Askofu Shoo ataka tambo zipigwe kujenga siasa za maridhiano

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024
  • Kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania KKKT limetaka tambo zipigwe kujenga siasa za maridhiano zitakazochochea umoja, shikamano na udugu miongoni mwa watanzania.
    Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Kanisa hilo Askofu Dkt. Fredrick Shoo wakati akifungua mkutano wa 35 wa Dayosisi ya kaskazini ya kanisa hilo ambao hufanyika kila baada ya miaka miwili kutathimini utekelezaji wa mipango mbalimbali ya kanisa.

КОМЕНТАРІ • 3

  • @deogratiasmassawe4543
    @deogratiasmassawe4543 4 роки тому

    Yani inatakiwa haki

  • @jamesrobare522
    @jamesrobare522 5 років тому

    You are really Aman of God, happy is you who pleases your creator.

  • @cuthbethajetu2148
    @cuthbethajetu2148 5 років тому

    vizuri sana askofu Dr shoo Kwa.kutomung'unya manene;we we ni miongoni mwa viongoz safi Wa dini Kwa kuwa unasimamia haki na ukweli ambao baadhi ya viongoz Wa.dini hawawez kwan wao wametanguluza maslai yao binafsi hivyo huwalazimu kujipendekeza Kwa wanaodhulumu haki stahiki za wenzao;endelea kusimama ktk kweli ya mungu na mungu akujalie na kukuongezea hekima;busara na Moyo Wa ujasiri:amen