USIPOHAMA ULIPOZALIWA HUPATI MAENDELEO ..SHEKH OTHMAN KHAMIS

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 194

  • @benhorta5121
    @benhorta5121 4 роки тому +33

    Mm ni mkristo lakini... Somo nzuri sana limenitia nguvu sana Kwanini nife mnyonge eneo nililozaliwa lazima niame na kwa uwezo wa Mungu litafanikiwa ...Nitarudi siku moja hapa kuja kuweka shuhuda yangu pale jambo hili la kuhama litakapo fanikiwa

  • @emmanuelmajele5784
    @emmanuelmajele5784 4 роки тому +24

    Yeni mm mkristo lla nimekuelewa sana jinsi yakuama Mungu Akulinde

  • @kingofshorts6824
    @kingofshorts6824 Рік тому +3

    Nimekuja kufungukiwa kimaisha Alhamdulilah baada ya kuhama sheikh shukran Allah akujaze kheri nyingi

  • @saidnasor2317
    @saidnasor2317 4 роки тому +33

    Assalaam alaykum, shekh upo vizuri na umelipa nguvu wazo langu, mimi sehemu ninayoishi nimepata mtihani wa maisha, nikapata wazo la kuhama kuna walionipinga lakini kwa mada hii nahama shekh.

    • @HassanHassan-sn5cj
      @HassanHassan-sn5cj 4 роки тому +3

      Usitafutie nyumbani sheikh ni mtihani.
      Natamani nikuone nikupe nguvu kwenye swala zima la hijra au kuhama.!!
      Safar njema na Allah akufungulie!!!

    • @رحمهعلي-ب5ف
      @رحمهعلي-ب5ف 4 роки тому +1

      @@HassanHassan-sn5cj mmmm

    • @رحمهعلي-ب5ف
      @رحمهعلي-ب5ف 4 роки тому +1

      Maa shaAllah sheikh

    • @saidnasor2317
      @saidnasor2317 4 роки тому +1

      @@HassanHassan-sn5cj aamin, Allaah atufanyie wepesi Inshaallaah.

    • @mrusangitz607
      @mrusangitz607 4 роки тому +1

      Kweli

  • @deborakomba947
    @deborakomba947 4 роки тому +34

    Shehe asante sana mi mkiristu lkn hapo kwenye kuhama ni kweli ukitaka maendeleo toka nje ya eneo lako ulikozaliwa na kukulia

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 4 роки тому +10

    Daaah,nimekubali,nimehama maisha kabadilika namshukur Allah

  • @aminajuma1435
    @aminajuma1435 4 роки тому +13

    Maashaallah Nimekuelewa maalim... hata katika Qur'an ALLAH ametuambia "ametuumba mataifa na makabila tofauti tofauti ili tupate kujuana hakika aliem'bora niyule amchae mwenyezimungu." Sasa ikiwa mtakaatu sehemumoja bila kuhama mtajuana vipi. Shukran shekh .

  • @iddramadhani2715
    @iddramadhani2715 4 роки тому +5

    MaashaAllah mawaidha mazuri, na kuhama faida yake sio kufanikiwa kimali tu bali na fikra zinahama na kujifunza mengi, ndio maana ya wahenga wakasema tembea uone.

  • @peterambrose2657
    @peterambrose2657 4 роки тому +4

    Allah akupe maisha marefu xana shekhee mm ni mkristo nimekuelewa xana nimepata moyo

  • @mbaga82
    @mbaga82 4 роки тому +13

    Sheikh ni kweli kabisa hili
    Nimehama kwenye nyumba moja hivi hata wiki moja haikuisha nikapata nafasi kazini. Nilikuwa na kiwanja nikaanza ujenzi Alhamdullah nilimaliza na ujenzi

  • @mwanaidishibe9275
    @mwanaidishibe9275 4 роки тому +6

    Shekhe hayo maneno nikweli kabsaa nshayaona..yani mada zako uwanisafi sana na zinaeleweka...mashaallaah

