Namuomba Allaah alietukuka mola wa arshi tukufu amridhie sheikh wetu Khamis gharib na amsamehe yeye na wazazi wake na anufaishe uislam kupitia yeye na waislam wote
👌swadakta shkh hapo ndio nilikuwa nataka kufaham asa kumbe maji yakirud kwenye ndoo ayachafuki🤔wallah miye nilikuwa najuwa ukae mbali asa mana yakirud mule kila kitu cha haribika
@@shifaaabdulla6703 jaman ndug zang tusome dini tuach Kufatilia Dini kiujanja ujanja. Tafuta kitabu kimeandikwa TWAHARA, AU JANABA. Utaelew kwa nin nakwambien hivy
@@shifaaabdulla6703 maji ambay hayatok twahar ni maji ya mito ziwa ma way, sofa yawe mfano huo wa wingi hayawez chafuk Ila katk ndoo shekh, ? Tumia akil kifog tu kwa nin maji ya udhu hun ruhus ya kutia Mkon mpak unawe? Tusom dini
Assalam alaykum! Naomba kuuliza baada ya kukoga janaba ni lazima kutia udhu na km ni lazma inakuwaje kwa yule anaetia udhu akiwa anakogea choon!! Naomba kujibiwa
Mtume (saw) amesema Allah haukubali udhu ambso mtu hakusema bismillah.. Kwaiyo Ni lazima kusema bismillah unapoanza kutia udhu lkn ukiwa choon ndani usisome bismillah coz hairuhusiwi kutajwa jina la Allah choon so utasema bismillah nje kabla ya kuingia choon ndani
Hv shekhe kwa wale waliooa na waliolewa inajuzu kufanya tendo la jimai baada ya funga (usiku) swali langu je unaweza kukoga janaba asubuhi ya siku ya pili baada ya tendo au huwezi
Waaleykum ssalaam warahmatullahi wabarakaatuh naam unaingia kwani nn kitakachouzuia udhu kuingia??? Lakn zaidi ya hilo pia udhu ni katka hatua za ukogaji wa janaba
A/alaikum.shekh me nina swal hapa Je nguo ulizovaa ikiwa ni pamoja na mashuka kipind ukiwa na hedh hazifai kuswaliwa au kutumiwa tena mpka zifuliwe hata kama hazijaingia rang ya damu na wala hazinuki harf ya uchafu ???Na pia kuna mda unajikuta wakt una hedhi kuna nguo umevaa hata lisaa 1 halijafika ukaivua ,mfano kanga au mtandio au baibui lkn baadh wat.wanasema nguo ile haifai tena kutumiwa ukiwa msaf mpka uifuie , nataka ufafanuz juu ya hili 👆👆
Naaam nivinzur kukoga kwanza na sabuni kijisafisha uchafu uliopo katika mwili kuna sehemu zingin watak wa tendo la ndoa baazi ya mania hurukia sehemu usiyo tengemea so ni vyema kujisafisha kwanza ndo ujitwaharishe
Kaa wewe chini utafakari na usome historia ya mtume Muhammad s.a. ujue alikoga vipi vipi janaba labda wewe ndie ulie potea baada ya janaba unatakiwa kujisafisha vizuri sehemu za siri halafu unachukua udhu ndio unamalizia kukoga mwili wote naukimaliza kama hutojishika tena sehemu yasiri au kutoka hewa chafu unaswali na udhu huo huo huna haja yakuweka tena udhu
@@Da-cr6ow maan umesema waez kushik udhu ya tosh au nimesikia vibay, pia hakun nia, 3, maji kibaba kimoj bimaan kiganja maalim, nen isilafu ingalipendez San kuliko kauli ya kiganja maalim taratib ndung yang SAMAHAN LAKIN KAM NIMEKOSEA
Nia ni kukusudia ndugu, kile kitendo cha kuamua moyoni mwako nafanya jambo Fulani na nikwajili Fulani iyo ni nia. Mfano muda wa kusali Laasir umefika ukaenda kusali na kukusudia mimi nasali laasir na sio sala nyengine apo ushaweka nia bila ya kutamka
Kukoga janaba au jogo lolote kwa Imani ya Kidini ni Ibada na Ibada YOYOTE ni nia na nia ni moyoni (dhamiri) Hivyo hakuna Ibada yoyote inayotaka nia itamkwe.
