HUKMU YA MUME ASIYYEWEZA TENDO LA NDOA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 53

  • @maryamabdalla7557
    @maryamabdalla7557 Рік тому +13

    Sheikh Izzudin kwake napata ilmu napia nafurahi sanaa.... ALLAH akujaze heri

  • @themagadir
    @themagadir Рік тому +6

    Nice way of explaining wallahi lugha ya kistaarabu and making it funny njia nzuri kufikisha ujumbe

  • @sakinat2527
    @sakinat2527 Рік тому +9

    Allah akueke umri thawiil sheikh langu na akujaalie khatima njema

  • @maryammdoe5801
    @maryammdoe5801 Рік тому +11

    Ila izudin jamani 🤣🤣😂😂mungu akuweke,

  • @husseinibrahim5438
    @husseinibrahim5438 Рік тому +4

    MA SHA ALLAH
    HAPO UMEJIBU VILIVYO USTADH JAZAKA ALLAH KHAIR.

  • @GHOSTWORKER19
    @GHOSTWORKER19 Рік тому +8

    Straight forward and to the point. Hivo ndio inafaa.

    • @matanohassan9667
      @matanohassan9667 Рік тому

      Wazo lako zuri ila pia inabidi kupatikane ufafanuzi wa kiasi ili watu wafahamu vizuri ndoa sio kitu cha mchezo wabilahi Tawfiq

  • @mohammedmohammed-id3we
    @mohammedmohammed-id3we Рік тому

    Shukran sheikh Azadiin.elimu fii...

  • @halimaabdi3125
    @halimaabdi3125 Рік тому +7

    Ma SHA Allah

  • @mkenyahalisi1888
    @mkenyahalisi1888 Рік тому +5

    On point sheikh

  • @zeitunkassim9352
    @zeitunkassim9352 Рік тому +3

    MashaAllah 🥰

  • @YAHYAMAALIK
    @YAHYAMAALIK Рік тому +6

    Shukran shekh

  • @sakinat2527
    @sakinat2527 Рік тому +4

    😀😀😀 raha ya kumskiza sheikh Izudin

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 Рік тому +3

    Shukraan sheikh

  • @feisal6592
    @feisal6592 Рік тому +2

    Ishallah busu nimuhimu sana

  • @znzmawaidh8702
    @znzmawaidh8702 Рік тому

    Mashaallah sheikh Allah akuzidishie elimu

  • @raajtz9861
    @raajtz9861 4 місяці тому

    😅😅 mashaalah

  • @kadiriosmam
    @kadiriosmam Рік тому

    Asalam aleikum warakhmatullah sheikh ungetufundisha jinsi ya kupata madawa za hivi shida.Wengi tuna umia.

  • @abdillahimohammed3544
    @abdillahimohammed3544 Рік тому +3

    Lazima ya semwe tuchanue sheikh

  • @idrisjames9392
    @idrisjames9392 Рік тому +1

    Mashaallah

  • @sesilialaga5403
    @sesilialaga5403 Рік тому

    Jamani anae jua hilijambo anisaidie mume wangu nimgonjwa Sasa mwaka tendolandoa hakuna nahaniudumii mimi nifanjeje Sasa mpakaichonachojitaidi kukitafuta hukitaka anunulie madawa naruhusiwa kuomba taraka kisheria.

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 Рік тому +3

    Tunaka mashekh
    mtueleze Hukum ya watu wanaowatukaba Maswahaba na wanaowaunga mkono
    nini hukum yao

  • @halimaabdi3125
    @halimaabdi3125 Рік тому +4

    Kweli kabisa

  • @yusuphabdullah8790
    @yusuphabdullah8790 Рік тому +4

    Inshaallah

  • @ironshykh
    @ironshykh Рік тому

    😂😂😂MaAshAllah

  • @jumakhamis5053
    @jumakhamis5053 Рік тому +3

    Kama mtu hajawahi kufanya icho kitendo utamuulizaje anaweza tendo kwa mda gani .ndio anataka kuoa sasa au ndio mara ya kwanza kuolewa yuko bikra?

  • @sadhiyaiman6038
    @sadhiyaiman6038 Рік тому

    Kwa bahati mbaya wangu alidanganya akasema ataweza akasema anaweza nikavumilia kisha akanipa talaka

  • @Worldunite
    @Worldunite Рік тому

    Au unaficha udhaifu ulio nao?

  • @kizadjumaakbar-rk9cb
    @kizadjumaakbar-rk9cb Рік тому +1

    Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuhu.
    Ikiwa binti mwenyewe ameridhia kuishi na mwanamme asiye na nguvu za kiume hil ndoa vipi?

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  Рік тому +1

      walekum salam . kama binti ameridhia haina shida wala hamna tatizo ndoa inaendelea kama kawaida .

    • @ramadhanitwahili6837
      @ramadhanitwahili6837 Рік тому

      Ndoa ipo hapo shekhe siamelidhia mwenyewe kaka.

  • @abdallahbrek1698
    @abdallahbrek1698 Рік тому

    Haya mas'ala kama ni katika kuelezana tu basi ni sawa lakini ikiwa ni katika sharia za dini naomba Aya kwa hayo usemayo na kwamba faskhi ni lazima shekhe.

  • @Worldunite
    @Worldunite Рік тому

    Tendo la ndoa unalinganishaje na urefu wa sura za Qur'an?

  • @sheylamunah4670
    @sheylamunah4670 Рік тому +3

    😅😅😅😅😅😅

  • @rashidmaiyo-zt5ll
    @rashidmaiyo-zt5ll Рік тому

    Je yafaa kusuka dreadlocks baada ya kufungua saumu kama yule anayesukwa n mwanamke ikiwa mm n mwanamme

  • @mohammadissa7706
    @mohammadissa7706 Рік тому +3

    🤣😂🤣

  • @aymanmeery5011
    @aymanmeery5011 Рік тому

    😂😂😂😂😂😂

  • @queenofireland898
    @queenofireland898 Рік тому

    😃 😀 😄

  • @habibiswaleh1849
    @habibiswaleh1849 Рік тому

    😂

  • @sohrabtajadin3402
    @sohrabtajadin3402 Рік тому +1

    NDILO MUJUALO.. JANABA... NDOA.. KUWATANA...

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  Рік тому +9

      tuombee Dua namengine tuyajuwe

    • @matanohassan9667
      @matanohassan9667 Рік тому +2

      Asante kaka kuelewa kwamba fikihi ndio tujualo na kila mtu asiye juwa mfahamishe ajue ndio tujualo ili kila mtu ashike upande wake

    • @fatmaali3838
      @fatmaali3838 Рік тому +5

      Na ww wakaribishwa utupe ya kwako tuilimike

    • @hassancharo1496
      @hassancharo1496 Рік тому +2

      Masha Allah SHEIKH Kila mtu afikishe kile ana jua kwa mwengine

    • @husseinabdul7948
      @husseinabdul7948 Рік тому +1

      Some time nyinyi mnatumwa au !? mwenzio anawahelimisha watu wye usha kuja na jaziba