Hizi ndizo shughuli zetu CIMIC ya TANBAT 7 - Kapteni John Zablon Mshamy

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лип 2024
  • Kutokana na hali tete ya usalama nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, Umoja wa Mataifa kwa miaka mingi umekuwa ukifanya juhudi za kuleta amani na kuilinda kwa kutuma ujumbe wake, MINUSCA ambapo nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa huchangia vikosi mbalimbali. Kikosi cha 7 kutoka Tanzania, TANBAT 7 ni miongoni mwa walinda amani waliko huko, hususani wakihudumu katika eneo la Berbérati, magharibi mwa nchi.
    Kupitia makala hii, Afisa uhusiano wa TABAT 7, Kapteni John Zablon Mshamy anaeleza shughuli zinazofanywa na kitengo cha uhusiano, CIMIC anachokiongoza.

КОМЕНТАРІ • 1