  • @abdallahmuttaq7306
    @abdallahmuttaq7306 4 роки тому +17

    Mwalimu uthmaani hii hta mimi niliiona niliishi sana Tanga lkni kiukweli vijana walio hama kutoka tanga kuja dar walibadirika kiuchumi kiukweli hata mimi baada ya kupata fursa ya kuhama nimejaaliwa sasa nataka nianze kujenga chamazi insha'Allah na hukohuko tanga nipo kwenye kumalizia kununua kiwanj, shekhe usipo hama kiukweli hata ubongo wako unakuwa na fikra mgando.جزاك الله خيرا

  • @abdulrazackkipingu5437
    @abdulrazackkipingu5437 4 роки тому +7

    Inshaa Allah subhaanahu akuzidishie kila lilokua lakheri kwa elimu unayo tupatia

  • @hamdanimohammed5220
    @hamdanimohammed5220 4 роки тому +2

    Mashallah mufti asante sana kwaujumbe mzito kwakila mja amekuelewa vizuri kabisa

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 3 роки тому +1

    Shukraan Sana sheikh wetu uko sahihi kabisa sheikh kwa swala la kuhama Allah akuhifadhi sheikh wetu umetuzindua jazakallahu kher

  • @yussufkhamis6536
    @yussufkhamis6536 2 роки тому +1

    Mashaallah Allah akuweke na akujaalie pepo iwe ndo makazi yako shekh Asante Kwa darsa

  • @rahmanakapi4071
    @rahmanakapi4071 4 роки тому +6

    Shukrani nimeta da'awa inshaallah nitalifanyia kazi mana shekhe kanigusa

  • @fatumababy1756
    @fatumababy1756 4 роки тому +20

    Nimepiti baadhi ya comenti wanamkosoa shekhe na ndio tatizo letu sisi watanzania, shekhe kamaanisha ukikaa huo muda woote halafu huna maendeleo yoyote ya kidunia na akhera basi hama hiyo sehemu huenda kwa kufanya hivyo huko unakokwenda mungu ndiko alikokupangia wewe kupata mafanikio,, na Mimi naamini hilo

  • @neemafatu7885
    @neemafatu7885 4 роки тому +3

    Mashaallah sheikh wewe unaongea point sana

  • @tatuali1379
    @tatuali1379 4 роки тому +3

    Shukrn shekhe

  • @barkaabdallah2407
    @barkaabdallah2407 4 роки тому +3

    MashaAllah jazakalahu kheri.Allah atupe wepesi katika mambo ya kheri

  • @mwanaimaabdallah7825
    @mwanaimaabdallah7825 4 роки тому +5

    باراك الله فيكم وجزاك الله خير

  • @issamkondoa7183
    @issamkondoa7183 4 роки тому +6

    Mada nzuri sana Allah akuhifadhi sheikh!

    • @ameenaoman7416
      @ameenaoman7416 4 роки тому

      kwakweli asemayo ni hakika sasa hivi kariakoo yote inamilikiwa na wageni.

  • @mariamukajiru1898
    @mariamukajiru1898 4 роки тому +15

    WALE WALIOGOMA KUHAMA NYUMBANI NA KUZEEKEA KWAO POVU LINAWATOKA.

  • @abdallahjambia6596
    @abdallahjambia6596 4 роки тому +2

    Be blessed shekh

  • @nassorsalum8018
    @nassorsalum8018 4 роки тому +9

    Usipo hama na ukipata maendeleo kuna tatizo

  • @fatmaameer5333
    @fatmaameer5333 4 роки тому +1

    Mashallah shekhe ALLAH akuhifadhi ujumbe mzuri

  • @japhetikongo453
    @japhetikongo453 2 роки тому +1

    Mimi ni Mhanga wa kung’ang’ania Mahali nilikozaliwa . Hakika nimedidimia Sana Na Siwezi kujikwamua tena Maana umri umekwenda, Nimehamia Mkoa Mwingine nijaribu Kuiona tofauti ya Maisha ya Mwanzo Na Sasa.

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi4882 4 роки тому +4

    MashaAllah!

