TAREIKH YETU, MSIMU WA TATU (SILSILA 18): Sultani wa Zanzibar aliyelazimishwa kujiuzulu Ufaransa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024
  • Sayyid Ali bin Humoud alikuwa sultani wa nane wa ukoo wa Busaidi visiwani Zanzibar, lakini akiwa na umri na umri wa miaka 27 alilazimishwa kujiuzulu na Waingereza akiwa Paris, Ufaransa, ambako ndiko pia alikofia miaka saba baadaye.

КОМЕНТАРІ • 9

  • @buchbeats5337
    @buchbeats5337 Рік тому +3

    Shukran Professor kwa kutuwekea sawa tareh yetu ya nchi yetu Zanzibar mana kuna watu wamekamiya kuibadilisha histiriya yetu.

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 Рік тому +3

    Pan-Islamism na Islamic Modernism ni moja ya sababu ya Mapinduzi dhidi ya Uislam wa Zanzibar. Sio Usultani kama tulivyopotoshwa na tukapotosheka.

  • @nailamohd7693
    @nailamohd7693 Рік тому +2

    Shukran sana

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 Рік тому

      LOL. "Yule ni Mfalme wa Foto Kopi" na tangu Ukoloni (1964-sasa), "Wafalme wa Foto Kopi" sasa wanatoka Tanganyika.

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 Рік тому

      SULTAN ALI HAMUD NA PAN-ISLAMISM KUTOKA UTURUKI HADI ZANZIBAR. Ahsanteni sana. Kile kitabu cha Profesa B. G. Martin ninamnukuu:
      "Thus, the known anti-British attributes Ali bin Hamud, his strong sympathies for the Pan-Islamic movement, and his friendship with the Sultan of Turkey might well have overcome his slight sympathies for the Germans to the extent that he uphold (Muhammad bin Khalfan bin Khamis al-Barwani) Rumaliza's schemes for an uprising in former Zanzibar mainland territory.
      Another significant point that would argue for the popularity of Pan-Islamic ideas among Zanzibari Muslims was the naming of Abdul al-Hamid II as Caliph in the Friday bidding prayer on Zanzibar and mainland, even after it was under German control........Then too, Zanzibar had a Pan-Islamic newspaper in Arabic AL-NAJAH (The Success) with a good a number of subscribers."
      (Source: B. G. Martin (1976). Muslim Brotherhoods in the 19th Century Africa. Cambridge University Press. uk. 175).

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 2 місяці тому +1

    Kitu kinachonikwaza na kuniuma hadi waleo ni kwanini Sultan Jamshid Al Busaidi na Mohd Shamte waliuza mwambao kwa nchi ya Kenya bila kuhusisha watu wa mwambao (Mombasa) wenyewe na kutuletea madhila makubwa kwa kupoteza ardhi zetu, biashara, tamaduni, na kadhalika hadi leo hii 😢😢😢😢

  • @salumhamed5074
    @salumhamed5074 Рік тому

    Asante

  • @mahamedsalimali671
    @mahamedsalimali671 Рік тому

    Assalam alaikm nimefatilia ktk kipindi kilichopita ilitajwa habari ya reli ambayo ilijengwa na said barghash zanzibar lkn ktk kipindi hichi pia imetajwa kua imejengwa ktk kpndi cha sayid Ali bin humud sasa hapo sijaelewa imejengwa mara mbili au sikuelewa?

  • @gambofamilyafrica8147
    @gambofamilyafrica8147 Рік тому

    kumbe mambo ya vijana kuathirika na mambo ya kizungu yalianza zama hizo , kazi nzuri Sheikh Hassan , hongera sana , natokea Pwani ya Kenya .