Pole mwenzetu ata sie yametukuta hayo tulioa wanawake na kuishi nao miaka 7 ajasema kama anaukimwi na pia alikuwa hapati ujauzito kumbe amefunga uzazi .wenzangu wananicheka kwa nini sipati watoto nasrma mwenyezi mungu ajapanga .siku nilipojua hayo.nililia kama mtoto mdogo .aya maisha acheni jamani hawa wanawake acheni tu
Huyo mama mpe talaka aachane na wewe. Hana haya ametaka kukuuwa bila huruma, ili tuu aendedhe maisha yake, ametoka familia ya ajabu. Atakuwa anatumia uushirikina ndio maana ana ujasiri huo. Umeolewa ukiwa ukimwi bila kusema Bado unangangania TU. Akuachie watoto maana wataangamia huyo mama ni mpuuzi. Mwache alie TU nmuuwaji huyo. Wanawake tufanye kazi tuache kuwategemea wanaume.
Huyo doctor hakukupa elimu ya kutosha ,mgonjwa anauetumia dawa haambukizi.. ni kosa kubwa sana kwa upande wa madaktari kutokuwapa elimu wote wawili, walitakiwa kuwapa elimu wote.. dawa ndio sababu iliyofanya usiambukizwe na Pia watoto wasipate wakati wananyonyeshwa.. ni kosa tu la madaktari kutokukufahisha tangu walipogundua.. as longer anatumia dawa hawezi kumpa mtoto..
kibaolojia mwanume anaqeza ish na mwanamke mwenye HIV na asiathieke hata kwa mıaka 20 inategemeana unaimuingiliaje! ila mwanamke akiish na mwanaume mwemyewe HIV n rahis haraka sana kupata, Mwanamke anahatari kubwa ya kuathirika kuliko mwanaume! By Dr.Hanam
Ungetaka kuachana naye ungempangia ata chumba akae na watoto wake hao wototo bado wadogo ata wewe mwenyewe uwezi kuwalea peke yako watoto wa tatu ni wengi ata uduma unaonekana ulikua utoi uyo dada asinge angaika
Tsguta mke owa tulia hali mbaya sana na kunamtu pia aliishi na mwanamke myasilika bila yye kujua nyie skapata ntoto mmoja alivyo gudua nae wakaachana wanawake wauwaji sanaaa
Ulipima Mara 3 bado mke akaondoka na mimba ya miezi miwili,hiyo imekaaje??Nakushauri ukapime tena. Pia muathirika akiwa anameza ARV hawezi kuambukiza mtu yeyote.Huyo binti mtunze tu ili alee watoto wako maana ndiye mtu sahihi kwa hao watoto wenu.,Wewe unaweza kuoa lkn wtt na mama yao watunze hapohapo karibu na wewe
Pole kaka ila nasikitika hukupata maelekezo vizuritoka kwa washauri nasaha underwear kuishi nae tu bila tatizo na usiadhirike . Kabisa ulimuhukumu sana. Je ungetokea wewe umepata shida hiyo halafu umwache gafra fikiria mara mbili huyo anahangaika kuzurura kwasababu ulumwacha jamani mmmmm
Katika hiyo kalatasi manayake wewe kusoma hujui Aijandikwa HIV Ukimwi???? Miezi yote tisa Amjafanya mapenzi Bado Ajashituka mkeo na kijijini dawa za Ukimwi Atazipata vipi???
Pole mwenzetu ata sie yametukuta hayo tulioa wanawake na kuishi nao miaka 7 ajasema kama anaukimwi na pia alikuwa hapati ujauzito kumbe amefunga uzazi .wenzangu wananicheka kwa nini sipati watoto nasrma mwenyezi mungu ajapanga .siku nilipojua hayo.nililia kama mtoto mdogo .aya maisha acheni jamani hawa wanawake acheni tu
Kwahiyo na ww hukukutwa umeasilika pole aisee
Mtihani polesana
Shukuru sana. Mungu kakuepusha na balaa la huyo mwanamke.
Mungu mkubwa mwenyewe. Anacho kitaka yeye ndio KINAKUWA.
Mungu nimwema sana ubarikiwe sana
Pole sana bro kwa changamoto na mapito magumu. Na hongereni sana kwa hatua mliyofikia Mungu azidi kuilinda na.kuimarisha ndoa yenu
Bro umenitoa machozi aise juu ya mkasa huu, Mungu ni mkubwa.😢.
Mungu ndio mpangaji wa maisha yetu yote. Shetani ndio anayeleta matatizo maishani mwetu
Huyo mama mpe talaka aachane na wewe. Hana haya ametaka kukuuwa bila huruma, ili tuu aendedhe maisha yake, ametoka familia ya ajabu. Atakuwa anatumia uushirikina ndio maana ana ujasiri huo. Umeolewa ukiwa ukimwi bila kusema Bado unangangania TU. Akuachie watoto maana wataangamia huyo mama ni mpuuzi. Mwache alie TU nmuuwaji huyo.