Mimi nauliza kwamfano nimemaliza damu sa3 asunuhi na sikuoga nikakaa mpk sa6 mchan nikakutan na mume wangu katika tendo la ndoa sasa nataka kuoga je ntaoga janaba au hedhi?
Mimi ni Mkristo lakini napenda sanaa mafundisho ya Kiislam. Asante sanaa Sheikh 🙏😍
Karibu uslimu 🙏
Wakaribishwa sanaa
Karibu ndani ya Uislam
Njoo katika Kheri
Allah akuongoze katika uislam
Asante shekh kwa mafundisho mazur, maana wengi wetu waislam hatujui haya mambo na wazito kufatilia, Allah azilainishe nyoyo zetu ili tuisome dini yetu
SHUKRAN sana Allah awajalieni kwawote MASHEIKH WETU umri wenye afya njema mzidi kutuelimisha
Namuomba Allaah alietukuka mola wa arshi tukufu amridhie sheikh wetu Khamis gharib na amsamehe yeye na wazazi wake na anufaishe uislam kupitia yeye na waislam wote
Amin
Amyna
Amiin
Shukran Sheik Hamisi, nimepata ufumuzi sahihi hapo maji wanapo rudi ndani ya ndoo.ALLAH akupe umri🤲🤲🤲🇰🇪
Shukrani sheikh kwa mafundisho mazuri Allah akulipe kheri
Shukrani shekhee🙏
Shukran Shekhe,nmejifunza mambo kadhaa niliyokuwa siyafahamu.Allah akuepushe na Shari Insha Allah
Maashaallah Msafir raizel Allah akujaalie iman zaid uingie katika dini ya hakki ili ukastarehe katika maisha ya milele aaammmmiiin Yaa rabby
Shukran sheikh wetu kwa kutuelikisha Allah akupe kheri
Nimekuelewa vzur Shekh mambo meng watu wanayafanya kuwa magum kumbe ni rahsi tu mungu akujarie shekh
jazaakallahu khair yaa shekh jamiiir jamiir jiddan watuwengi huwawanatembea najanaba zidisha kutoa darsahizi nimuhimu sana wengi hawaendi vyuoni
Shukran sana sheikh nimejifunza mengi sana
Naam asante sana mafundisho safi kabisa
Jazakallah'shekh Allah akulinde
Sheikh Allah akupe kheri na barka. Mm mengi nimejuaa nilokua siyajui.
Jazakallah kher shekh nimefaham meng wallah🙏
Mashallaa hakika shke unatoa elimu mungu akueke malipokwake aminn
Mashaalkah shekhe , ni halal kusema nawaitutwaharat minnal janab au hedh kwa kila kopo unalojimwagia ???
Hapana sin lazima
shukran, Allah atakulipa kwa kutufundisha.
Allah akujaalie afya sheh uweze kutufundsha masomo Kama aya
Amin
Maa shaa Allah shukran sheikh jazakallah khayra
👌swadakta shkh hapo ndio nilikuwa nataka kufaham asa kumbe maji yakirud kwenye ndoo ayachafuki🤔wallah miye nilikuwa najuwa ukae mbali asa mana yakirud mule kila kitu cha haribika
Tusome dini yetu iko waz tusifuate mikumbo
Ata mm nlijua kua yanakua mustaamal yaani yaliotumika
Kher shekhe
@@shifaaabdulla6703 jaman ndug zang tusome dini tuach Kufatilia Dini kiujanja ujanja. Tafuta kitabu kimeandikwa TWAHARA,
AU JANABA. Utaelew kwa nin nakwambien hivy
@@shifaaabdulla6703 maji ambay hayatok twahar ni maji ya mito ziwa ma way, sofa yawe mfano huo wa wingi hayawez chafuk Ila katk ndoo shekh, ? Tumia akil kifog tu kwa nin maji ya udhu hun ruhus ya kutia Mkon mpak unawe? Tusom dini
Dini yetu ya kiislam nyepesi shukrani shekh
Asante Sana shkh Khamis Kharib... nakukumbuka sana Masjid Sunnah Rahaleo...