  • @osamashakeeb7194
    @osamashakeeb7194 4 роки тому +5

    Masha Allah

  • @hussainomar1849
    @hussainomar1849 4 роки тому +4

    سافر تجد عوضًا عمن تفارقه وانصب فإن لذيذ العيش في النصب.

  • @dezainermedia1035
    @dezainermedia1035 4 роки тому +1

    Maashallah Allah akuweke sheikh

  • @ShabaniIwata-lx1wb
    @ShabaniIwata-lx1wb 9 днів тому

    MashaAllah Tabarakallah

  • @salmahamis7415
    @salmahamis7415 4 роки тому +3

    Sheikh kweli kabisa miepia nimehama niko omani kimaisha ni meamini usemayo

  • @salimusaid7309
    @salimusaid7309 4 роки тому +5

    Alhamdulillah

  • @saidimasimba9819
    @saidimasimba9819 4 роки тому +1

    Jaman
    Allah atup wepes inshaallah

  • @laylasuliman5805
    @laylasuliman5805 4 роки тому +1

    Mashaa-Allah shukrani jazeela napendaga kumsikiliza huyu shekhe

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 3 роки тому +1

    maashaallah Alhamdullillah

  • @inabikorwaneema8815
    @inabikorwaneema8815 4 роки тому +2

    Barak'Allahu fiiQ

  • @ashazaharan1750
    @ashazaharan1750 4 роки тому +2

    Masha Allah shukuran saana

  • @mwanakombaabbas93
    @mwanakombaabbas93 4 роки тому +2

    Swadakta kabisa shekh wetu jazakallah kheir

    • @mussashabaan1219
      @mussashabaan1219 4 роки тому

      Masha Allah shekh khamis Allah akuhifadhi, ameen.

  • @halimayusufu6305
    @halimayusufu6305 4 роки тому +2

    Mawaidha mazuri yarabi tujaalie mwisho mwema

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 4 роки тому +4

    Uisilamu ndio dini ya haki.

  • @hajimgwami5224
    @hajimgwami5224 4 роки тому +3

    Namkubari sana huyu Sheikh, Allah amuweke insha Allah

    • @mzammirchanneltv7390
      @mzammirchanneltv7390 4 роки тому

      nam shekh Allah akulipe

    • @lucialibaba202
      @lucialibaba202 4 роки тому

      Do
      Do mile nimekubali maneno yako kuhama kumenipa utajir kila nlipohamia nmejenga asante she he

  • @osamashakeeb7194
    @osamashakeeb7194 4 роки тому +2

    Allah akulipe pepo

  • @Boyz2nabii
    @Boyz2nabii 4 роки тому +2

    Nabii akubariki kwao

  • @twariqanairobi5897
    @twariqanairobi5897 4 роки тому +4

    UKWELI MTUPU .MASHAALLAH

  • @harrishussein6992
    @harrishussein6992 2 роки тому +1

    Hata usipo fanikiwa lakin utakua umejifunza mambo mengi sana ukihama kama mimi hapa namshkr Allah nimehama nimejenga na kujenga mjini nanyumbani pia maana kwetu hakuna lakufanya zaidi ya kushinda vijiweni bora nilihama kweli kabisa maalim

  • @adenaden338
    @adenaden338 4 роки тому

    Msha alah sheq Osman

  • @alimzushi6626
    @alimzushi6626 3 роки тому +1

    Swadakta kabisa sheikh wangu

  • @radhiambwana8787
    @radhiambwana8787 4 роки тому +1

    Kweli kunamaeneo mengine usipo hama huwez endilea ndomana mungu akaona likukalia vby eneo unahamia kungine.

  • @hamisiramadhan104
    @hamisiramadhan104 4 роки тому +2

    MashaAllah

  • @ameenaameena5727
    @ameenaameena5727 4 роки тому

    Shukran shekh una mistari mashaalah

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 4 роки тому

    Shukran shekhe, Ni kweli kuhama sehemu moja kwenda sehemu nyingine ni dawa!