Wanawake tufanye kazi tuache kuwategemea wanaume.
P
Una neema wewe kaka Mungu azidi kukupigania mkasa wako ni mzito
Unamoyo.wako aisee
Baba unawaponza watoto wanahangaika bure
Ndio mitihani ya maisha
Asante mungu ❤❤
Pole kaka
Mkasa mkubwa sana huu jaman
Rr😮 be
Mnajuakudanganywakweri huko.kanisana eti rohomtakatifu abawaambia 😂😂 mtihani waakili wengiwamakanisa ni wachawitu Fillmasson kibao.
Huyo doctor hakukupa elimu ya kutosha ,mgonjwa anauetumia dawa haambukizi.. ni kosa kubwa sana kwa upande wa madaktari kutokuwapa elimu wote wawili, walitakiwa kuwapa elimu wote.. dawa ndio sababu iliyofanya usiambukizwe na Pia watoto wasipate wakati wananyonyeshwa.. ni kosa tu la madaktari kutokukufahisha tangu walipogundua.. as longer anatumia dawa hawezi kumpa mtoto..
Pole sana kaka
So sad jmn
Pole sana ndugu yaku
Kaka shukuru sana mungu, mungu anakupenda sana
Mzee noma anatoka kupima ukimwi hospitali unalia ukirudi unavuachupitena kavukavu namimba juu we.noma.
😂😂😂
Lakini ungewexa kuishi nae tu kwa,maelekexo ya wataalamu wa afya wapo wengi kama hao wanaishi na wenxi wao
Kama alimficha akitaka kumuambukiza makusudi ashindwi😅
We kuweza subutu
@@ameenaameena422😂😂😂umeonaee
kibaolojia mwanume anaqeza ish na mwanamke mwenye HIV na asiathieke hata kwa mıaka 20 inategemeana unaimuingiliaje!
ila mwanamke akiish na mwanaume mwemyewe HIV n rahis haraka sana kupata,
Mwanamke anahatari kubwa ya kuathirika kuliko mwanaume!
By Dr.Hanam
Ungetaka kuachana naye ungempangia ata chumba akae na watoto wake hao wototo bado wadogo ata wewe mwenyewe uwezi kuwalea peke yako watoto wa tatu ni wengi ata uduma unaonekana ulikua utoi uyo dada asinge angaika
Tsguta mke owa tulia hali mbaya sana na kunamtu pia aliishi na mwanamke myasilika bila yye kujua nyie skapata ntoto mmoja alivyo gudua nae wakaachana wanawake wauwaji sanaaa
HUYO MZEE ALIYOGALAMIA ALUSI YENU NDIO KAMCHEZEA MTOTO WENU KIMAZINGALA
Sante Tiki tv umeturudiahi mikasa
Ulipima Mara 3 bado mke akaondoka na mimba ya miezi miwili,hiyo imekaaje??Nakushauri ukapime tena. Pia muathirika akiwa anameza ARV hawezi kuambukiza mtu yeyote.Huyo binti mtunze tu ili alee watoto wako maana ndiye mtu sahihi kwa hao watoto wenu.,Wewe unaweza kuoa lkn wtt na mama yao watunze hapohapo karibu na wewe
Unazani ni lahisi hivyo unaishi nae kwa wasiwasi akijikata je akakuwekea dam kwenye chakula mh naogopa
Sasa mbona amekwenda na mimba ina maana uliendelea kutembea peku?
😂😂ndiyo maana yake kaendakupima huku analia akirudi.hospitali anakulamzigo😂kavukavu. Anamoyo huyo.kaka
Pole kaka ila nasikitika hukupata maelekezo vizuritoka kwa washauri nasaha underwear kuishi nae tu bila tatizo na usiadhirike . Kabisa ulimuhukumu sana. Je ungetokea wewe umepata shida hiyo halafu umwache gafra fikiria mara mbili huyo anahangaika kuzurura kwasababu ulumwacha jamani mmmmm
Ungehama lile eneo.
🎉🎉1
Mbona picha niyamume wa Zuu??
🤣
We siye huyo mkubwa
😂😂 siyo yeye yulechixi. Baba Abdull
Mimi sikupi pole kwasababu ya unjinga wako wewe kazaa na binti mara mbili bila hata kujua ana asirika,ukaingia kwenye ndoa bila kupimwa nahuyo binti
Katika hiyo kalatasi manayake wewe kusoma hujui Aijandikwa HIV Ukimwi???? Miezi yote tisa Amjafanya mapenzi Bado Ajashituka mkeo na kijijini dawa za Ukimwi Atazipata vipi???
Dawa Atazipata, ziko Tanzania nzima.
Kwani hospitali hakuna vijijini na.sshivi.vifonge vya miezi 6 unapewa.unakaanavyo ka iyakokubugiatu
Sante Tiki tv umeturudiahi mikasa