Mwl. Charles Saasita Mungu akupokee huko mbinguni ukaimbe Na Malaika hakika Ulikuwa nguli nyimbo zako zinatafakarisha sana tunaona utukufu wa Mungu kupitia uimbaji wako 😥😥😥😥
Pumzika kwa Amani MTUMISHI wa Mungu Charles saasita ,,sikufahamu lakini kila nikisikiliza nyimbo zako najikuta nikitokwa na machozi ,ila naamini kazi ya Mungu haina makosa.
Pumzika kwa Amani MTUMISHI wa Mungu Charles saasita ,,sikufahamu lakini kila nikisikiliza nyimbo zako najikuta nikitokwa na machozi ,ila naamini kazi ya Mungu haina makosa.
Tusajigwe Mwakalikamo namfahamu Mwl. Charles Saasita Nilimuona cku moja Kabla ya mauti kumfika Arusha tulikuwa kwenye uzinduzi wa kwaya ya Mtakatifu Francisco Kwa Ngulelo Alipiga kinanda kanisani Baada ya Misa nilitamani nikamrecord ila Nikaacha kumbe Ndy Ilikuwa Siku kwanza kumuona Na ya mwisho Naamini Mwl. Saasita anaimba Na Malaika Mbinguni
Mwl. Charles Saasita Mungu akupokee huko mbinguni ukaimbe Na Malaika hakika Ulikuwa nguli nyimbo zako zinatafakarisha sana tunaona utukufu wa Mungu kupitia uimbaji wako 😥😥😥😥
Hongereni kwa uinjilishaji
Pumzika kwa Amani MTUMISHI wa Mungu Charles saasita ,,sikufahamu lakini kila nikisikiliza nyimbo zako najikuta nikitokwa na machozi ,ila naamini kazi ya Mungu haina makosa.
IPO amazing Sana wanangu wa Mwecau. St Joseph choir live long
Nimeupenda wimbo huu Mungu awabariki waimbaji na pia Mungu amrehemu aliyeutunga wimbo huu..Amina
Akika mungu akupumzishe maala pema uwe pamoja na watakatifu wake amina
Nitaimba na kumsifu bwanaaaa.......hongereni sana
Kaz nzur mnooooooo👏👏👏👏👏👏👏👍
Ilike the best song of late Mwl. Charles Saasita May his soul rest in paradise
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Rest in peace C.Saasita.Hongereni kwa wimbo mzuri
Nyimbo zake nzuri sana nampenda pia
hakika kazi inabariki kweli kweli...full catholic, hongereni sana. kinanda kimechezwa vzr sanaa.
Mungu akupe pumziko la amani Charles saasita yani wimbo ni Mzuri mpaka basi
Emmy Mgonto kabisa wimbo ukisikiliza unatokwa Mpaka Na machozi
Wow!!! Keep it up guys and God bless you all.
Nyimbo zako nzuri saaaaanaaaaa zina mvuto na zimetulia,Gooood
Amina hongereni watumishi wa Mungu wimbo umetulia.Ahsanteni sana
Hakika nota zilipangwa na kukamatana
mko vizur tangu ni uone huu wimbo sijaacha kuusikiliza
Apumzike kwa amani Mwl Saasita
napenda sana kwaya
Wimbo mzuri
mungu awabariki kazi zenu nzurii!
lukanya edward Amina
Very nice Song,may his soul rest in peace.Naomba sosft copy ya wimbo huu plz
Baraka Thobias CHARLES SAASITA
Safi sanaaaaaa
RIP Charles Saasita
Amazing
R.I.P C.Saasitta
Yaaani ni raha mpaka bac...
woooo had I raha
So amazing
May his soul rest in peace
Astonishing
Saasita unaishi daima moyoni na akili mwetu. Tutakuadhimisha daima kwa utume huu uliotukuka
Ngoma imekaa poa sanaaa hii
Wakiña sisi
Kweli. Ongera
NZURIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
Sasa hapa mkuu nimekuona by tyson
Pumzika kwa amani saa sita , mbinguni ukaimbe na malaika milele yote
Nimeupenda wimbo huu,Mungu awabariki waimbaji, na pia Mungu Amrehemu aliyetunga wimbo huu Amina....