MASKINI! Taarifa Ya Huzuni Tuliyopata Hivi Punde Kuhusu Wema Sepetu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 126

  • @anglehope8534
    @anglehope8534 6 років тому +1

    Pole sana my lovely actors wema sepetu tunakuombea sana upone haraka Jackline from Kenya 🇰🇪

  • @majaliwajob1808
    @majaliwajob1808 6 років тому

    Dah! Pole sana dadaabg wema me spend hata huwe na stress dadaang maana nim2 ulie utawara moyowang nakuerewa sana dadaang mungu mkubwa

  • @mudasina900
    @mudasina900 6 років тому +4

    kama anaumwa tumuombee apate shifaa maana sio vizuri kumpendelea mabaya kiumbe mwenzako,Wema Allah akupe shifaa

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 6 років тому +12

    Pole Wema jipe moyo Allah akuzidishie Subra In Shaa Allah.

  • @munfatchichi2874
    @munfatchichi2874 6 років тому +10

    Pole dada wem mm nakupend tu jiangalie mwenyew na usikubali kupelekwa kam mtu asiye jielewa

  • @faridahangedo5554
    @faridahangedo5554 6 років тому +1

    Pole mamii barikiwa mpaka madui zako washangae

  • @arnesyadominiki8277
    @arnesyadominiki8277 6 років тому

    Pole sana wema majaribu nisehemu mojawapo katika maisha ya mwanada muombe Allah akupe nguvu ya kuyashinda

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 6 років тому

      Hao wanaomtukana utadhani wao ni malaika kumbe Mungu angetufunulia dhambi zao tungekuwa bubu wote kwa mshangao. Acheni kunyoosheana vidole 👈 jamani.

    • @annamwangaza605
      @annamwangaza605 6 років тому

      Pole wema wangu ni mapito yatapita

  • @margaretkuvunangomengome1447
    @margaretkuvunangomengome1447 6 років тому +1

    Wema mama wasikuhukumu huanzi wewe kumkosea mwenyezi Mungu. Laajabu wanao mhukumu huenda ndio wachafu kumshinda. Wema lakufanya ni kutafuta uhusiano wako mzuri na muumba wako

  • @vickynicho9521
    @vickynicho9521 6 років тому

    Pole sana swrry jtie moyo utapona tu .

  • @umulithoumulitho2871
    @umulithoumulitho2871 6 років тому

    jamani hill LA wema limepita .je ambaye Hana makosa awe wa kwanza kuchukua mawe na kumponda.

  • @samueljr9105
    @samueljr9105 6 років тому +1

    Wewe ni mzuzi sana malkia wa Tanzania gogogogo wema!!! umesifiwa na uzuri fanya utakavyo tu

  • @jamilaconnection
    @jamilaconnection 6 років тому

    Sorry my dear wema mungu akulinde

  • @hamidaalhabsi5114
    @hamidaalhabsi5114 6 років тому +6

    Amakweli waswahili walisema kibaya cha jiuza na kuzuri cha jitembeza uzuri wa mwanamke ni kujisiri sio hujiweka rahisi . Ukifikiri sana mwanamke ni shimo la mataka sasa mwanamke ukijirahisisha kwa wanaume nikupata maradhi tu. Juu la umbo lako kwa mwanamme nitaka taka tu.Ungekuwa unafikira yakuheshimu wanawake usinge piga hizo picha harafu unajuta baada ya nini Dada maji yakisha mwagika hayazoleki inabakia majuto tu pole kwa kujifedhehesha

    • @mudasina900
      @mudasina900 6 років тому

      kwani anajuta hajuti hana aibu kama mwanamke kinachomsumbua ni kusumbuliwa na police na bodi ya filam lakini mimi naona anaona ni kawaida tu

    • @alimbugua5903
      @alimbugua5903 6 років тому

      Hamida Alhabsi ,,,,amezoea huyo acha wanaume wamwage taka kw iyo dastpin yke ndo aturingie vizri na future husband wake nka ss hatpatangi mabwana

    • @aliceraphael6545
      @aliceraphael6545 6 років тому

      ..

