Jinsi Magufuli Anavyoiharibu Idara ya Usalama wa Taifa Na Kuhatarisha Usalama wa Tanzania Yetu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024
  • Katika "hotuba" hii fupi, naeleza jinsi Magufuli alivyofanya jitihada kubwa kuikongoroa Idara ya Usalama wa Taifa ambapo licha ya kujipachika ukuu wa taasisi hiyo nyeti, pia amekuwa akishirikisha idara za usalama za nchi nyingine, jambo linalohatarisha usalama wa taifa letu. Pia inatanabaishwa kuwa Magufuli analindwa na mashushushu kutoka nchi moja jirani ambayo ina "kompromat" (siri za ndani) dhidi yake, na amekuwa kama mateka wa nchi hiyo. Ni dhahiri kuwa huyu mtu hafai kuendelea kuwa Rais wa Tanzania.
    Kama hujajiunga na chaneli hii, fanya ku-subscribe hapa bit.ly/JiungeY...

КОМЕНТАРІ •