URUSI wayafanyia uchunguzi makombora ya ATACMS ya Mmarekani ambayo yamekuwa magumu kuyaharibu vitani

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 103

  • @user-cw8zn2dn6m
    @user-cw8zn2dn6m Місяць тому +6

    Ni kama Himars tu!! Ilikuwa vigumu sana kuiharibu au kuidungua, lkn wakalikamata hilohilo mfumo wa Himars, kisha ndo wakaweza kuijua na kuizima afu kuharibiwa kabla ya kuleta madhara. Russia ni wajanja sana!!!

  • @shomaryramadhani270
    @shomaryramadhani270 Місяць тому +7

    Duuuuh jaman tuwaombee tu mungu awape mioyo ya kustisha mapigano vita sio nzuri kuna watu wanakufa bila hatia

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche Місяць тому +1

      @@shomaryramadhani270 wazo lako mzuri marekani na umoja wa ulaya biashara yao migogoro duniani.

  • @nasibugunda7927
    @nasibugunda7927 Місяць тому +4

    Ndio mjue sasa kwann russia wameficha silaha mpya na wanatumia zaidi silaha za kizamani

  • @YohanaMasebo
    @YohanaMasebo Місяць тому +10

    Habari nzuri kwa team Russia 🇷🇺🙏🙏

  • @omarymwaluko9765
    @omarymwaluko9765 Місяць тому +3

    Marekani mashoga wadhaifu ndo mana silaha zao mrusi anazikamata ila mrusi mjanja silaha zake anazificha wasijue technology yake mana mrusi ndo mweny technology kubwa zaid duniani

  • @MAHAN-SMART
    @MAHAN-SMART Місяць тому +8

    Ilo kombora Russia ikishindwa kulifanyia uchunguzi linapelekwa china hapo ndio inakua mwaisho wake utaskia china na yeye ana makombora ya atacams anauza

    • @makanjamkabila
      @makanjamkabila Місяць тому +3

      Kwani wewe unaona wa china 🇨🇳 wapo juu kwa technology ku zidi russia 🇷🇺

    • @hashimumwinyi2239
      @hashimumwinyi2239 Місяць тому +1

      Iran baba linaenda mabingwa wa reverse

    • @user-zd1zc8dr1f
      @user-zd1zc8dr1f Місяць тому +1

      ​@@makanjamkabilawachina wana copy hatareeee

    • @AjudeKaluwa-bp1zz
      @AjudeKaluwa-bp1zz Місяць тому

      Tena wanaboresha zaidi

    • @sirpaza8513
      @sirpaza8513 Місяць тому

      Urusi na Marekani ndio top. China wanakuja kwa kasi

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche Місяць тому +2

    Urusi anaga baiya

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 Місяць тому

    Safi sana Urusi

  • @SelemaniMeena-oo3os
    @SelemaniMeena-oo3os Місяць тому +1

    Urusi kuichalenji marekani ni rahisi mno, ila marekani kuichalenji urusi ni ngumu mno

  • @PatrickKagiraneza-ok8cw
    @PatrickKagiraneza-ok8cw Місяць тому +1

    Ufanisi mwema kwa urusi...

  • @user-ow6fw2lw7n
    @user-ow6fw2lw7n Місяць тому +1

    Urusi ni mwamba wa vita duniani

  • @ngendakumanajeanmarrie7490
    @ngendakumanajeanmarrie7490 Місяць тому

    🎉
    Nice urusi ikojuu

    • @paschalcosmas6093
      @paschalcosmas6093 Місяць тому

      Unajielewa kweli wewe?...wakat mwenzio hajapata ufumbuz wa hilo Bomu hlf ww unasema yupo juu?...je, hujui kuw makombora mangapi yenye high technology ambayo Marekan kayaficha?

    • @ShawnBeatz
      @ShawnBeatz Місяць тому

      Unabishana na machawa wa putin😂😂😂​@@paschalcosmas6093

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 Місяць тому

      ​@@paschalcosmas6093marekani mashoga wadhaifu ndo mana silaha zao mrusi anazikamata ila mrusi mjanja silaha zake anazificha wasijue technology yake mana mrusi ndo mweny technology kubwa zaid duniani

  • @vumiliamgingu1579
    @vumiliamgingu1579 Місяць тому +4

    🇷🇺🇷🇺🇹🇿 🔥

  • @kanutimosha1193
    @kanutimosha1193 Місяць тому

    😅😅 yangu macho na masikio muache mwenye ngufu apite

  • @KenedyThabiti
    @KenedyThabiti 28 днів тому

    Nani kakudanganya kuwa urusi ananguvu zaidi duniani

  • @Maxtechtv
    @Maxtechtv Місяць тому +1

    😂😂 kichwa vita

  • @BenPeter-vp2cy
    @BenPeter-vp2cy Місяць тому +2

    Apa US kapokea wastan kwa idadi

  • @theempire4058
    @theempire4058 Місяць тому +2

    Alafu ukija kwenye ule ushabiki wetu wa kipumbavu mtu anakuambia mrusi yupo juu kwa silaha wakati hapa tu kabomu kadogo kanatoa jasho, aya hatujui kuna mengine mangap tofaut bado mmarekani hajayatoa, putin ajifunze na ajipange kupitia hili kutengeneza silaa za kisasa.