  • @kazungucharo2413
    @kazungucharo2413 4 роки тому +1

    Swadakta sheikh maneno ya kweli kabisa. Yassin Kakiyo

  • @fatumaramadhanmashaallahal9966
    @fatumaramadhanmashaallahal9966 4 роки тому +1

    Kweli kabisa shehe wetu shukran wajazaka llahu heri

  • @ZuleikhaAbdallah
    @ZuleikhaAbdallah Рік тому +1

    سافر ففي الاسفار خمس فوائد.
    شكرا وجزاك الله خيرا

  • @mohamedfaris3000
    @mohamedfaris3000 4 роки тому +33

    Assalam alaikum, wale wote tuliohama tujuane kwa like ❤

    • @mansurahmed2176
      @mansurahmed2176 4 роки тому +2

      Vipi faris salaam Allah alleykom Mimi kama hivyo uko wapi.

  • @nassororajabu5873
    @nassororajabu5873 4 роки тому +3

    Inshaallah

  • @hussenahmed4284
    @hussenahmed4284 4 роки тому +1

    Kwli kbsa sheikh MUNGU akuweke na akulipe kila la kheir.

  • @salmahamis7415
    @salmahamis7415 4 роки тому +1

    Shehe kweli kabisa maneno yako

  • @dirayaduniageneralviews312
    @dirayaduniageneralviews312 4 роки тому

    Mashekh wengi wanapenda raha tu vijijini wanapakwepa sana unakuta msikiti mmoja mashekh kumi hapo ni mjini

  • @rashid.mwenyezimunguakurin2968
    @rashid.mwenyezimunguakurin2968 4 роки тому +3

    mawaidha mazuri sana

  • @dktabbaimran2002
    @dktabbaimran2002 3 роки тому +1

    Nimepata hidaya kutoka kwako Shekhe langu

  • @amissesefu445
    @amissesefu445 4 роки тому

    Mm shekh mguu wa kutoka mtume kauombea mm nyumban nilipigaka kinoma lkn tokea niondoke nashkur maisha yang kidog afuen

  • @aishaaisha1495
    @aishaaisha1495 4 роки тому

    Mashallah Shekhe uko vzl Sana kielim na kutuelimisha

    • @shufaahamza9926
      @shufaahamza9926 2 роки тому

      Nikweli hata maendelo ya mji huwa yanaletwa na wageni maan ht ukifanya kz huwa hawakuungi mkono zaidi yakukuombeya ushindwe

  • @issamussa9726
    @issamussa9726 4 роки тому +7

    Aya hiyo inahusu watu waliokuwa waisilam kisha kwa kuzidiwa nguvu na makafiri watu wale wakarudi kwenye ukafiri tena.
    Ndio muda wanapokufa huulizwa na malaika sababu ya kufa makafiri nao hujibu
    Tulikuwa wanyonge tukazidiwa nguvu na makafiri wakaturudisha kwenye ukafiri.
    Ndio huulizwa ni kwa nini hamkuhama hapo mlipozidiwa nguvu mkaenda mahala pengine ambapo huko mngepata utulivu na ardhi ya Mungu ni pana!?
    Hii ndio hoja ya aya hiyo sio kuwa ni lazima mtu ahame mahala pa asili yake ndio afanikiwe.
    Hizo ni katika tawaaqui za kimaarifat
    kwa sababu huwezi kusema leo
    kuwa mtoto wa bakhresa asipoondoka alipozaliwa na kwenda kuishi kwingine atakuwa hana maendeleo!!

    • @Zinjibartvzanzibar
      @Zinjibartvzanzibar 4 роки тому

      DAH : HUU NDO UBAYA WA CHUKI ua-cam.com/video/7x-DPdj0azs/v-deo.html

    • @nurdinathumani3989
      @nurdinathumani3989 4 роки тому +1

      Hujamuelewa shekh

    • @khamisjuma7616
      @khamisjuma7616 4 роки тому +3

      Huyo anaelezea faida za hijra ila kuhusu ile aya makusudio ni wale wanaorejea ktk ukafiri baada ya kuzidiwa na makafiri ndio wataulizwa kwani ardhi ya Allah ni wasaa .ila hijra ina faida sana sana

