Asante Yesu, nchi hii umetupa mtumishi, Asante Sana Yesu wangu kwa kutupendelea mno watanzania kwa kutupa mtumishi sahihi watanzania umetupa upendeleo wa pekee kabisa
A TRUE SERVANT OF THE MOST HIGH GOD. I DONT KNOW MUCH ABOUT HIM YET, BUT I ALREADY FEEL THE POWER WHICH IS BEHIND HIM. GLORY AND HONOUR BE TO THE MOST HIGH GOD 🙌🏼🙌🏼🙏🏾🙏🏾
Eeeeh mungu nipe hekima niweze kushida hila za shetani in jesus name......eeeh mungu kutana na hitaji langu na uniweke mahali sahihi na roho wako nimalize vyema🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mchunganji mwenye maarifa makuu ya undani ya Neno La Mungu. Mafunzo dhabiti mno sijawaji patana na haya. Mungu asante kwa Mch Moses Magembe, mafunzo nimejifunzaunza mengi. Barikiwa Faithful Servant of God. Live long .Amina
Leo ndo nimegundua kwanini Petro alisema tuende kwanini wakati kwako kunamaneno ya uzima! Yohana 6:68 Hakika Neno la MUNGU nitamu zaidi ya Asali , zaidi ya chochote nazaidi ya hapo ndani ya Neno lake kuna uzima wa milele 💪💪💪 YESU NI MWAMBA, YESU NI MFALME WA wafalme wote, YESU NI MUNGU💪 YESU NIKILA KITU KWANGU I LOVE YOU JESUS 🙏🙏🙏
JINA LA BWANA WETU YESU KRISTO LIBARIKIWE , NIMEBARIKIWA TOKA INCHI YA DEMOCRATIC REPUBLIC OF CONGO FROM BENI TOWN , NAULIZA KAMA NI LINI MUTALETA HILI KANISA HAPA JAMUHURI YA KIDEMOCRATIA YA KONGO. MUNGU AZIDI KUWATIYA NGUVU
Bwana Yesu asifiwe Nilikua naomba kwamba kuna somo moja linaita (FUNDISHO KUHUSU MUNGU)nimelifuatilia lakini alijamaliza nilikua naomba Utuandalie semina ili tuweze kujifunza somo lote. "MUNGU WA MBINGU NA NCHI AWABARIKI KWA KAZI NJEMA"
Asante Yesu, nchi hii umetupa mtumishi, Asante Sana Yesu wangu kwa kutupendelea mno watanzania kwa kutupa mtumishi sahihi watanzania umetupa upendeleo wa pekee kabisa
Amina mtumishi wa Mungu tumebarikiwa sana kwa negotiate la Mungu
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Umeniponya sana Baba. Mungu akuweke miaka mingi tuzidi kunyonya maziwa yasiyogoshiwa Baba. Utukufu kwa Bwana.
A TRUE SERVANT OF THE MOST HIGH GOD. I DONT KNOW MUCH ABOUT HIM YET, BUT I ALREADY FEEL THE POWER WHICH IS BEHIND HIM. GLORY AND HONOUR BE TO THE MOST HIGH GOD 🙌🏼🙌🏼🙏🏾🙏🏾
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU aliyehai nimepokea uponyaji kwa neema tu.💕
Bwana akubariki sana mch Kwa ujumbe wa Neno la Mungu unaonibariki na wengine pia
Nakupata vizuri Sana mch.moses magembe, Niko Goziba bukoba, nakupenda wewe ndie mpentecoste nilie kupata nchi hii.
MUTUMISHI wa
MUNGU uniombe mumewagu nimulevisana
Yesu anisaidiye
Eeeeh mungu nipe hekima niweze kushida hila za shetani in jesus name......eeeh mungu kutana na hitaji langu na uniweke mahali sahihi na roho wako nimalize vyema🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu akutunze mtumishi wa Mungu umekuwa mwalimu kwangu wa neno la Mungu
E mungu 2pe neema 2pe upeo wa kusikia neno lako
Mungu wako anipandishe viwangu
Barikiwa sana mch hakika yesu anaweza
Ubarikiwe mtumishi wa Bwana. Mungu akutumie zaidi na zaidi
This is the gospel I desire to hear..
Baba unafundisha neno asiyefundishika so wa zizi hili God bless you a lot
Kweli mtumishi Mungu aendelee kukutumia kwa viwango vya juu namna hiyo hii ndiyo injili ya kweli ubarikiwe
Powerful indeed My Pastor
Mungu mwema Glory to Glory
Mungu akubariki
Hongela mtumishi endelea kusema ukweli, wa neno LA mungu akubariki pastor Haule wa eagt.
Amen nami nimepokra uponyaji kicha kilikuwa kinaniuma kimepona kabisa
Barikiwa mtumishi wa Mungu
Mugu akubariki sanababa
Ameina barikiwa sana Pr
Mungu ni Mkuu
Ubalikiwe sana kwa mafunzo mazuli 🙏❤️
God's word is essential in my life!!!!!
MUNGU akutie nguvu mtumishi wa MUNGU na akuongezee mafunuo zaidi!💖💐🙋🏾♀️
Nakutukuza Mungu kwa ajili YA mtumishi wake
Tunamchukuru mungu Kwa bebo hi. Mungu akubariki sana babá maguembe.
