WALIOFUMANIWA WAFUNGUKA/HATUJAOANA /WAMETUPIGA NA KUTUZUNGUSHA MTAANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 жов 2024
  • #geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah

КОМЕНТАРІ • 507

  • @rayaali7551
    @rayaali7551 3 роки тому +25

    Miee kwa mchango wanguu WAOWANEEE NA MCHANGO NITAUTOWAA

  • @esnathmwangupili6796
    @esnathmwangupili6796 3 роки тому +32

    Mjumbe upo vzr hongera Kwa kutambua majukumu yako

  • @faifidelis3041
    @faifidelis3041 3 роки тому +11

    uyu mama mjumbe yuko vizuri sana mama mungu akubariki unafaa sana kuwa mjumbe

  • @bahatisunga1642
    @bahatisunga1642 3 роки тому +113

    Wanaume wengi wanapenda mkiachana mwanamke uchakae uwe unaomba omba na kudharirika ndio furaha yao

  • @sharifafatawy9874
    @sharifafatawy9874 3 роки тому +22

    Kesi imekaa vizuri sanaa,dagea simama nao Allah atakupa fungu lako.

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 3 роки тому +23

    Yaani dadangu huyo mwanaume mliofumaniwa nae ni bonge la handsome usimwachie kabisaaa tena fungeni na ndoa!

  • @josphinedarani6203
    @josphinedarani6203 3 роки тому +15

    Mjumbeee kunywa soda mamangu naja kulipa🙏🙏🙏🙏

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 3 роки тому +5

    Duh!polen sana najarib kuvaa kiatu chao hakinitosh kuna watu wanaroho ngumu yaan anajifanya mungu mtu inasikitisha

  • @asdasd9253
    @asdasd9253 3 роки тому +8

    Mkaka achukue mzigo kwajumla huo ili wazidi kuumia mwenye wivu ajinyonge

  • @mwazanimnyamani8493
    @mwazanimnyamani8493 3 роки тому +15

    Wanaume walio wengi wanapomuacha mwanamke wanafurahi sana kuona mwanamke anateseka.pindi mwanamke anapoweza kujikwamua kimaisha lazima atafute sababu ya kumpotezea mwelekeo.

    • @jackyluns8224
      @jackyluns8224 3 роки тому +1

      Aisee umeongea point mpaka nimelia yaan

  • @samirasarmanis3158
    @samirasarmanis3158 3 роки тому +7

    Huyo baba hana heshima mzazi mwenzio huwezi kumfanyia hivyo shiria ichukue mkondo wake na ndugu zake wote wakamamtwe

  • @allyhamadi678
    @allyhamadi678 3 роки тому +2

    uyu mama anaitaji apandishwe cheo Mana Ana sifa za uongozi

  • @stellamwita7041
    @stellamwita7041 3 роки тому +3

    Nafurahi wanawake tukipendana kama hivi na kushikamana wakati wa tatizo mwenyezi mungu atusimamie na hongera kwa mjumbe aliyemtetea anaonekana ni mwanamke shupavu na hongera wanawake wote mliokuwa pamoja na aliyepawa na tatizo nampa pole sana sikufurahia kile nilichokiona lkn asijar bali afurahie maisha yake ya uhuru

  • @AfricaQueen
    @AfricaQueen 3 роки тому +4

    Dah! Pole sana ndugu yangu huyu babawatoto lazima nae apate kipigo cha mbwa koko shenzi.

