Asala - Tunapendana (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 13 жов 2024
- Watch Music video by Asala performing "Tunapendana" (Official Release)
Follow on Instagram Page:
/ officialasala
/ tundamantz
+Booking:Asalatanzania@gmail.com
Contact:0713800011
#Asala #Tunapendana
Tulokuja hapa baada ya madebe kupost nipeni like basi 😂
me wa kwanza 😅😅
Mie wa pili
me watatu kupitia madebe
Tupo
Yaa
Imeniingia sana hiii kaka ...imefika kenya 254 kwa mpigoooo
Bila madebe hii nyimbo nisinge iskia hongela kaka umeimba bwana nimeipenda bule
Kbsa ata mm pia aisee
Madebe MTU wangu kaupiga mwingi🎉🎉😂❤
Nimesikiliza zaidi ya mara 5
😢😢😢😢
Unajua sana asala.......keep up
Kutoka kwa interview ya Chanuo
Nimemuelewa chanuooo
Ngoma nzuri sana brother
Wakenya tuko nyuma yko broo☝️👍
Hakika hongera sana kwa wimbo huu
oi njoo kwwny gam uskae sana man........
Ndoa haingiliwi ht wakigombana
Mziki mzuri
Mi team chanuo❤❤
Yaaan nilikuwa nikiusubir kwa hamuu Asante Asala❤❤❤❤
Nzur sn ❤❤❤❤❤❤❤❤💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋kutwa nasokiliza jamn😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Huyu yapaswa kuwa star mkubwa sana hapa bongo ila sijui kwanini aisee
Ajiunge luminat 😂😂😂😂😂
@@FatmaNoor-ig8iyila Fatma somo yangu Umenichekesha Sana na hilo jibu lako
@@abouassifmabrouk8110 ndo dunia y Leo na ulimweng wa kistaa , wengn wanaimbw ovyo lkn wanatoboa , sisem yy ajiunge ila aendelee kupambana
Asara anajua sana kuimba sema bongo uchawi mwingi wanaojua hawaonekani.
Yaani nyimbo iko sawa sana hongera sana muimbaji tunajifunza kitu hapa
❤
❤❤❤ iko sawa bro
Oya wee Asala unajua sana 👍👍👍👍👍🇹🇿✔️
Vzr sana broh pamoja sana
Nimeupenda sana huu wimbo
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤❤❤❤
Unajua sana mkuu haipingwi
Mistari yenye hadhi ya Hali ya juu❤️💓❤️
Na hivi ndivyo maisha yalivyo
Bonge ra ngoma ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mm nasema watanzania tumsapoti uyu mwamba
Nimekuja hapa kwa ajili ya Madebe🥰
Shida ya bongo wanao imba ujinga ndio wanawapa airtime
Huuu wimbo inaitwaje❤
Tunapendana
Good song 👍
Tunataka jiwe after jiwe acha kimia bro
Nyieee hatr
Lakini wimbo ulikuwa mutamu lakini ni mufupi sn
Bonge la ngoma❤❤❤❤
Am from Kenya this is definitely a hit.
Wewe pumba ww nimekusahauu rudia mara 3 ila nimeipenda sana hii
Umeuwa bro kaza kamba sasa usirudi nyuma
Tunataka nyimbo ya pumba kaka
Pumba watu wamenifanyia roho mbaya
Dah kaka pole sana ngoma kali sana ile ndugu yangu inshallah Allah yupo atalipa
@@asalakipengele6226kwanini broo
Jamaa ni mjanja sanah 😅😅😅 kajua akiwatumia hapa nyimbo itaendaa
🎉🎉🎉❤❤❤
Nyimbo hii nzuri kuliko❤❤❤❤
Kazi nzuri sana
Hongela broo nyimboipo vizuri sana
Nyimbo nzr but video hamkuitendea haki
Nyimbo nzur melody safi❤️
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Big up mwamba madebe lidai
mh wala sio kikazi hawa wamerudiana kweli
Mimi ni msanii pia na...mimi ukomenti kwa zile gomma kali sana 🎉🎉 ongera kakangu ❤❤❤
Very nice
Kumbe ile kiki
Noma sanaaaaaaa
Bonge ya Ngoma 🔥🔥
Wimbo mzuri🥺❤aisee🙌
❤❤❤❤❤❤🎉🎉
Umetisha❤❤❤❤
Nipo hapa😅😢
Ngoma safi sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ila umeipunja mda sana kaka
😂😂 waiting tunda man to drop this one too😂😂😢
Mm napita tu
Hongera sana broo ❤❤❤
Chanuo hoyeeeeee
Mambo y ndoa c yakuyaingilia kbs😂😂
Nyimbo nzuri
Refusha huu wimbo aisee,ni wimbo mzuri ila umeupunja
😢😢 namba yangu usiifute
Wimbo mzuri sana....maisha yangekuwa hivi ma X wangekuwa kidogo sana....big up mwamba
🪴🪴🪴 chukua mauwa yk
Madebe kapatikana aiseee 🎉🎉
❤❤
🔥🔥🔥🔥
Ngulangwa ARIBAS imetulia sana
Ilikuwa kiki
Jamaa anajua sana🫡🫡🫡
Waaooooow nyimb mzur sanaaaa
❤❤kumbe unakipaji hadi kuimba hongela kazi nzr sana
Alll the way from 254
Hii nyimbo😢
Ngoma kali
Nomaaa 🔥
Wimbo mkali kbs ❤❤❤
MADEBE LIDAI unafanya nafarijika kupitia nyimbo za huyu dogo @aslafaida#tunapendana
Kazi nzuri bro kip it up 🎉🎉
Nyimbo nimeisakaaaaaa
R&B iliyoenda chuo
Nice song,, love from south Africa
Weka nyimbo i tune au ni mahususi kwa wenye tecno
Jamani ilitakiwa iwe dk angalau 3,umeipunja sana
❤
Goma kali
Kwanini uniumize!!❤❤
Mimi unafanya kuirudiarudia yani mna ambiwa wanandoa wakigombana shikenimajembemkalime chanuo katu shushua walahi aibu naona mie
Niaje asala
🎉🎉🎉🎉❤❤
Wambea tukomee😂😂😂
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
Chanuo ametumiwa kama kiki ila chamuhimu pesa
Tuwekee