Amena amena mtumishi ubarikiwe sana baba
Barikiwa na Mungu mchungaji
Asandi pastor mzee wetu tuna kuvyata tukiwa marekani USA
Asante mchungaji wangu. Unanitoa mahali. Mungu akuzidishie sana,akupe kuishi maisha marefu uendelee kutufundisha.
I love you past Magembe
Amen
Amen amen, cfa na utukufu kwa BWANA YESU
aminaa
So powerful deep teachings thank you man of GOD
Hallelujah, this is a gospel which our generation needs. Glory be to God, be blessed Dad.
Thank you Lord for the Rhema today!
Ameni Baba
Great is our God.....
Oo Man of God be blessed!
Ameni
Mchunganji mwenye maarifa makuu ya undani ya Neno La Mungu. Mafunzo dhabiti mno sijawaji patana na haya. Mungu asante kwa Mch Moses Magembe, mafunzo nimejifunzaunza mengi. Barikiwa Faithful Servant of God. Live long .Amina
This Man!!!! May GOD excel him with the lots of days
Nafulai sana kunifundisha kweri huuu ndiyo upendekosti
Ninakuoata baba Jina la Bwana lihimidiwe Asante kwakutufundisha upentekoste.
Ninakupata baba.
Hallelujah 🙌🏾
Amina
Amen baba
Amina. Mungu ndiye anipiganiaye mwanadamu atanitenda nini.
Asante ujumbe unaofugua maisha yetu.
Mungu akubariki mtumishi,baba yangu
Sound doctrine of God
hii ndio injili inatakiwa katika siku hizi. acheni chunvi,mafuta,maji...
Amina Sana
Tumebalikiwa injili ya kweli inahubiriwa
Ameen Ubarikiwe Sanaaa Baba Mungu Akulinde Akutunze Daima Ulitumikie Kusudi Lake Ubarikiwe Sanaaa Nakupenda Sanaaa
Barikiwa sana baba magembe
He is the standard of himself
Barikiw baba swali langu Hawa wakuu wa Giza siyo wanadamu ambao ni wachaw
🙏
Amina mtumishi wa mungu mungu akutangulie
Ubarikiiwe sana mtumishi wa Mungu
Barikiwa baba
Amen Amen
Kweli baba Mungu Akubariki sana
Yesu ni Bwàna
AMEN
🙏🙏🙏
Ubarikiwe mtumishi
Njema sana
Ubarikiwe kwa huduma njema
Ubarikiwe na Bwana, naitaji namba ya whatsaap ya mchungaji, nawafuatilia toka jimbo la Colorado Denver
Asante yesuuuu
Amen amen dady
So Excellent gospel.
Ubarikiwe baba
Leo ndo nimegundua kwanini Petro alisema tuende kwanini wakati kwako kunamaneno ya uzima! Yohana 6:68
Hakika Neno la MUNGU nitamu zaidi ya Asali , zaidi ya chochote nazaidi ya hapo ndani ya Neno lake kuna uzima wa milele 💪💪💪 YESU NI MWAMBA, YESU NI MFALME WA wafalme wote, YESU NI MUNGU💪 YESU NIKILA KITU KWANGU I LOVE YOU JESUS 🙏🙏🙏
hallelujah
Amen Amen🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Ubarikiwe baba naomba na ya WhatsApp
UBALIKIWE MTUMISHI WA MUNGU ALIE HAI BY REV .S.UMUNI NIPO KISUMBA RUKWA
Ubarikiwe Baba kwa huduma yenye madhihirisho ya nguvu za MUNGU.
Mungu wa Mbinguni akutunze baba
Wangetokea watumishi watatu kaka wewe tungeingia wote mbinguni
Kongamano lambeya
Mchungaji madhbahu yako yapo wapi
Ephesians 6;10;18
Asante kwaneno la vita ila samahani sana mchungaji ungekuwa una rudilia number yako yasimu mara mbili MUNGU akubariki sana kwa masomo unayo tupa
Soma kwenye simu yako zinapita
JINA LA BWANA WETU YESU KRISTO LIBARIKIWE , NIMEBARIKIWA TOKA INCHI YA DEMOCRATIC REPUBLIC OF CONGO FROM BENI TOWN , NAULIZA KAMA NI LINI MUTALETA HILI KANISA HAPA JAMUHURI YA KIDEMOCRATIA YA KONGO.
MUNGU AZIDI KUWATIYA NGUVU
Bwana Yesu asifiwe
Nilikua naomba kwamba kuna somo moja linaita (FUNDISHO KUHUSU MUNGU)nimelifuatilia lakini alijamaliza nilikua naomba Utuandalie semina ili tuweze kujifunza somo lote.
"MUNGU WA MBINGU NA NCHI AWABARIKI KWA KAZI NJEMA"
AMEEEN.
ASANTE YESU KUSEMA NAMI LEO.
Ex
Mugu akubariki sanababa
Amen
Tupo pamoja baba
🙏🙏🙏
Ameni
🙏
Amina
Mugu akubariki sanababa
Amen
Amen
Ameni