  • @rahmakatotok3489
    @rahmakatotok3489 3 роки тому +12

    Ukatili sana huu

  • @mamyneytariq8458
    @mamyneytariq8458 3 роки тому +2

    Pole sana. Mungu awajaalie mfunge ndoa kabisa maana mnaonekana mna upendo wa dhati

  • @Atb300
    @Atb300 3 роки тому +6

    Aah sio kwa kipigo icho polen

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 3 роки тому +2

    Geah waambie watoe no tuwachangie wahalalishe ndoa

  • @judithmosha739
    @judithmosha739 3 роки тому +3

    Poleni sana .toeni no tuwachangie mfunge ndoa kabisaaaaa muwe huru.mhaya goma limemshinda mngoni kachukua na shanga kanununua oyoooo chezea mngoni weeeee.mjumbe shikamoooo

  • @sophiankwera9020
    @sophiankwera9020 3 роки тому +2

    Wakamatwe hao walio fanya kitendo hicho wote Cha uzalilishaji je wangewaua bila kosa mtu ushamuacha bado unamfuatilia wachukuliwe hatua za kisheria

  • @mwanakhermarisho8120
    @mwanakhermarisho8120 3 роки тому +14

    Dah pole sana mwanamke mwenzetu kwetu Zanzibar unapopita video imesambaa serikali ichukue hatua haraka

  • @ashamwandu6572
    @ashamwandu6572 3 роки тому +23

    Yaaani hakiyamungu Sijuwi,Mungu apishe mbali,Ukiona wa Nini,wengine wanamtaka.

  • @annapeter6065
    @annapeter6065 3 роки тому +14

    Huyu Kaka aisee apewe fundisho la dunia asirudie Tena, kosa la Kwanza kavamia usiku, pili amepost picha za uchi, tatu amejeruh, nne ametishia amani, tano amedhalilisha mbwa huyu

  • @Leahmjohn
    @Leahmjohn 3 роки тому +7

    Waliogundua dada ni muhaya honga like twende sawa

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 3 роки тому +7

    Dageya wewe kiboko hutucheleweshei mambo mungu akubariki pole mwanamke mwenzetu

  • @Chimamy5242
    @Chimamy5242 3 роки тому +2

    Ila me nashauri hao waathirika wa tukio wahame uo mtaa..hawatokuwa na aman ukizingatia hapo ni uswahilini sn

  • @elizabethswai7777
    @elizabethswai7777 Рік тому

    Nimependa ushirikiano wa huo mtaa,wamama wote Mungu awabariki❤

  • @reyneshreynesh2956
    @reyneshreynesh2956 3 роки тому +1

    Mjumbe hongera San umejtahd kwa kutumia ujasiri wako

  • @dyanatanz6574
    @dyanatanz6574 3 роки тому +4

    Usisahau mrejesho da Geah

  • @spreadlove2119
    @spreadlove2119 3 роки тому +6

    Huo mtaaa nimeupenda na ushirkiano wenu udumu mjumbe hoyee sungu sungu hoyee 😸

    • @ziadasalim1459
      @ziadasalim1459 2 роки тому

      Ukifunga ndoa hasa ya kikristo lazima uvumilie kipigo

  • @mwazanimnyamani8493
    @mwazanimnyamani8493 3 роки тому +3

    Gea livalie njunha.hii swala wanawake. Tunadhalilishwa sana

  • @alexandrinadomaino9868
    @alexandrinadomaino9868 3 роки тому +5

    KIBAYA CHA SERIKALI YA TANZANIA NI KWAMBA MTU ANAFANYIWA UKATILI, LAKINI HUKUMU YAKE NI YA KIPUMBAVU PUMBAVU TUUU.WANGEWAKAMATA WAPIGWEEEE MPAKA DAMU ZIWATOKE KAMA WALIVYOWAFANYA WENZAO.ALAFU NDO WAPELEKWE UKO GEREZANI.

    • @ziadasalim1459
      @ziadasalim1459 2 роки тому

      Sheria ya nchi za wenzetu ingefuatà ukipiga upigwe kipigo chabwa Koko . Ukiua uuuwawe . Ukimchoma mwezio Moto wa mkaa nae achomwe na petrol .

