵒ ᵖᵒᵃ ⁱ say😢😢😢😢
Kongole kwa broo Jr kwa sutunzi nzur na pole kwa kuumiza kichwa akiri nyingi🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Zena❤❤❤❤❤
mumecherewa sana jamani mukowapi edna imeshafika
Niko hapa
Mambo ni 🔥🔥🔥🥰❤😘😍🙏🙏
Shukran kaka Lucas Lumbasi ❤❤❤
Nimewah Leo jaaman🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂Wacha niche kwanza niliwaambia Hawa watu hawawezi kuachana jmn lazima Edna aombe pooo like zenu wapenzi wangu nawapenda nyote
😂😂😂😂 Edna ss tunajua huazi kaa mbali na roma
@@faithndenge-cz8peNa Roma pia hawezi kukaa bila Edna
Asante, ila Roma inatakiwa apunguze kiburi yeye na mamaake wamezid xana
@@TeklaNdekejaRoma hajajua namna ya kuongoza mke na mama kila mtu kwenye nafasi yake,huyo Blandina anafikiri Edna ni mtoto mdogo anaehitaji malezi yake,pia ni mkorofi sana huyo mama
@@avelinabaluhya2804 eti jamani mtuakioa kuna mambo ya wali sokla ktu maupo khaa bladina nikikwa zo kwenye ndoa ya Edna jaman
Waooo3❤❤❤😂🎉🎉😢
Asante kaka Lucas
Bismillah❤ minah roman's Babe
Faa masihara nn haachiki mtu huyo nema luwazo aamke ndotoni alipokuwa kalala
jamani napenda the way Roma anavyoongea,,, kaka lucas unajua sana 🎉
Kama mm
Jamani mapacha wanataka kulifurahia tango moja wacha wee ila roma kiboko😊
Mama mkwe kayatimba then kakimbia 😂😂
Kivuruge sana huyo mama mkwe ila hawezi shindana na penzi la wenyewe😂ataumbukaa
@@MwanatumuJumaa-rj4fgatakuja aumbuke tu,mapenzi mazito kama hayo siyo rahisi kuyasambaratisha zaidi anayaimarisha 😂😂
Atakuja kuchambwa cku 1 ashangae 😂😂😂
@@MwanatumuJumaa-rj4fg na ataumbuka kweli so kidogo
@@avelinabaluhya2804 atasambaratika yeye,mahusiano yao yamepitishwa kabla hata ya watu wenyew kujuana
Mbona mukor nafundisha watu uchawi jamanir inakuwa ndevu sana tanasau mwenye tulitoka
Wa2🎉❤🎉🎉
Jaman nimewai
Leo nimewahi
Edna uyu embu tuwaache tu
Hatimae vumba vya nyumba ya kisiwa cha watu vinaaz kuingizwa michepuko Edina alikuwa sahihi bwana😢
Mi ninaswali ila samahani ivi iyi simulizi bado vipande bingapi
Luka huu mzigo unafundisha sana
Mm hawa michepuko waendee tuuu huko wezao wamepelekwaa yani Edina naomba tuu yy ndo apate watoto na roma sio michepuko
Mambo bado moto 🔥🔥🔥
Wapili leo
❤❤❤❤ EDNA WA MOTO😂😂😂
Sanat 🎉🎉👏👏
Wakwaza
❤❤ wamia😢
🤣🤣🤣hao wanaojipeleka kwa Roma sasa watatengenezwa vidonge🤣🤣🤣shauri yao mie simo🤣🤣🤣 aah
😂😂😂😂😂 na maji ya kiroho mbona maaduwi watakoma😂😂😂😂
@@Evelynmoreen3655 ah🤣🤣🤣ila Roma ana ubongo waajabu
@@avelinabaluhya2804 🤣🤣🤣🤣🤣 mi amenishinda tabiya 🤣🤣🤣🤣
Yaan mm nataman edina abebe mimba jamani uyu mamamkwe wake aibike nao michepuko yake
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
ILa leo nime gundua hii simulizi ina hitaji akilinyingi tuna sema bila D 2 hutobo😉
🇬🇶🇬🇶🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hata notification sina
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ila wewe ikifikaga huko kwenye mautam mmmh mm naroh kipochi manyoya changu😂😂
Roma uwe unaajibika kurinda Edn ju iuomisukosuko apa umemuowa njo imeanza kuwa inamufatiria nahushukru Lukasi nipe adrese nihamiye kwako niwe natoka wakwanza kamawenzangu Edin anamumudu Roma kwaraundi koma utazoewa
Hii simulizi itaisha kweli maan kila siku kwaibuka jipya
🎉🎉🎉🎉🎉
😮♥️♥️♥️🌹🌹🌹🌹🌹🌹👋💃
Roma usiwache edna wewe wamlnda nakumknga n mabaraa nyote duuh leo umemuokoa
Ako je ulikua mngojwa nn? Mbona nateseka
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Edna nunua talaka uachane nae huyo ama awache michepuko yte ili uwe na amani
@@neemamwachepha213 ♥️♥️♥️🎉🎉
🇹🇿🇬🇶❤❤❤❤❤
😂😂😂😂❤
🎉🤣🤣🤣🤣
🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🔥🔥
Tupo
Inazidi kupendeza❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤
❤❤