🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024
  • Endelea kubarikiwa na somo hili.
    ..........................................................................
    Neno la Mungu ni Taa ya Miguu yangu na Mwanga wa njia yangu.
    Neno la Mungu ni Pumzi ya maisha yangu, unapolisoma neno la Mungu hautapotea gizani bali Nuru ya Bwana itaangaza Maishani mwako kila wakati.
    ..............................................................................................................................................................................................................................................................................................
    Naitwa Japhet Magoti ni mtumishi wa Mungu ambaye nahubiri na kufundisha neno la Mungu kuhusu habari za Yesu mwenye wokovu. Mungu amenipa baraka ya mke mmoja Veronica Japhet Magoti na watoto wawili wa kiume Jayson na Jayvyn Japhet Magoti.
    ...............................................................................................................................................
    Unaweza kushiriki huduma hii kwa sadaka yako ili tuzidi kupeleka injili kwa watu wengi kwa njia zifuatazo:-
    Mpesa 0764062976 jina JAPHET MAGOTI MATOTI
    Safaricom mpesa number 0713307222 Japhet Matoti
    Tigopesa 0712526937 Veronica Kanick
    CRBD BANK 0152318092200 JAPHET MAGOTI
    Mungu akubariki sana.

КОМЕНТАРІ • 9

  • @anitharonlinetv1392
    @anitharonlinetv1392 7 місяців тому +1

    Amen tunabarikiwa

  • @user-pq9be8re6i
    @user-pq9be8re6i 7 місяців тому +1

    Amen 🙏🙏🙏🙏

  • @gladysnyaboke6481
    @gladysnyaboke6481 7 місяців тому +1

    Amen.

  • @GattyChacha
    @GattyChacha 7 місяців тому

    Amen Amen Amen Mtumishi Wa MUNGU. Mahubiri kama haya tunayakosa Sana Nyumbani. Na tunayasikia nje. Sasa tunapoletewa nyumbani ni furaha tele. Be blessed Man of God.

  • @eunicekerubo1585
    @eunicekerubo1585 7 місяців тому

    God bless you pastor

  • @NyamariFaith-qu1jm
    @NyamariFaith-qu1jm 7 місяців тому

    Very impressive word may God bless the word $be planted in our souls $also pastor be blessed too am watching from Saudi Arabia

  • @calebmakori
    @calebmakori 7 місяців тому

    Mbona pastor sometimes we feel our prayer are not going through.

  • @OkemwaNyandoro
    @OkemwaNyandoro 7 місяців тому +1

    Very great Pastor, Umekua Baraka Sana kwangu na kwa Familia yangu. Nazidi kufuatalia Mahubiri yako. Imeimarisha my Faith to be Strong kwa Mungu. Nina Amani Kwake. Mungu azidi kukutumia na Kukubariki

  • @annemusau6734
    @annemusau6734 7 місяців тому

    Magoti mimi ni mmoja wao niliota nikiwa last kwa daresa Mara Tatu nitaji number yako nikupingie nikueleze tuombe pamoja mchugaji please