Shukran Jazeelan jazak Allah khayri mengi nilikuwa siyafahamu kamwe nime ya fahamu ALHAMDULILLAHI RabilaAlamina 🙏
Jaazaaka Allah khyr
Shukrani jazaka llahu khayran Allah atupe mwisho mwemaa
Maashallah, shukran kwa elimu nzr
Shukran Shekhe nifaidika sana kwa darasa lako👏
MashaAllah, mafundisho mazuri sana
Assalam alaykum! Naomba kuuliza baada ya kukoga janaba ni lazima kutia udhu na km ni lazma inakuwaje kwa yule anaetia udhu akiwa anakogea choon!! Naomba kujibiwa
choon unawez kutia udhu.ila choon ni makruhu
Hutakiwi kutamkaa neno LA Allah tu Ila udhu unatiy
Mtume (saw) amesema Allah haukubali udhu ambso mtu hakusema bismillah..
Kwaiyo Ni lazima kusema bismillah unapoanza kutia udhu lkn ukiwa choon ndani usisome bismillah coz hairuhusiwi kutajwa jina la Allah choon so utasema bismillah nje kabla ya kuingia choon ndani
Chooni unatia udhu na unafaa pia kwajili ya kwenda kufanya ibada
Shukran sana shekh wetu umenipa mwangaza zaid kwa elmu hii inshaallah shukran
Shukran shekhe kwatujuza mungu akulipe mema yadunia na akhera
Mashaallah
inshallah shekhee
Natasha allows hats Mimi nimejifunza mengi
Shukran shekhe jazaka llahu kheri inshaallah
Shuqran jazakkallahu alfu khairrat!
Mashaallha
Naam shukran wajakumullahu kheir
Mashaallah nmejifunza mengi, Allahu abariq
Shukran shekh kwa dars nzur
Shukran shehe kwa mafundisho Allah akubarikiiiiii
Shkran kwa kutujuza Allah akujalie heri
Shukrani shekhe wetu.
Shukran sheikh jazakallahu kheir
Shukran shekh Alalh akulinde
.mashallah
Nimejifunza kitu kikubwa sana leo.Allah akuzidishie kheri
Shukran chehe Allah akupe kila la heri
Shukrani sheikh kwa mawaidha
Mashaallah Allah ibarik 💆
Mashaallah shekh khamic kwa kutupa darsa tamtam zenye manufaa kwetu
Mashallah
Hv shekhe kwa wale waliooa na waliolewa inajuzu kufanya tendo la jimai baada ya funga (usiku) swali langu je unaweza kukoga janaba asubuhi ya siku ya pili baada ya tendo au huwezi
Mashallah
Mashallah dini ya uislamu ni dini ya haki raha Sana mafunzo yake
Shukran jazakallh lkheyr🙏
Shukrani sana.
Shukran shekhe nauliza hivi hayo maji machache waweza kuroanisha nywere zote Mana twambiwa kila unywere unajanaba plz naomba nijibiwe
naaam inawezekana, maana wahitajika kutumia mikono yako kuhakiki maji yanafika uzuri
Naomba kuuliza ukimaliza tendo la ndoa inabidi ukaoshe chini naalafu uchukue udhu ndio ukaoge janaba au
@@rehemajuma2671 naaam ndiyo
Kwenye kuoga inalazima kunuia au nia moyoni
@@rehemajuma2671 nia moyoni
Ma sha allah
Pia naomba darsa full ya namnaya kumswalia mait
Je bada ya kukoga ,kwa sie wanawake na kujipaka mafuta ama lotion je unahondosha Udhu?
