SHUHUDIA MAAJABU YA KIPAJI CHA MTOTO HUYU!!ANATOKEA PAROKIA YA MANUSHI JIMBO LA MOSHI, JE! ANAJUA?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 53

  • @georgebingi562
    @georgebingi562 3 роки тому +2

    dogo anajitahidi yuko vizuri...we unaesema atafeli ni kwamba we ndo hujui..kwa taarifa keyboard inaongeza brain thinking ability..! Ukimfwatilia huyu dogo hata class he is very bright..! music is mathematics na kama mjuavyo ukishajua hesabu ambalo ndo somo la brain challenge hayo mengine ni utopolo tu...! dogo hatofeli...dogo uko vzr keep it up mungu atakusaidia kwa kila njia utafaulu na utakuwa organist mzuri mnoo.

  • @douglasmassawe3894
    @douglasmassawe3894 2 роки тому +1

    Nampata anaitwa Carol anajua sana aisee ata kwenye kumbukumbu ya bibi yangu alikuja yeye kupiga kinanda na zawadi nikampa respect kwake

  • @kelvinngungulu301
    @kelvinngungulu301 Рік тому

    Hongera sana Bwana mdogo...usipoteze kipaji chako

  • @alfredmbulwa8890
    @alfredmbulwa8890 2 роки тому

    Yupo vizuri lakini ajitahidi kupiga nota akazane sana kwenye fingering na sio manjonjo

  • @evaristaugustine2748
    @evaristaugustine2748 4 роки тому +4

    SO talented young boy
    God bless you

  • @Ladislaus-jf3uz
    @Ladislaus-jf3uz Рік тому

    Yupo vizuri sana

  • @SizaAdolph
    @SizaAdolph 2 місяці тому

    Safi sana kijaaaaaaanaaaaaa

  • @SizaAdolph
    @SizaAdolph 2 місяці тому

    Hadi raha

  • @lucanusnickata8852
    @lucanusnickata8852 4 роки тому +1

    Anajua sana tu mungu amlinde na amtunze

  • @marymuthoni1551
    @marymuthoni1551 4 роки тому +1

    Wow!!!! Mungu aendelea kukubariki sana, asante

  • @techfreenolqdp
    @techfreenolqdp 4 роки тому +7

    Aliyeona Kama jamaa anapete ya ndoa lakini anaitwa mtoto gonga like

    • @paschallihumbo2055
      @paschallihumbo2055 4 роки тому +2

      jifunze kuwa na hekima. km wewe ni mkatoliki basi utajua kutofautisha kati ya pete ya ndoa na pete ya rozari takatifu. Ndio maana wame-like watu watatu huo ujinga na uzushi unaosambaza. Watanzania jaman!!!!!!!

    • @nicksonrweyemamu1480
      @nicksonrweyemamu1480 4 роки тому +1

      hiyo ni rozari kaka uwe una uliza kwanza ndio una toa maoni dogo yuko vizuri

    • @miamiguga4598
      @miamiguga4598 4 роки тому

      Yani hata huoni kama huyu ni chalii kabisa.ebu tumia akili kwanza

    • @aichaabdul5844
      @aichaabdul5844 4 роки тому

      @@paschallihumbo2055 achana nae huyo atakuwa na matatizo, amekariri pete za ndoa

    • @frankrwegoshora4705
      @frankrwegoshora4705 3 роки тому

      @@paschallihumbo2055 Naona umempa mrejesho mzuri. Nilitaka kuandika lkn umekamilisha. Eti like ili iweje. VIjana wengine wana matatizo sana. Bahati mbaya hajatumia jina lake na sura tukamwona. anataka 'Cheep popularity' yeye kwa macho ya kiovu ameona pete tu kwa mtoto huyu. Hivi huyu mtoto (mpigaji kinanda) si alicheza kinanda misa fulani dodoma mbele ya askofu hadi akamwita kumpa mkono?? walimu wake waendelee kumshika mkona

  • @kwayayamt.mariaconsolatasu4773
    @kwayayamt.mariaconsolatasu4773 3 роки тому

    Nice

  • @jacobmarco6834
    @jacobmarco6834 4 роки тому +2

    Very nice ma young,good bless you

  • @calvinsilayo2052
    @calvinsilayo2052 4 роки тому

    Mtoto anajua Sana mungu ambarik

  • @kastulishawish3136
    @kastulishawish3136 4 роки тому

    Anajua Sana. Mungu amtunzee

  • @raphaelchua6478
    @raphaelchua6478 4 роки тому

    Amlna ubarikiwe

  • @maduhulusangija3715
    @maduhulusangija3715 3 роки тому

    Pamoja

  • @luciajosue8606
    @luciajosue8606 3 роки тому

    Bravoo

  • @emanuelmchele1998
    @emanuelmchele1998 4 роки тому +2

    looooh!!!! Mungu amtunze na kubariki vidole vyake

  • @kwayakatolikitza
    @kwayakatolikitza 4 роки тому +1

    Good talent...

  • @ndomelokatalika91
    @ndomelokatalika91 4 роки тому

    Aongeze bidiii .....anacheza vizuri

  • @charlesmartine3467
    @charlesmartine3467 4 роки тому

    Good job

  • @felisterapornary2612
    @felisterapornary2612 4 роки тому

    Yupo vzr

  • @petermoshi6920
    @petermoshi6920 4 роки тому +2

    Kajitaid Yuko Vzr,
    Aongeze Juhud Afike Mbali zaid

  • @kepherjacky8790
    @kepherjacky8790 4 роки тому

    The boy is very well in playing organ

  • @jeanboscomugisa6351
    @jeanboscomugisa6351 3 роки тому

    Gloire a dieu

  • @joeljoseph785
    @joeljoseph785 4 роки тому

    👏👏👏

  • @تاتوجمعه
    @تاتوجمعه 4 роки тому

    Waooooooooooooooh😍😍😍😍😘😘😘😍😍😍😍😍😍😍🤗

  • @danielkimario8311
    @danielkimario8311 4 роки тому

    Yuko vizur sana

  • @athanasevaristmahega7488
    @athanasevaristmahega7488 2 роки тому

    Mimi natamanigi hii kitu jamani

  • @djungleulaya1792
    @djungleulaya1792 3 роки тому

    Poa sana

  • @kessyfilbart3133
    @kessyfilbart3133 4 роки тому +1

    Natamani kujifunza maana napenda sana

  • @ericksama2788
    @ericksama2788 4 роки тому +1

    MUngu ambaliki qa kipaji hichi

    • @jacksonmushi3595
      @jacksonmushi3595 4 роки тому

      Kwamaombezi yamama wamoyosafi bikira Maria uta fikambali

  • @تاتوجمعه
    @تاتوجمعه 4 роки тому

    Jaman namm nina ndoto yakujifunza

  • @eliudkamwaro2062
    @eliudkamwaro2062 4 роки тому

    Huyu ameiva!...kila la heri

  • @felixonchiri6169
    @felixonchiri6169 4 роки тому

    Hicho ni kipaji tele

  • @تاتوجمعه
    @تاتوجمعه 4 роки тому

    Adi nataman

  • @lauriansimon2566
    @lauriansimon2566 4 роки тому +1

    Awe makini mambo hayo asipoangalia atafeli shule