  • @aishawoooiii2777
    @aishawoooiii2777 6 років тому +1

    Inshaallah mungu amchukue tu sioni faida yake

  • @evalisanza534
    @evalisanza534 6 років тому

    Hivi Wa Tanzania mna Mambo. 🤨🤔

  • @pendomsabaha370
    @pendomsabaha370 6 років тому +1

    Pole dear mungu you nawe daima

    • @zainabuhmbabazi4928
      @zainabuhmbabazi4928 5 років тому

      Mungu ni wamilele si yule wakukumbukwa wakiwa namatatizo wakati alikuwa akijiposti tupu zak hamujamwambia kuna Mungu

  • @christianadaniel3337
    @christianadaniel3337 6 років тому

    upo sawa kanisa badala limtafute mungu linatafuta kiki

  • @abdulmajidali2151
    @abdulmajidali2151 6 років тому

    wema nakupnda san nataman ata nipte nafsi kukutan na wew pole utapoa pia usijal yashapita hayo ilove you fany ibada

  • @halimasaif3061
    @halimasaif3061 6 років тому

    Ishaallh mungu atasaidi

  • @uwamahoroemanneul4527
    @uwamahoroemanneul4527 6 років тому

    Kuombewa nivizuli.sana ila kumuombea muntu sio.pablike unamuombea kimya kimya.halafu mungu anajibu

  • @kabwecirezi5156
    @kabwecirezi5156 6 років тому

    Jamani hata mahombezi ahutaki dada wema , mungu yupo mahali popote

  • @halimamasalanga4039
    @halimamasalanga4039 6 років тому

    Pole lnsha Allah yataisha dada jipange upya mamboyatakuwa sawa ila nakuomba uwe na mambo ya privet kwani simba mwendapole ndiomlanyama na usikubali ukiwa na mwanaume akuchukue video na achana kabisa kudet na wanaume wasiojitambua kingine achana na pombe endapo kama unatumia mana unaweza ukalewa upo na mpenziwako akachukua video bila we kujijua anapost anajichukulia umaalufu

  • @asmaasma2728
    @asmaasma2728 6 років тому +18

    Haumwi hiyo ni tahayuri kwa aliyo yafanya anaona aibu tu huyo

    • @azezaalkh8536
      @azezaalkh8536 6 років тому

      Asma Asma upojuu kinoma

    • @alimbugua5903
      @alimbugua5903 6 років тому

      Asma Asma ; anaeza kua kweli anaumwa coz unaelwa hiyo mahaba ilikua moto,, tena kw sasa hana waknyonya ' nn' lazma awe ka mgonjwa coz alkua amezoeshua kupewa

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 6 років тому +1

      Hata marehemu Masogange walikataa aliposema anaumwa hadi Mungu alipomchukua ndio watu wakaanza kujifanya wanaona hudhuni. Binaadam hatuna mema.

  • @faridahfarah7730
    @faridahfarah7730 6 років тому

    Pole hani

  • @firdausabdullah6315
    @firdausabdullah6315 6 років тому +2

    Allah akuhifadhi wema ila we mtangazaji bana unatueka roho jujuu y umeeka umbiulence niacheni ajali dho ama kweli mutatuua

    • @mymunamymuna4807
      @mymunamymuna4807 6 років тому

      Nyumbu watu washakusahau endelea kupost pic na future husband wko

    • @mymunamymuna4807
      @mymunamymuna4807 6 років тому

      Wala huumwi, ungekua waumw hungepata nafasi yakuandika waraka huo nakupost

    • @aminaqasim2145
      @aminaqasim2145 6 років тому

      Kabisaaa watangazaji hawaa

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 6 років тому

    Wewe mama pumzika ziba masikio kwa muda. Ihi mechi aitaji hasira. Pumzisha akili yako mama.

  • @shamsahassan2586
    @shamsahassan2586 6 років тому

    haumwi huyo nihaya imemshika shame On her.... km nimapenzi kila mtu uwayajua nauwafanya kwanini yeye arushè picha chafu mitandaoni,,, hakuna wakubwa kule alikotokea

  • @nacyluizer3734
    @nacyluizer3734 6 років тому

    Tena wema wachambe wakufanyie maomb wew mkristu kwan hunaposali hawakuon,,,,,mfyuuu nmekerek wew mchungany wagonjwa wakristo wameixha mpka ukamfanyie mtu aliyekuwa anapta rah zake huku anaukichaa gani huyooo,,, wakristu tuache upumbafu mungu hataniwi

  • @anusiatalusambo5703
    @anusiatalusambo5703 6 років тому

    binadamu kuweni na huruma kwani hakuna mkamilifu, utapona dadang

  • @fatumamwabalaza630
    @fatumamwabalaza630 6 років тому

    Pole sana wema

  • @neemakabote9491
    @neemakabote9491 6 років тому +3

    Wema mungu atakusaidia tuu achana na wachugaji njaa wanatafuta kiki wanafiki

    • @franksonmzunya6965
      @franksonmzunya6965 6 років тому +2

      Watumish wa MUNGU mnawaita wachungaji njaa kwasabab ya uyu hayawan mweny pepo la ngono.. Kwel sikio la kufa...

    • @neemakabote9491
      @neemakabote9491 6 років тому

      Huyo sio mtumishi wa mung ni njaa tuu tena anatimiza unabii uliotabiliwa mchungaji gan wa hivyo anatafuta kik

    • @franksonmzunya6965
      @franksonmzunya6965 6 років тому

      You know him exactly?