    • @asphathbashiru2052
      @asphathbashiru2052 4 роки тому +1

      Shekhe yupo sahih mada IPO wide hyo ktk maisha yko yte migration ni KTU cha msing, ww unasemea kipengele kmoja tu

    • @kalikalisalehe3701
      @kalikalisalehe3701 4 роки тому +1

      Naam but aya makusudio ni hivii na si alivyosema Sheikh lkn hijra ina depend na mtu mwenyewe hali alokua nayo

  • @salmaanhemed2665
    @salmaanhemed2665 4 роки тому +5

    iwapo sehemu unayo ishi hupati kufanya ibada kutokana naukafiri ulipo..

  • @faizahamim9935
    @faizahamim9935 4 роки тому +3

    Naam sheikh naku kubali kabisa yani umeongeya kweli kabisa

  • @SaidSaid-v9q
    @SaidSaid-v9q Місяць тому

    Shehe hamujamfahamu ikiwa maisha yko magumu upo sehemu hiyo hiyo ndio uhame.

  • @mwanakombaabbas93
    @mwanakombaabbas93 4 роки тому +3

    Maneno ya kweli kabisa

  • @Mchomeke
    @Mchomeke 5 місяців тому

    Umenipa muamko sheh wng

  • @muhammadahmedaliyyu3854
    @muhammadahmedaliyyu3854 4 роки тому +4

    LA hawla wala quwata illah billah 😭😭😭🤢

  • @hassanjumabajwala1862
    @hassanjumabajwala1862 4 роки тому +1

    Allah akulipe fact tupu

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 4 роки тому +1

    Mashallah shukuran

  • @aishaomar4318
    @aishaomar4318 4 роки тому +4

    Kweli kabisa haswa kwa znz niwakarim na ndio io yakufanya kazi za bure mpaka kwa majiran

  • @fatmaswaleh7004
    @fatmaswaleh7004 4 роки тому

    Swadakta ni kweli kabisa wallahi nmeona hakika QURAN YA ALLAH IMEKAMILIKA

  • @fatmamohammedali4306
    @fatmamohammedali4306 4 роки тому +2

    Ndio maana sisi Wapemba tunafanikiwa kumbe ukenda Marekani utamkuta London yupo China hakosekani Dubai ndo usiseme Tunduru yupo Mtwara Moshi Arusha shikamoo mpemba

  • @anifauwizeyimana8468
    @anifauwizeyimana8468 4 роки тому +3

    yani umeongelea point

  • @sharifarajabu7255
    @sharifarajabu7255 4 роки тому

    Shukurn sana na mimi nitahama umesema kweli kabisa

  • @sabunisop1050
    @sabunisop1050 4 роки тому

    Uko sawa sheh

  • @winfridamwamban1078
    @winfridamwamban1078 4 роки тому

    Shekhe tunashukuru kwa muongozo

  • @binlubawa8387
    @binlubawa8387 3 роки тому +1

    11:40 Dunia inatembea pia sio jua peke yake linalotembea na kutembea kwa Dunia zipo aya katika Qur-an zimebainisha kutembea kwa Dunia, shekh soma vizuri Qur-an.

  • @sheikhsaidonlinetv6045
    @sheikhsaidonlinetv6045 4 роки тому +2

    Nakubali Sheikh mtu anasoma hapo anaolewa ama anaoa then anazekea tu hapo da!

    • @neamusic2601
      @neamusic2601 2 роки тому

      Kweli kaka na anajukuu hapo maendeleo huwezi kuyapata.

