NANI ALIYETOA TAARIFA KWA MKE WA MAGUFULI?, MABEYO ASEMA YOTE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

КОМЕНТАРІ • 14

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 5 місяців тому +4

    Pole sana Mkuu, kazi ngumu umefanya, Nakuombea kwa Mungu.

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 5 місяців тому

    WEWE NI KIONGOZI WA UKWELI NA MUNGU ATAENDELEA KUKUBARIKI SANA NA NDIO MAANA JESHI LINAHESHIMA SANA WANANCHI TUNALIPENDA SANA WEWE UNGEKUWA KIONGOZI MZURI SANA TUNAPENDA WATU WASIO NA TAMAA KAMA WEWE ❤❤❤❤❤❤ WADHIFA MKUBWA LAKINI HUJIKWEZI HATA KIDOGO!!!!!!! MUNGU NI MWEMA SANA KWETU KUTUPA WATU KAMA WEWE.❤❤❤

  • @pauloropian2367
    @pauloropian2367 5 місяців тому +1

    Mungu ndiye anayejua ukweli wa kila kitu.moyo wa mwanadamu ni msitu.

  • @yonamwakanyamale5023
    @yonamwakanyamale5023 5 місяців тому

    Hadithi za kutungwa, Raisi wa nchi yuko mahututi, makamu wake hayupo,Waziri mkuu hayupo, mke wake hayupo, katibu mkuu kiongozi hayupo. Nini kilikua kinafichwa..? Hii nchi..

  • @andersonchongoma1723
    @andersonchongoma1723 5 місяців тому

    He has proved himself that he was an oustanding I.O .

  • @user-ip1ml8tx8s
    @user-ip1ml8tx8s 5 місяців тому

    Mungu anayaona yote yaliyo fanyika juu kiumbe wake Magufuli,mwanadam yoyote hawezi kuyachambua sanasana tutasikiliza nakuwakubalia tuu,ss wote tutasafiri,

  • @pauloropian2367
    @pauloropian2367 5 місяців тому

    Hiiii nchi yetu mungu zaidia

  • @Our_Patriotism
    @Our_Patriotism 5 місяців тому

    Nahisi kuna KAUZEMBE FULANI KALIFANYIKA HASA ISHU YA KUSEMA "SUBIRIA KWANZA". NINA UHAKIKA MOYO WA JPM UNGEPONA. PROF DOCTORS WANAJUA KUNA SOMEWHERE UZEMBE ULIFANYIKA

  • @noahlaizer-ll2ri
    @noahlaizer-ll2ri 5 місяців тому

    Pole sana

  • @naomikariuki1841
    @naomikariuki1841 5 місяців тому +1

    Tutamchagua SSH kama rais wa Tanzania kwa mara ya pili. Wacha porojo.

    • @saidkipalo4427
      @saidkipalo4427 5 місяців тому

      Sana tena kwa kishindo kikubwa 🙌

    • @kellyngogo3319
      @kellyngogo3319 5 місяців тому

      Huyu hana porojo humji!! Huyu kwa SSH NDO ROHO YAKE. ❤

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 5 місяців тому

    Andika kitabu,baba.

  • @jarnskorelly464
    @jarnskorelly464 5 місяців тому

    Tuchangue mwingine kwasababu walimpa tu kazi