  • @alirahma8967
    @alirahma8967 3 роки тому +41

    Lazima serekali ifate mkondo wake,wanawake tunaonewa sana

    • @alexandrinadomaino9868
      @alexandrinadomaino9868 3 роки тому +1

      Serikali gani my dear ya Tanzania oooh.Sawa wahusika wamekamatwa tu zaidi watawaweka kwenye gereza ni kula ugali na maharage. Hakuna kingine kwani nikukumbushe kidogo yule baba wa Kigamboni aliyemuuwa mke wake kwa magunia ya mkaa wamemfanya nini??Si yupo tu anakula analala.

    • @ziadasalim1459
      @ziadasalim1459 2 роки тому

      @@alexandrinadomaino9868 maish ya rah tu .

  • @navokisembo
    @navokisembo 3 роки тому +5

    Yaani huu ni unyanyasaji na udhalikishaji wa hali ya juu. Vyombo husika tafadhali chukueni hatua. Hawa wamaume wanataka akikuacha akukute umefeli maisha na umechoka choko. Ameona dada wa watu kapata Bwana na maisha yake yako salama ndo amemyanyasa. Waende jela hao woote kwa kweli. Tutawachangia kwa mwnasheria.

  • @spreadlove2119
    @spreadlove2119 3 роки тому +3

    Jamani nyie mnaosema kuwa hawakufungu ndoa, hivi hata mtu ukifunga ndo uzalilishwa kiasi hicho??? Sababu hata wangekuwa na ndoa mwanaume kashamfukuza na kipigo juu 🙂🙂 hapa sheria ichukue mkondo wake.

  • @monadinadi5295
    @monadinadi5295 3 роки тому +7

    Mshenzi Sana umemuwacha na kumpiga piga kila siku kwann. Bora ulivyo ondoka angekuuwa hyo mshenzi. Malaya mzee nyoo Kubari kuwachwa

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 3 роки тому +6

    Wamewafedhehesha sanaaa jaamaanii.....serikali ifanye kazi ipasavyo haasaa wakomee na wengine wajifunze

    • @eddieeddie2755
      @eddieeddie2755 3 роки тому +1

      Kiswahili chako kizuri sana👌👍 🇹🇿🇹🇿 + 🇸🇪🇸🇪

    • @magrethmbuma3045
      @magrethmbuma3045 3 роки тому +2

      @@eddieeddie2755 Asantee rafiki napendaa sana kiswahili fasaha.....nachukizwa na wanaohariibu matamshi

  • @AsiaMkusa
    @AsiaMkusa 3 роки тому +13

    Hivi mwenzio akikwambia amekushindwa mbona ni Jambo jema Kwa mwanaume kuliko kuanza usaliti ndani ya ndoa, amekuambia hakutaki Ni vyema ukakubali kuachika na utafute mwingine wa kuishi nae, pia nimempenda mjumbe alihangaikia wananchi wake anastahili tuzo na uenyekiti wa mtaa

  • @zuwenazahoro9252
    @zuwenazahoro9252 3 роки тому +3

    Pole Sana mdogo wangu

  • @theempressmadam
    @theempressmadam 3 роки тому +13

    Tafadhali wapelekwe mahakamani kwa kosa kukusudia kuua. HAKUNA MDHAMANA. STRAIGHT TO UKONGA. #wazirisimbachawane #mahakamayahakitanzania

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 3 роки тому +1

      Yaani ukatili wa wanaume umezidi Sana kwa wanawake lazima wachukuliwe hatua Kali iwe fundisho kwa wanaume wengine

    • @navokisembo
      @navokisembo 3 роки тому +2

      @@fatmaabdallah7709 ndo maana wanachomwa moto kwa kweli wala siwaobei huruma mashetani hao

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 3 роки тому

      @@navokisembo kwakweli tuwachome tu hawa maana km hatukuwaanza sisi watatumaliza hawana huruma wala mapenzi na sisi wanachotaka kwa mwanamke ni kimoja tu kumaliza matamanio yao ya kimwili tu baada ya hapo wanakudharau na hawataki utoke uende kwa mwengine ndo shida yao!