Nice message
Asante sheikh
Mashallah jazakha llah
Shukran sheikh
Alhamdulillahi nimejifunza.Allah akubarik
Mungu akuzidishie katka kher
برك الله فيك
Muito obrigado pela mensagem
Shukrani shekhe Leo nimeelewa vizuri sana
Asante mwalim
Shukrani sana shekhe nimejifunza mengi
manshaallah shekh nimekuelewa
Maashaallah
Asant xna sheikh wetu
Shukrani sana
mashaAllah
Asalam alaykum.sasa uwo udhuu utaingia wakat bado hujakoga janaba ?
Waaleykum ssalaam warahmatullahi wabarakaatuh naam unaingia kwani nn kitakachouzuia udhu kuingia??? Lakn zaidi ya hilo pia udhu ni katka hatua za ukogaji wa janaba
Shukran saaaana sheh
Tumekufaham👏👏👏👏
Mashaallah tabarak allah kweli kabisa shekh wangu mungu akupe kila la wema
Ma sha lla h shekh
Shukran kathir
Shukrani
Amin amin
Walaikum salam warahmatullah wabarakatuh
Maiti mtarajiwa 🙄🤝
Mansha allah tabarakallah
A/alaikum.shekh me nina swal hapa Je nguo ulizovaa ikiwa ni pamoja na mashuka kipind ukiwa na hedh hazifai kuswaliwa au kutumiwa tena mpka zifuliwe hata kama hazijaingia rang ya damu na wala hazinuki harf ya uchafu ???Na pia kuna mda unajikuta wakt una hedhi kuna nguo umevaa hata lisaa 1 halijafika ukaivua ,mfano kanga au mtandio au baibui lkn baadh wat.wanasema nguo ile haifai tena kutumiwa ukiwa msaf mpka uifuie , nataka ufafanuz juu ya hili 👆👆
Hili suali umejibiwa na mm ninataka ufanuzi juu ya hili
Asalam alaykum Shehe darsa ni zur Sana ka sis waislam pia naulizia Ina faa kukoka kwanza kawaida ukimaliza ndio ukoge janaba????
Naaam nivinzur kukoga kwanza na sabuni kijisafisha uchafu uliopo katika mwili kuna sehemu zingin watak wa tendo la ndoa baazi ya mania hurukia sehemu usiyo tengemea so ni vyema kujisafisha kwanza ndo ujitwaharishe
Jazakallah qaylah mana hata nilikuwa nataka kujua kuhusu ili
@@salama2625 sawa usijali
Asante sana
Shukraan yaa shekh
Shukurani kwa yakini Sheikh umenifungua ufahamu
Waalleykum Salaam Warhamathullah wabarakaatuuh,Aamiin. Shukran Sana Sheikh. Nimejifunza.
Mashaallah
@@HalfaniRashid Shukran sana.
shukran sana
Shekh ulisha kaa chin ukafikiri unacho zungumza pia pengin ungalikaa kimya huwez shika Udhuu unajanaba hivi ninyiiii daa aiseee kwa asie faham umempoteza tayar
Kaa wewe chini utafakari na usome historia ya mtume Muhammad s.a. ujue alikoga vipi vipi janaba labda wewe ndie ulie potea baada ya janaba unatakiwa kujisafisha vizuri sehemu za siri halafu unachukua udhu ndio unamalizia kukoga mwili wote naukimaliza kama hutojishika tena sehemu yasiri au kutoka hewa chafu unaswali na udhu huo huo huna haja yakuweka tena udhu
@@Da-cr6ow shekh nipe ushahid. Wa vitu ulivyo ongea maalim.