  • @josephinemakungu8447
    @josephinemakungu8447 6 років тому

    heeeeee mrudieni mungu muwache kiki

  • @cindymacho5282
    @cindymacho5282 6 років тому +1

    shikamoo Raisi wetu,kweli konk konk konk master,duuuh usipokadha papuchi,zipu zinakonk,konk sana.

  • @auleliamngongo3456
    @auleliamngongo3456 6 років тому +1

    Pole daa wema

  • @malaikajaden5788
    @malaikajaden5788 6 років тому

    pole San lv

  • @irenebaltazary8280
    @irenebaltazary8280 6 років тому +1

    Polee bby wema

  • @zwinsalhabsu264
    @zwinsalhabsu264 6 років тому +1

    😂😂😂😂😂laana hiyoo rudi kwa mungu wako wewe

  • @vumiliangonyani1986
    @vumiliangonyani1986 6 років тому

    Pole wema

  • @salehhussein8428
    @salehhussein8428 6 років тому

    Wema usikubali ..... weye si muislam kwa nini usitafuti ma sheih wakuombeye dua.....

  • @adichatoto2751
    @adichatoto2751 6 років тому

    Wema simgonjwa anajidanganya kulingana na aibu alio ifanya kila kukija ni wema wema ametujosha na vituko zake mimi nipo Kenya nakila kukija nikifungua UA-cam nakuta niwema wema wema wema jamani

  • @pichunakichuna2111
    @pichunakichuna2111 6 років тому +1

    They still talk about wema?

  • @rajabuathumani7647
    @rajabuathumani7647 6 років тому

    anaogopa kesi huyo

  • @chinekeechinekee903
    @chinekeechinekee903 6 років тому

    Sikio la kufa haliskii dawa kweli

  • @priscahmwanza311
    @priscahmwanza311 6 років тому

    Wema utaombewa vipi na ww ulishaingia Illuminati? That y umepinga kwa haraka it's because unajijua ulichokiweka sahihi, Kama tuko pamoja gonga like

  • @sumesume7928
    @sumesume7928 6 років тому

    Kwani huyu wema ni muislamu au ni mlokole mbona sielewielewi

  • @aishahashim15
    @aishahashim15 6 років тому +1

    usimhukumu MTU kwamabaya yake hujui baina yy namolla wake yuko VIP

    • @bidiiyako6803
      @bidiiyako6803 6 років тому

      Hiyo ni kweli kabisa, Umenena, dada yangu Mungu akubariki

    • @aharamasaa8744
      @aharamasaa8744 6 років тому

      Kuna.wat niwaisilam majina.wakiumwa wanamsahau mungu.wao.wanaenda makanisani.kuwombewa lakn ailie muislam waukweli hawezi kwenda kanisan hatakama.yuko taaban

  • @samiraming5246
    @samiraming5246 6 років тому

    bwana acheni watu wadendeke buanaaaa kwani denda ni utupu teeteeteee basi midomo ivikwe kondom baassssiiiii

    • @tulizojeremiah8065
      @tulizojeremiah8065 6 років тому

      Samira 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 exuctly

  • @ashurahaji3475
    @ashurahaji3475 6 років тому +2

    Maombi kwani ana tatizo gani

    • @nacyluizer3734
      @nacyluizer3734 6 років тому

      Shangaa na wew,,,,unaugonjw gan huyoo,

  • @mwanahudaifa7492
    @mwanahudaifa7492 6 років тому +1

    Kwan nyie huko tanzania hta muislam anaingia kanisani eee makubwa

  • @astaqueen3979
    @astaqueen3979 6 років тому

    uyo mchungaji ajiombeye yy na familia yake .kitu gani cha ajabu alicho kifanya wema . mmeshajimshikiya kweli wema ,naka nisani eti mnamuitaji kumuombeya mnajuwa kumkazaniya kweli. mweyemweye wama kanisa mnayenu mangapi .akitaka maombi ataika kumsalaaa awo amtafute shekh amsomeye duwa siyo eti kumuita kanisani . ..

  • @gregorylucas3771
    @gregorylucas3771 6 років тому

    Umeshindwa kutubu peke yako maraya ni maraya nan ampe pole mchafu huyo

  • @alimbugua5903
    @alimbugua5903 6 років тому +10

    raha za future husband imegeuka kuwa sumu ya ugonjwa? acha umalaya

    • @linahchrissy7574
      @linahchrissy7574 6 років тому

      🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂

    • @azezaalkh8536
      @azezaalkh8536 6 років тому

      Ali Mbugua haha we ally we!