  • @sophiakasana2937
    @sophiakasana2937 3 роки тому +1

    Daahh nimeumia sana pia nimekumbuka
    Mapito yangu yani mwanaume akikuacha hapendi akuone umependeza au uwena maisha mazr atataka uhangaike tuu yeye ndo furaha yake
    Sheria itende haki

  • @khamisshee5131
    @khamisshee5131 3 роки тому +27

    Naona ss ni siku za mwesho za kiama mbona ukatili umezidi Allah atatuongoza INSHAALLAH
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    aka bachuchu mombasa 001
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @kawtharalbarwani1337
      @kawtharalbarwani1337 3 роки тому

      Amiin

    • @Awatee
      @Awatee 3 роки тому

      Amiin yarabal alamin

    • @mariamgadaffe7986
      @mariamgadaffe7986 3 роки тому +2

      Niambie bachuchu kwa uko home ulitoka gulf

    • @activestudios.
      @activestudios. 3 роки тому +1

      SIKU ZA MWISHO KWAKO WEWE kama utakufa kesho iyo ni wewe sisi haituhusu WEKUFA HATA SAIVI SANDA CHAP NA TUNAKUSAHAU tuliza wenge BUDA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @khadijarajab8383
      @khadijarajab8383 3 роки тому +1

      @@activestudios. Kweli wewe ni shetani 😏

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 3 роки тому +10

    Poleni Jamani, Wachukuliwe Hatua Kali Hao Ma Bounce, Makatili.

    • @aminaibrahim4148
      @aminaibrahim4148 3 роки тому +2

      Mimi naungana na Mhe wazir wana wake tuna onewa sana

    • @mwanahalimamwachili9679
      @mwanahalimamwachili9679 3 роки тому +1

      @@aminaibrahim4148 Tatizo Utaskia Wameachiliwa Wako Huru Majambazi Hao

  • @AminaBakari-t9x
    @AminaBakari-t9x Рік тому

    Mungu akuweke mjumbe

  • @nazykezy8652
    @nazykezy8652 3 роки тому +1

    Poleni jamani much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @zainabpallangyo7279
    @zainabpallangyo7279 3 роки тому +5

    Mjumbe shina no 4 ni mwanamke na nusu,hiki kitendo ni udhalilishaji wa hali ya juu,sheria ifate mkondo wake

  • @zakhiamiraji4261
    @zakhiamiraji4261 3 роки тому +2

    Dada geah mwenyezi mungu akuweke sana wallah unafufua ambayo hayawezekani ❤Hongera sana natamani hata nikuone au niwe kama wewe

  • @adellathadeo4564
    @adellathadeo4564 3 роки тому +1

    Hongera cna da Gea. Ila najua unawasaidia cna watu. Tunaomba uje nauku matosa kuna baba anamtesa nwanae anampiga cnaa mitaani tumemchoka.adella Thadeo niko matosa kumara

  • @nameno8608
    @nameno8608 3 роки тому +1

    Mama Mjumbe hongera sana mulitumiaa akili ikuwaokoa

  • @saidchalamanda645
    @saidchalamanda645 3 роки тому

    Ad chozi limenitoka kwakweli polen Sana mungu ni mwema haki itatendeka

  • @erastitesha943
    @erastitesha943 3 роки тому +1

    Poleni sana jaman

  • @sharifafatawy9874
    @sharifafatawy9874 3 роки тому +1

    Mjumbe upo vizuri

  • @fatmasalima3847
    @fatmasalima3847 2 роки тому +1

    Pole sana

  • @carolmuchiri9921
    @carolmuchiri9921 3 роки тому +5

    Jameni Dada Geah Tv twangoja kuwaona Wadhalilisha walo fanya hivo Vituko vya kuwapiga Wawili Hao, 🙆‍♀️😢😡😡

  • @halimakihame1744
    @halimakihame1744 3 роки тому +1

    Daa deki mijanamume mingine misenge mmh

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333 3 роки тому +2

    Wauwaji Hao yani waume wanapenda kutunyanyasa Sana, wa nataka wasujudiwe kila cku na akikuacha ni aone wadhalilika ndio raha yao lakini akikuona na maisha yako utajuta

