Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Pablo na John nimefurahi kweli kuitazama interview yenu,, maswali mazuri na kujibiwa kiufasaha❤❤❤👑👑👑
Super captain fantastic JB nguvu moja 🎉🎉🎉
Wanasimba tunamkubali sana mungu akubariki ktk majum yako mapya❤❤❤
John boco mungu aendelee kukutunza,uendelee kufanya vyema kwenye mpila
Bwana boko wanasimba tupo pamoja na ww mpaka utapokubali kua mpira bhas... Tutakupongeza huna baya😂🎉
Crown 👑 tupo pamoja 🙏🙏
Hongera kaka kwa majibu mazuri mungu hatakusaidia
Big up San bro
Boko mungu azidi kukuongoza 🎉🎉
ninaiman utaisaidia sn JKT captain Boko. SIMBA NGUVU MOJA ❤️💯❤️
Kwamba ajiangaliagi kwenye video
MUNGU akuepushe namajeraha sisi wana simba tunatambua mchongo wako, hakuna lenye mwanz lisiro namwisho
Kaka pumzika tu, ujue mguu huo ukivunjika kuunga ni ishu bro!!
Hahahahaha eti sio mzee mtafia uwanjani
Sisi wanasimba bado tunakukubali John boko na hata ikitokea siku tumecheza na jkt tutakupigia makofi wakati unaingia na wakati unatoka.
Ayo ndo majibu mazuri xaaaana Boko maswali ya kizushi ayo
Yenye wivu yanatoa maneno machafu kwa niko yani watanzania bana ikikosa akiri utaitwa chizi na fala mkubwa boko hongera sana kukuona bando upo mwenye mpira
Kwa uelewa wangu mdogo akiacha mpira ndo atazeheka kwani mazoezi hatakuwa hana
Utavunjika kaka mifupa imekomaa
Safi sana boko❤❤❤❤❤
Yaani bocco ni muungwana sana mtu na nusu huyu kabisa
Ushazeeka ww huo ndio ukweli
😂😂😂😂et hayajaisha shekhe?
Nimecheka kinazi 😂
Nimecheka kinazi 😂😂
Kwanza kushika nafasi ya tatu tulipenda
Bocco Mungu mwema bado tunakupenda.
Tunakupenda Boko ss wana simba
Kama hujazeeka cheza dakika 90 kama hujaanguka ww
Bocco acha tamaa wewe ni mzee bwana umri umekwenda
Uzee wake nini hapo?
El Capitan
Kwan cr7 anamiaka mingap achen uxhamba kk cheza mpira
Boko safi sana unajibu vizuri
Wanalunyasi hatuna baya na ww, pambana walau msimu utie goli 10
Kweli boko sio mkubwa huju mamba haikupaswa kustafu bado anaweza miaka arubain hajafikisha said ooh miaka 45 na anachezaaa
Alafu hana mambo mengi hanywi kabisa mapombe
Hahaha utacheza lakini sio Simba na yanga, huwez presha yake kwasasa.
Boko ni mchezaji mwenye heshima sana
Acheni ujinga kwani lazima acheze yanga au simba ? Mbona mijitu mingine kama michizitu kabila gani nyie msiokuwa na uelewa wa mpira mbavu nyie
😂😂😂
Role model natak nione mazur
Unatangaza kustaafu ghafla umerudi tena sasa tukueleweje😂
😂😂😂😂
Kwan ww nn kinakusumbua