Mtoto wa miaka sita mwenye kipaji cha hesabu Tanzania
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- Charlses mbena amekuwa gumzo nchini Tanzania baada ya video yake kusambaa mitandaoni akijibu maswali ya hesabu
Charles ambaye hajui kusoma wala kuandika ni mwanafunzi wa darasa la awali kwenye shule ya msingi Nyingwa iliyoko wilayani Morogoro mashariki mwa Tanzania
Mungu amtunze huyu dogo aitangaze nchi yetu Africa na Dunia nzima. Mungu amfanye mwana mahesabu Duniani hakuna. Genius wengine Mungu awainue toka hapa nyumbani Africa waishangaze Dunia.
Hapana chezea watoto wa kiafrika, wanazaliwa na elimu ipo ndani ya bongo zao, viva mtoto Charles
Asante kwa BBC..... all the way from Zanzibar 🇹🇿
Dogo hajawahi badilisha majibu, such a genius....ingekuwa jitu zima lingeona sifa na kuanza kujijaza kabisa
😆😉
Asante sana BBC natumai utazidi kuwaonyesha waafrica wengi wenye uwezo kama huyu Tunaomba msaada kwenu kuweza kuwatambua na wengine "Bora kutunza nyota yenye nuru ili iweze kukupitisha kwenye kiza kuliko kuizima nyota yenye nuru kwa kutembea kwenye kiza " tukumbuke nuru ndio inayotupeleka na sio giza ambapo hamna nuru
Nimefurahi BBC kwa hii news.....sio Corona tuu kila siku adi masikio yangu yaliisha zoea kuusu Corona
😂😂😂😂😂😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Wafadhili c wengi washajitokeza na wataendelea kujitokeza in sha Allah
Nimependa sn hii kweli mungu bc jina lake lieshimiwe ss mtoto mdogo kama uyu anakipaji cha pekee kabisa
Mashallha atokee mfazili awajengee wazazi wake pia baba yake aezeshwe itapendeza zaidi
Subhanallah. Mungu akitaka kukuinua huleta mamb ambayo watu hawayarajii.. Asieamini kama hakuna Mungu sijui aambiwe nn ili aelewe
Masha Allah God is good inshaallah God blesse you baby boy 🔥🔥🔥❤❤❤😘😘🤔🙏🙏🇰🇪
Aminaa
MTOTO huyu hata anavyojibu. Anajibu kwa umakini. Kipaji kingine anaonekana yuko makini na anajiamini.💪💪💪💪
The next Tanzanian Srnivarsa Ramanujan...
Huyu ni asset Rais wetu mpendwa Msimamie....
Mwenyezi mungu akulinde insha Allah
May God fulfill his heart desires...
Kristo Yesu Mwokozi wetu akubariki. Amen.
BBC mpo juu sana. Hongereni.
mwenyezi mungu amjalie uyu mtoto na kipaji chake insha'allah
Amiin
Mungu amsaidie atimize ndoto zake, maana Bongo unaweza kuwa na ndoto za kuwa rubani ukaishia kuchonga majeneza.
Umefanya nicheke sana
I love this boy
Uwepo wa mungu umzunguke afikie ndoto yake, dogo charles ni noma.
Tuna kazi kubwa katika kuboresha miundo mbinu ya elimu lakini watu Wana piga pesa
TANZANIA YANGU NAKUPENDA MUNGU NAKUOMBA UMUONGOZE MTOTO HUYU NA WATOTO WENGINE WENYE VIPAJI KAMA HIVI.
Mungu akujarie ndoto zako
Katika habari zote kuhusu huyu chalii bbc imefanya vizuri zaidi
Anaonekana atakuja kuwa kiongozi huyu M.Mungu amjaalie
Mungu anakupa apendacho.
Hongera mtoto
Mungu amlinde
M Mungu amsimamie dogo
Mashaallah
mimi kujifunza Kiswahili
Sema hyu dogo ajui tuu angjua walimu tulivyo na tabu akiyamungu angkuwa muhasbuu
Afu kweli mzee bora akakae Bank tu
Huyo akiwa mkubwa atabadili fani sahv si anasema tu maana hajajua
Mimi hapo kwenye milioni tatu nimefurahi ajabu
huyu alikimbia chanjo ndio maana zina charge
🤣🤣🤣🤣
Hahahaa
Aya bana amesikika
Kwa uwezo wa Mungu
kwani kilema mpaka asaidiwe kipekee. . ? si aendelee tu na elimu kwa mfumo rasimi. . kila kitu magufuli jamani . .
Magufuli ameshasaidia kuleta walimu na vitabu mashuleni sasa sijui asaidie nini tena!
NA WAPO WENYE UWEZO KULIKO YEYE MBONA SEMA HAWAJAWA EXPOSED
AU SAIVI KILA MWENYE KIPAJI ANATAKIWA ASAIDIWE NA RAIS AU ATANGAZWE KAMA KAJITOLEA MTU KUMSAPOTI SIO SHIDA ILA SIO NDO MMFANYE KAMA NI GENIOUS WA ULIWENGU. MUNGU KAMJALIA AKAZANE ASOME APAMBANE NA MAISHA YAKE HUKO BAADAE
Kiukweli Shule yao Sio nzuri kimiundombinu na mtoto kaonesha Tamanio LA Kusoma Kwa nini Asisaidiwe
Halafu pia Kaitangaza Shule kwa nini Isisaidiwe ni Jukumu LA Viongozi kuhakikisha Mahitaji ya Muhimu Watoto wanakuwa nayo
Wakenya ss hv watasema kazaliwa Kisumu ahahahahha
Itakuwa huyu dogo zile chanjo za Bilgate hakuchanjwa ndio maana ni genius
Aiseee
Anybody has videos on Charles in English?
Huyu atakuwa mtaalamu kabisa.
mmh shule hii duuh
BBC NAWAPENDA SANA KWA HII HABARI
Minister of finance tanzania
Duh 🙆♂️Mia tatu tisini
😂😂Hapendi kuandika kweli
Hi
Namwona magufuli wa badae huyu nishupavu
Aise huyo mtoto
Muuliza maswali ni mlevi
Ml
🔥🔥
🤝🤝🤝
Mjmb jpm zawadi hiyo tumeletewa na allah ucmwache mchezji mzuri wa hesabu
💪💪
NASA employee
Madarasa
MashaAllah