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 3 роки тому +1

    Hii kesi maziwa kabisa sheria ichukue mkondo wake

  • @meddyzambetakis
    @meddyzambetakis 3 роки тому +3

    Aisee kesi kubwa hiyo!, nchi ya ajabu sana, mijitu haijielewi

  • @josphinedarani6203
    @josphinedarani6203 3 роки тому +1

    Ww ubwa pia ww utafanyiwa hivyo hivyo malipo ni hapa hapa duniani ahera twapeleka isabu kipimo upimiacho nacho mwezako ndicho utapiwa nacho poleeeeee sana dadake nimelia kwa kweli

  • @mariamjuma4136
    @mariamjuma4136 3 роки тому +8

    Mwanaume akikupenda kwa dhati raha sn uwa ajari lolote. Anitha yuko ktk mikono salama ss ya Rashid
    Mwanaume ni mwanaume tu ss ilo likatiri liache lipambane na mwanaume mwezie Rashid

  • @abdallahmangayamba1510
    @abdallahmangayamba1510 Рік тому

    mjombe mungu akupe umri

  • @shahkibiki8966
    @shahkibiki8966 3 роки тому +3

    Wanawake mngeshirikiana hivyo siku hiyo huyo asingetembezwa uchi

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f 23 дні тому

    Hongerasanaaa mama mjumbe

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f 23 дні тому

    Ndoa muhimu. Jamani. Wenyewivu wajinyonge

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +16

    Yani mwanaume huna hayaa kumzalilisha mwanamke kumpiga akiwa uchi na mweza wake halafu mnawazungusha mtaa kwamtaa hadi kwawanae hivi watoto mnawafuzaa nn eti watoto wamuone mama yao vile mumempigaa nyinyi wakaka Mungu atawalipixaa kwazamu ,mnalazimisha mtu kusema amefumaniwa wakati room niyake?kweli kuna wanaume wanaumwaa kuachwaa

    • @ghatititus7136
      @ghatititus7136 3 роки тому +1

      Yaani huyu mwanaume hafai hata kwa service anashindwa kutafuta pesa anafanya kazi ya kumzalilisha mwanamke ambae anatafutia watoto wake Hana akili!!

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 3 роки тому

      @@ghatititus7136 wivuu unamsumbua tuu nawameachanaa yani siku wanaume wakiachwaa huwa wanawivuu yani usipate muwe draw huyo achukuliwe hatua

  • @tarifsarahoman7047
    @tarifsarahoman7047 3 роки тому +3

    Wanaume wengine hawaeleweki mtu akiwa nae hajui umuhimu wake ila wakiachana ndo wanajuwa umuhimu wa mtu nalengo Lao baazi ya wanaume wakikuacha hawataki apate mtu wa kumsitili ila juu ya hili sheria ichukuwe mkondo wake maana hawa watu ni wahalifu na pia wauwaji

  • @latifaalsh5421
    @latifaalsh5421 3 роки тому +6

    Yani wallah Kuna vitu vingine tunaviona kama muvi ila vipo katika jamii 😭😭😭Subhanaallah yarabii tunusuru na hawa viumbe

  • @kijikoali8119
    @kijikoali8119 3 роки тому +4

    Ubaya mwanamke akipigw mara kwanza ya pili anaona ndo kupendana mpaka haya yatokee ndo mlalamike m namuhurumia new boyfriend lbda makubwa yanakuja kwake awe makini kudeal na wapenzi walotoka kwenye mapenzi ya violence ,...