@@Da-cr6ow maan umesema waez kushik udhu ya tosh au nimesikia vibay, pia hakun nia, 3, maji kibaba kimoj bimaan kiganja maalim, nen isilafu ingalipendez San kuliko kauli ya kiganja maalim taratib ndung yang SAMAHAN LAKIN KAM NIMEKOSEA
Mimi sina mume nakuomba niombee dua nipate mume mwenye ofu ya mungu
Je wew unayohofu ya mungu?
😂😂😂
Shukrulani
Mm naomba niulize sual :- kwan kukoga janaba unatakiwa ukoge makopo mangap mwilin?
Tazama video hii hpa CHINI INSHA ALLAH
ua-cam.com/video/8TxjNGkEQlE/v-deo.html
Kisheria hakuna kiwango maalum au idadi maalum ya makopo unatakiw uoge uhakikishe mwili mzima umepata maji
As.alykum jumla ya makopo yanakuwa 9 mkono wa kulia 3 wakushoto 3 kichwani 3 navofaham mimi👏
As.alykum jumla ya makopo yanakuwa 9 mkono wa kulia 3 wakushoto 3 kichwani 3 navofaham mimi👏
ILE NI WITRI JUU YA MAKOPO KUNA MATATU 3,5,7,9 AU 11 INATEGEMEA NA WINGI WA MAJI NA UPATIKANAJI WA USAFI
Ustadh asante sana nimefrahishwa na hili
Assalam aleikum warahmatullah wabarakatuh..! Sheikh shukran lakin unaweza kunambia nia au nia inasomwaje kiswahili au ipo kama dua yani kiarabu..???
Asante sn shekh mungu akujaze akupe umri Mrefu wenye faida na we amiin
Nia ni kutamka moyoni mwako yani hausemi kitu una sema kimoyo moyo
Nia ni kukusudia ndugu, kile kitendo cha kuamua moyoni mwako nafanya jambo Fulani na nikwajili Fulani iyo ni nia. Mfano muda wa kusali Laasir umefika ukaenda kusali na kukusudia mimi nasali laasir na sio sala nyengine apo ushaweka nia bila ya kutamka
Asante
Kukoga janaba au jogo lolote kwa Imani ya Kidini ni Ibada na Ibada YOYOTE ni nia na nia ni moyoni (dhamiri) Hivyo hakuna Ibada yoyote inayotaka nia itamkwe.
Mimi nauliza kwamfano nimemaliza damu sa3 asunuhi na sikuoga nikakaa mpk sa6 mchan nikakutan na mume wangu katika tendo la ndoa sasa nataka kuoga je ntaoga janaba au hedhi?
Wahida Wahida ,,vzr ukakoga hedhi kwanza ndo ikafatia janaba
Unakoga mara moja tu ila waeza kutia nia ya janaba na hedhi
Wahida Wahida kisheria hutakiw kuingiliana na mumeo mpaka ujitoharishe atakam dam imekauka mpaka ujitoharishe kwnza
Hapana huwezi kuoga mara 1 kw nia 2 kw kisheria mwana mke akimaliza hedhi hatakiwi kuingiliwa mpaka ujitoharishe kwnza ndio aingiliwe atakama kesha kauka dam lazma aoshe nywele yan aoge ndio aingiliwe
Sheikh tuweke Sawa hli suala
Ustadh kwa hiyo wamaanisha mtu akiji twahirisha aoge bila kusema kitu Al imrad maji yafike kila corner ya mwili?
Aseme ila siyo kwa sauti, atamke yale maneno kimoyomoyo
Cjajua na Mimi kwahyo wakati wakuoga co lazima kunuiya
Kitendo cha kwenda kuoga tayari kushatia nia
@@HalfaniRashid ok shukran
Nia ipo moyoni haitakiw itamkwe na kutamkaa ni uzushi kwani mtume hajawahi kutamkaa niatupende kuisoma din yetu.