  • @ndolimanaamani9106
    @ndolimanaamani9106 4 роки тому

    Asante

  • @saidimrisho883
    @saidimrisho883 4 роки тому +6

    Kama umemuelewa SHEKH ingia ktk uislamu usiogope watu

  • @muhidinali8180
    @muhidinali8180 4 роки тому +3

    Jitahidimni msome tafsiri za wanachuoni ili utowe tafsiri sahihi Aya haizungumzii ulazima wa kuhama ulipozaliwa Bali inazungumzia waislam waliobakia maka hawakumfata mtume s a w kuhama maka kwenda madina

    • @rosemwinyi4925
      @rosemwinyi4925 4 роки тому +1

      Muhidin Ali .....endelea kubaki hapo hapo ulipozaliwa maendeleo yko yatakuwaje ....halaf baadae ujiangalie tofaut kati ya awal na mara ya pili ...........akili yko uciigandisha kufaham kitu pekeee lazma uwe na (istim-batw) .....pia jitahd Kuwa na adabu ktk elimu yko ...akhui SHUKRAN fkir ndpo utende

    • @binausimohammed775
      @binausimohammed775 4 роки тому

      Kwani aya zote katika kurani zilishushwa kwetu sisi?
      Asbaabi nuzuli ya aya zote zimeshuka wakati wa mtume

    • @kingbabumusictzkingbabumus6285
      @kingbabumusictzkingbabumus6285 4 роки тому +1

      Qur_an Hai jawai kuexpire kwa kuwa Dunia ndo ile ile na mambo ndo Yale Yale

    • @abdulhamidkipweza5978
      @abdulhamidkipweza5978 4 роки тому

      Mashaallaah endeleaa kujifunza uendelee kutufunza tusojuaa pia

  • @ibnumarwaonlinetv4456
    @ibnumarwaonlinetv4456 Рік тому

    Ukweli kabisa

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 4 роки тому +2

    Kuhama maana yake ni kuonna, kufanya, kupanga pia ni kusoma mazingira mapya na kuona jinsi ya watu wengine wanavyoishi. Hakika kusafiri ni elimu lakini sina uhakika na usemi wa Sheikh kuwa utakuwa maskini kama hujaondoka kwenye maeneo yako.

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 роки тому

      mie naona kaongea kweli ukihama unapata hata ufumbuzi au akili nyingine nn cha kufanya mm kipindi niko kijijin maisha yalikua ya dhiki sana nikaja dar nikakaa miaka saba kwa sasa nipo oman nashukuru mungu nimebadilisha hata maisha yangu

  • @awenanassor3169
    @awenanassor3169 4 роки тому +2

    naam bila ya kukosea

  • @asilclub
    @asilclub 3 роки тому

    سيروا في الأرض

  • @editrudesmbonde9051
    @editrudesmbonde9051 3 роки тому

    Nipo nilipozaliwa sijahama,na nina maendeleo Shekh,kwa hapo kidogo umekosea.

    • @hamzaswaibu9470
      @hamzaswaibu9470 2 роки тому

      Ndugu hujamuelewa vizuri

    • @editrudesmbonde9051
      @editrudesmbonde9051 2 роки тому

      @@hamzaswaibu9470 Wewe si umeelewa?inatosha tu hata ukielewa wewe tu ni Cool😎👍

  • @estamelejomah572
    @estamelejomah572 4 роки тому +1

    Ishaallah

  • @abubakarybodley3877
    @abubakarybodley3877 4 роки тому +1

    Shehe umenilenga kabisa, abubakary a.n.bodley.mola akulipe.

  • @yusufathman2478
    @yusufathman2478 3 роки тому

    Q 4:97-100

    • @yusufathman2478
      @yusufathman2478 3 роки тому

      Tupe tafsir ya ibn taymiya kuhusu aya hizo sheikh..maneno matamu lakini kwa quran umejalizia maneno yako

  • @kassimali1943
    @kassimali1943 4 роки тому +1

    Mimi kunamtu ariniambia maneno hayo hunapozariwa ukiishi apo huenderei kipato

  • @wolfugangtesha5724
    @wolfugangtesha5724 4 роки тому +2

    Naked truth

  • @naamohamed9964
    @naamohamed9964 4 роки тому +1

    😃😃😃nimecheka wallah

  • @rashidihassani3170
    @rashidihassani3170 2 роки тому

    Vp

  • @user-hb8vi9fx6g
    @user-hb8vi9fx6g 2 роки тому

    MAWAIDHA NI MAZURI SANA BALI KAWAIDA YETU TUTAKUTUHUMU KUA UNANIA YA KUWATOA WENYEJI MSIKITINI UBAKI WEWE !