  • @JescaTenga
    @JescaTenga 3 роки тому +1

    Dada mstaarabu jamani uyo mzazi mwenzio alitamani kuona anachakaa sio afanikiwe maisha haya khaa

  • @theresiadeo4488
    @theresiadeo4488 3 роки тому +1

    Daah poleni sana

  • @gloriamwanjali9371
    @gloriamwanjali9371 3 роки тому +10

    Huu ni ukatili wa kijinsia, ukatili wa watoto

  • @khadijasalum2302
    @khadijasalum2302 3 роки тому +12

    Subhanallah haki itendeke

  • @ashamzuzur1554
    @ashamzuzur1554 3 роки тому

    yan ad wifi ameenda kumdhalilisha mwanamke mwenzie mmh..mawifiii wamrudie mungu mana wanajionaga wamemaliza kila kitu

  • @عبداللهالعازمي-ع3ش
    @عبداللهالعازمي-ع3ش 3 роки тому +3

    Poleni

  • @felistersmejumaa5188
    @felistersmejumaa5188 3 роки тому +11

    Allah nijaalie mimi nipate mume mzuri na awe kama mtani wngu ajue hali yngu nijue hali yake 🤲🤲🤲🤲

  • @magrethmallya7728
    @magrethmallya7728 3 роки тому

    Mungu yupo atawapigania. Ila fungeni ndoa mapema.

  • @awenasultan6454
    @awenasultan6454 3 роки тому +17

    Kabisa wanaume awawez kutunza ila wakiacha bd wa nataman iwe fundisho kwa wanaume wote

  • @agnesmwakyusa5767
    @agnesmwakyusa5767 3 роки тому

    Duh pole sana

  • @lisauroble31
    @lisauroble31 3 роки тому

    Poleee sana hayoo yapo wanaume wengine ndivyo wanatunyanyasa tabiya zipo sanaa

  • @vikimartin9441
    @vikimartin9441 3 роки тому +10

    Wapewe adhabu Kali na viboko 12 asubuhi 12 jioni na fain ya million 90 kiranga kiwaishe na watoto wakabidhiwe mama Yao na atoe matumizi ya laki 3 kila mwez na Ada alipe

    • @nameno8608
      @nameno8608 3 роки тому

      Jamaa huyo hana pesa alitaka ajitajirishe toka kwa huyo mama watoto wake akitumia nguvu ni mtu mbaya njia nzuri ni kuvunja kabisa uhusiano

    • @maryzakaria4667
      @maryzakaria4667 2 роки тому

      Hiyo hela itoke wapi na anaenda jela milele

  • @Amina-bq2xe
    @Amina-bq2xe 3 роки тому +2

    Mimi niko naitaji kurudi Africa tena natamani kuishi Tanzania 🇹🇿 lakini nikiona hivi roho ina sita ,mtu kupigwa kama mnyama??? Uku uki piga mwanamke ao mtoto uta fungwa miaka tano.

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 роки тому

      Je wewe haukuwai kuishi Tanzania

  • @NeemaJumanne-h5d
    @NeemaJumanne-h5d Місяць тому

    Poleni sana jamani

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +2

    Rashid amenifurahisha ndoa ipite nahao watafutwe sheria ifate mkondo wake amehojiwa upande wapili mm nimefurahia sana usimuliaji wake

  • @alexandrinadomaino9868
    @alexandrinadomaino9868 3 роки тому +1

    Anyway poleni sana jamani.

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 3 роки тому +9

    Washitakiwe kabisa yaani wanaume sijui wapoje wakikuacha wanapenda uteseke lakini akikuona umestirika wanaleta shida

    • @aminaibrahim4148
      @aminaibrahim4148 3 роки тому +1

      Poleni sana hao ni zaidi ya wa nyama mungu ata wa lipia huo unyama nawao wata lipwa

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 3 роки тому +19

    Serikali isiposhughulika na hili swala aah nitaona kweli nchi yetu haina amani wafungwe kabisa wauaji wakubwa wale

  • @fantamohamedi8564
    @fantamohamedi8564 3 роки тому +2

    Pole dd hiyo familia waliowapiga woote wasenge

  • @faridmwinyi9462
    @faridmwinyi9462 3 роки тому

    Aisee.

