AHMED ALLY AFUNGUKA BAADA YA KUFUNGWA NA YANGA "NI UZEMBE WETU" | MPANZU KAANZA KAZI |"VIBALI TATIZO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 лис 2024
  • Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika
    Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv

КОМЕНТАРІ • 17

  • @FrankLuhaha-dt5sh
    @FrankLuhaha-dt5sh Місяць тому +3

    Kweliiiiiii kabsaa ukiwa bingwa huwezii kushindaaa kila mchezo hapo nmekuelewa japokuwaaa mm n mwananchiiiii🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @janethelly4986
    @janethelly4986 Місяць тому +2

    Nampendaga sna msemaji wetuu anaga manenoo mengiiii lkn kuna wtu ingekua ni wao loooh wangeeka bango la lawamaa

  • @davidwatson6821
    @davidwatson6821 Місяць тому +2

    Simba tujipage, Utopolo wamekuja kivingine mwaka huu

  • @musamshema7838
    @musamshema7838 Місяць тому +1

    Wakati mnacheza na Tabora pamoja na singida walikuwa na changamoto ya vibali lakini Karia alikataa kuwapa vibali kwa wakati makusudi leo wachezaji wa simba wanapata vibali kwa dakika 28 pekeake
    Hapo utajua Karia anaupelekawapi mpira wa Tanzania 🇹🇿

  • @ommykiss7049
    @ommykiss7049 Місяць тому

    Huku kwenye ligi ya wanawake unaongea vzr sana

  • @enockmlyuka6475
    @enockmlyuka6475 Місяць тому +1

    Vibali kutokuwa tayari mpaka siku ya mechi ni uzembe mkubwa.

  • @derickmkuwa6977
    @derickmkuwa6977 Місяць тому +2

    Mapanya road

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka Місяць тому +2

    Ubaya ubwela

  • @PhilomenaSteven-x9h
    @PhilomenaSteven-x9h Місяць тому +1

    Una jipyaaaa wandishiiii ndugu wandishiiii Cheka tu fc

  • @bahatisanane
    @bahatisanane Місяць тому

    ni uzembe wakocha

  • @josephmturi6936
    @josephmturi6936 Місяць тому +1

    Hakuna uzembe ni ukomedy tu kila siku Simba acha tufungwe tu

  • @HappyEel-wg4qx
    @HappyEel-wg4qx Місяць тому +2

    Acha mdomo

  • @JanuariMchuno
    @JanuariMchuno Місяць тому +1

    Wew vp mlivo wafunga tabora mnafurahi Leo unalalamika mara hamna vibali jiunge na cheka2

  • @abuusadick9891
    @abuusadick9891 Місяць тому

    Ila wamesha sema wanafeka vichaka vyote mwaka huu wamesha fanya mambo yao ya kiiuchawii kote kote awo nyuma mwiko wachawi to