Asanteni sana serikali yangu kwa kujali hali iendelee hivi hivi maana kinga ni bora kuliko tiba hongereni sana viongozi wetu big up kubwa kwa rais wangu
Habari ya majukumu, poleni kwa majukumu naomba kufahamu zaidi kuna parsel yangu senegal Dakar na hitaji kujiridhisha kwa gharama ni kiasi gani na utachukua muda gani hadi nchini
Nashangaa sana kwamba..Kutuma.mzigo kutoka nje ya Tanzania kupitia DHL, lazima mzigo ukifika Tanzania wafungue wakague ndani waangalie kama mzigo ni used au mpya ili wajue utalipa ushuru kiasi gani. Mambo ya hovyo sana hayo. Kenya hakuna Tabia hizo, ni Tanzania tuu. Nilituma simu ..mpya wanaona simu mpya kwenye box, wakafungua wakatoa kila kitu..Very unprofessional. Badilikeni
Ongea kiswahili tukufahamu maana lugha yetu ya taifa ni kiswahili au hii habari haituhusu sisi watanzania masumbiji wanaongea kireno wanafahamiana wee unatuletea lugha ya jabu hatukufahamu ongea kiswahili wengine waitafsiri kwa kizunguzungu ushatuacha

Serikali ipomakini ahsante
Tahadhari iendelee kuchukuliwa asante❤❤🔥serikali ipo makini❤
Habari ya majukumu, poleni kwa majukumu naomba kufahamu zaidi kuna parsel yangu senegal Dakar na hitaji kujiridhisha kwa gharama ni kiasi gani na utachukua muda gani hadi nchini
Jamaniii me nataka kujifunzaa jinsi ya kupokeaa mzigo anae juaa bs
shalom
Inaenda miaka 2 sijaupata mzigo wangu kwenu nikiwapigiya mnanizungusha matapeli
Nashangaa sana kwamba..Kutuma.mzigo kutoka nje ya Tanzania kupitia DHL, lazima mzigo ukifika Tanzania wafungue wakague ndani waangalie kama mzigo ni used au mpya ili wajue utalipa ushuru kiasi gani. Mambo ya hovyo sana hayo. Kenya hakuna Tabia hizo, ni Tanzania tuu. Nilituma simu ..mpya wanaona simu mpya kwenye box, wakafungua wakatoa kila kitu..Very unprofessional. Badilikeni
Iyooooo mizigo iko na usalam kwetu kutok huko marekan 🙆🙆🙆
So, another business area in Kenya for Tanzanians?, we need you to operate in conjunction with our Airlines!!.
Kichwa cha habari kiswahili ndani kizunguzungu
Costomer service 👎🏻
We kavu sana ongea kiswahili tukuelewe sasa iyo luga yako unamuongelea nani.
Ongea kiswahili tukufahamu maana lugha yetu ya taifa ni kiswahili au hii habari haituhusu sisi watanzania masumbiji wanaongea kireno wanafahamiana wee unatuletea lugha ya jabu hatukufahamu ongea kiswahili wengine waitafsiri kwa kizunguzungu ushatuacha
Lugha ya taifa ni Swahili/English
If you don't hire English you must back to school
@@sjfamily8121 ok
@@sjfamily8121 I think olso you don't know English write well
@@emilyibraimo5032 wow so you speak English but you complaining