    • @angelahmoraa5472
      @angelahmoraa5472 6 років тому

      Future husband alitoweka wapi,simwoninagi tena hahaha

    • @alimbugua5903
      @alimbugua5903 6 років тому

      Angelah Moraa wema alimpa mahaba ikamchizisha akafyatuka na kpotea kabisa hajlikani alipo...bt tnamsaka coz wema amezoea ' nn' yake hadi alkua ananyonya kama lollypop

    • @زهرهالراشد-م5ج
      @زهرهالراشد-م5ج 6 років тому

      Pole xna ddangu wema mungu atakusaidia inshallah.Na pole kwa wakti mgumu ulionao.kwani maombi church wewe ni mkiristo

  • @principlemartinez9771
    @principlemartinez9771 6 років тому

    pole

  • @twahathabiti392
    @twahathabiti392 6 років тому

    Angekufa

  • @limolimo4701
    @limolimo4701 6 років тому

    mungu muweke adabu huyo mtu

  • @hyungtae318
    @hyungtae318 6 років тому

    Apambane na hali yke hamna namna

  • @congratskendy1845
    @congratskendy1845 6 років тому

    Achana nao wakuombee nipoa dada qr

  • @mwanajumamohammed6327
    @mwanajumamohammed6327 6 років тому

    Hata akafa hamna hasara wengi to walienda na bado tutaenda

  • @zakiazakia4274
    @zakiazakia4274 6 років тому

    Pole mamy

  • @obedwilliam5906
    @obedwilliam5906 6 років тому

    Huyo ameishakengeuka

  • @ramadhankibwana6425
    @ramadhankibwana6425 6 років тому

    Bora afe2 mnamuombea shetan

    • @bidiiyako6803
      @bidiiyako6803 6 років тому

      @Ramadhan Kibwana, Kwa hivyo wewe ni Shetani pi? , Shetani na Shetani wanajuana Au?

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 6 років тому

      Wewe ungekuwa Muumba ungemuua lakini haiwezekani unaweza tangulia wewe umwache huyo unaemchukia.

    • @bidiiyako6803
      @bidiiyako6803 6 років тому

      @asha ali kweli kabisa

  • @rashidngwawile9062
    @rashidngwawile9062 6 років тому +3

    Komaa dada

  • @noorsalim4612
    @noorsalim4612 6 років тому +4

    Jina lawema limeweka watu mjini

  • @aminaqasim2145
    @aminaqasim2145 6 років тому

    Utaponaa mpnz yatapitaa tuu

  • @bachushureim3514
    @bachushureim3514 6 років тому

    Utajiju

  • @limolimo4701
    @limolimo4701 6 років тому +1

    konk konk konk mamba

  • @sharonandande4820
    @sharonandande4820 6 років тому

    Is she the first one to post such nonesence n wengi sana bt umeonewa wema hp u will nt repeat it again

  • @mwafrikabarz4507
    @mwafrikabarz4507 6 років тому

    Kajinga tuu, Haka kadada! Ctak habari zake hataa bure,! (Bongo movie/Bongoporn)

  • @sebastianngimba4850
    @sebastianngimba4850 6 років тому

    wanaandaa maombi kwani simhuni mwenzao huyo

    • @azezaalkh8536
      @azezaalkh8536 6 років тому

      Sebastian Ngimba anayeandaa maombi si ni yule shoga was zamani!!nasijui kwann dudu hajamtaja kwa mashoga commando wa mashimo

    • @janethmarco2754
      @janethmarco2754 6 років тому

      Dah pole Sana dadangu wema mungu akupe nguvu jmn

    • @monicacharles7126
      @monicacharles7126 6 років тому

      Sebastian Ngimba pole sana

    • @faridahangedo5554
      @faridahangedo5554 6 років тому

      Sebastian Ngimba pole kwa kuumwa

    • @habibamahamed5587
      @habibamahamed5587 6 років тому

      Roho mbaya halipi yeye ni binadamu. Give wema abreak .seriously u guys r so evil man.it was just a kiss n u r going crazy

  • @tematema3101
    @tematema3101 6 років тому

    Nilikuwa nisha msahau bibie

    • @Sifam634
      @Sifam634 6 років тому +1

      Nabado hatazidi kuwa homa kwenu, mutapata tabu nyinyi musio mupenda WEMA SEPETU dada wawatu

    • @wakilyussuf2201
      @wakilyussuf2201 6 років тому

      Pole shangazi wema

    • @zubedamachano7083
      @zubedamachano7083 6 років тому

      msimlaumu kwa kosa sio lakutegemea shetan kampitia msimuone Malaya wapo zaidi yake nampenda akivaa mavazi yakizanbar anapendaza Sana'a mungu yupo pamoja nawe

  • @moseskitonyi5469
    @moseskitonyi5469 6 років тому

    Si mfano

  • @ribobariboBaribo
    @ribobariboBaribo 6 років тому +1

    Pole wema