  • @fathma1239
    @fathma1239 2 роки тому

    maskn mungu atakusaidia hii siaki

  • @queenurio7043
    @queenurio7043 3 роки тому

    Iv mbona ni rohoo ya ushetanii snaa hii jmny duh.. dadangu polee snaa

  • @lyneeekido5655
    @lyneeekido5655 3 роки тому

    Jamn mwenye hiyo video naomba unitumie pleas dah😭😭😭tukiwachoma.motoo wanatusema vbya mnatak tufanye nn

  • @rukiakassim9293
    @rukiakassim9293 2 роки тому

    Siku zote baadh ya wanaume hupwnda kutuacha na wtt sisi kuna mama na wanatak tupate shida siku zote na wanajua wakikuacha hwz kuapta mwanmme mwengine hv kweli hii ni haki?ukiona cha nn mwengine anasema atakiapta lini.tuweni waangalifu jaman kuna wanaume hawafai na niwanyama pole sn dada ula jifunze usikurupuke

  • @winfridamwita3370
    @winfridamwita3370 3 роки тому +4

    Dada Huyo mwanaume usimuache salama maana amekuzalilisha san

  • @khadijaabdullah6328
    @khadijaabdullah6328 3 роки тому +2

    Hatari kwa kweli sheria ifate mkondo🙏sasa jamaa mmoja alifumaniwa kwetu akanadiwa mwizi basi anakimbia anajinadishia mwenyewe mm sio mwizi mgoni😁

  • @ummyhasheem2245
    @ummyhasheem2245 3 роки тому +5

    Ila kuna watu awajui kuachika jmn sijui kwnn yananikuta haya yaan MTU anakufatilia mpk utumbo

    • @ummyhasheem2245
      @ummyhasheem2245 3 роки тому +1

      Mm mwanaume awez kufikia ivi woyii tna familia nzima amuoni haya nyoko nyie

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 роки тому

      c uliona zungu kachomwa moto kisa zungu kasema tuachane watu hawataki kuachwa

  • @ramadhanimagoha3017
    @ramadhanimagoha3017 3 роки тому

    Utupe na update ya kesi, lengo tujue maamuzi yaliyofikuwa.......!!!

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 3 роки тому +1

    Polenisana wafungwe kabisa iwefundisho nawengine wanatakaga mkiachana uchakarike

  • @JoyceNgonyani-d3s
    @JoyceNgonyani-d3s 9 місяців тому

    Mwanaume uyo mzuri usimwache uyo baba watoto akae kwakutulia

  • @dyanatanz6574
    @dyanatanz6574 3 роки тому +2

    Pole dada ang

  • @dyanatanz6574
    @dyanatanz6574 3 роки тому +19

    Hadi wifi yako anaingilie hayo mambo. Ndugu wa mme ni maumbwa na siuliachana nae huyo mwanaume jamani. Wambie wakulipe mamilioni sijui ngapi ili ujenge nyumba kabisa utulie na watoto wako sehem moja

    • @jenymtafya3430
      @jenymtafya3430 3 роки тому +3

      Mawifi kuingia Mbinguni itakuwa taabu saana, kwa kushadadia yasiyo wahusu sasa😀😀

    • @dyanatanz6574
      @dyanatanz6574 3 роки тому +2

      @@jenymtafya3430 tatizo uwa wanatombwa na kaka zao. Ndomana uwa wanaingilia kilakitu. Nivile tu hairusiwi ingekuwa sheria inaruhusiwa au sio aibu wangekuwa wanaingia mbaka chumbani kukushika Miguu wakati kakazao wanatomba.

    • @jenymtafya3430
      @jenymtafya3430 3 роки тому

      @@dyanatanz6574 🤣🤣🤭

    • @pieremchome5202
      @pieremchome5202 3 роки тому

      @@dyanatanz6574 msimulia mvua imemnyeshea,tunakushukur kwakutufumbua macho kuwa

    • @pieremchome5202
      @pieremchome5202 3 роки тому

      @@dyanatanz6574 kumbe huwa unalalwa na kakako!hongera