    • @HarounRashidKuyawa
      @HarounRashidKuyawa Місяць тому +1

      kwenye mfumo wa ubongo wa binadamu hakuna binadamu mwenyewe kujua Kila kitu,Kwa hiyo technology Kila mtu ana yake,kujua ya mwezako kuna faida mara mbili,na kuhusu silaha Urusi ndio nchi yenye mabomu Hatari Zaid ya nuclear kuliko nchi yeyote duniani,Acha undezi fatilia utambue

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 Місяць тому

      Ww choko hujielew mrusi ndo mweny technology zaid ya hao mashoga

    • @theempire4058
      @theempire4058 Місяць тому

      @@omarymwaluko9765 tuache ushabiki usio na maana, umeona apo kabisa urusi ndo anaanza kujifunza uo mfumo afu unasema urusi iko juu

    • @theempire4058
      @theempire4058 Місяць тому

      @@omarymwaluko9765 poa

  • @omarymwaluko9765
    @omarymwaluko9765 Місяць тому +1

    Urusi kiboko ya mashoga

  • @CalebThomas-ie4zy
    @CalebThomas-ie4zy Місяць тому +3

    Warus wapo vzur sana kivita ila marekan ananguv kubwa ya washirika hii ndio itampa ugum putin

    • @mohamedngoshani2067
      @mohamedngoshani2067 Місяць тому +1

      Uko vzr

    • @nick1o7bang17
      @nick1o7bang17 Місяць тому +2

      Marekani anatumia nguvu putin anatumia akili mingi tatizo linaanzia apo

    • @theempire4058
      @theempire4058 Місяць тому +2

      Kuweni na akili na acheni kugeuza mada kinachoongelewa hapa ni silaha mpya alizonazo mmarekani ambazo mrusi hana, kwa maana iyo putin anatakiwa awe makin kwa hili kumbukeni hii kwake ni silaha mpya na wanaanza kujifunza

    • @eliasaNgahehwa-l2f
      @eliasaNgahehwa-l2f Місяць тому

      Kila mtu ana technology yake yake, ​@@theempire4058

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 Місяць тому

      ​@@theempire4058ww choko urusi anasilaha kali kuliko hao mashoga

  • @user-nw1zz5xg2d
    @user-nw1zz5xg2d Місяць тому

    Ujanja nkuwahi hii ndio karata ya vita

  • @rashidmaty7824
    @rashidmaty7824 Місяць тому +2

    Ww Aly twakujua ni team west ww

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 Місяць тому

      Ally ni Hana UPANDE kama smaa iyo HABARI ni toka juzi

    • @lakasid3860
      @lakasid3860 Місяць тому +1

      Naww tunajua ni team Russia kwaiyo tulia

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 Місяць тому +1

      Ali kashakuwa mwanachama wa. mashoga

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 Місяць тому

      @@omarymwaluko9765 anachokiripoti ALLY ndicho kimeripotiwa na vyombo vingine vya kuaminika vya kimataifa HATA vile pro Russia

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Місяць тому

    Marking wafanyia uchinguzmakombora ya urus iskanda

  • @abdulrazack9577
    @abdulrazack9577 Місяць тому +3

    Sasa wamelipataje

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 Місяць тому +1

      Katika vita kupata silaha za adui ni kawaida kuna njia mbili 1. Jamming(electronic warfare) 2. Lilitunguliwa kabla ya kulipuka ila namba 1 ni uhakika zaidi.

    • @hamzamasoud9120
      @hamzamasoud9120 Місяць тому

      @@thefactbook...1607 vile vile linawezwa kumiss Fire (kutoripuka)

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 Місяць тому

    mbona watu munaona hii ni big deal munaijua fab 3000?

  • @user-go3xe4mk4w
    @user-go3xe4mk4w Місяць тому +3

    Mmarekan ndio mkali wa hz kaz kwahiyo kaen kwa ku2lia na bd

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 Місяць тому

      Marekani mashoga wadhaifu ndo mana silaha zao mrusi anazikamata ila mrusi mjanja silaha zake anazificha wasijue technology yake mana mrusi ndo mweny technology kubwa zaid duniani

    • @hamidamussa-sy4fm
      @hamidamussa-sy4fm Місяць тому

      Marekani ananguvu

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE Місяць тому +1

      ukapimwe akili kwanza😂😂😂

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 Місяць тому

    👁️👁️🇫🇮🇫🇮🤝

  • @InnocentZamkulu
    @InnocentZamkulu Місяць тому

    Wakigundua hilo Marekani ita tengeneza next level 💯

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 Місяць тому

      Marekani mashoga Urusi ana technology kubwa zaid yake

    • @user-ig3qn9zw6b
      @user-ig3qn9zw6b Місяць тому

      ​@@omarymwaluko9765we shabukia ila hacha kudanganya watu

  • @kanutimosha1193
    @kanutimosha1193 Місяць тому

    Mrusi ni baba sio sadam au kadafi

  • @minanifreddy6969
    @minanifreddy6969 Місяць тому +1

    Sns ya warusi

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 Місяць тому

      Mashoga hawana jambo wanapigwa tu

    • @user-ww5iu4gz4b
      @user-ww5iu4gz4b Місяць тому

      Ww pinga kwa hoja tu wenzio wanaleta nondo za uhakika sasa ww kataa kwa logic na facts sio useme ya urusi tu ww pinga kwa hoja za msingi mtu kuchagua wapi apende haikatazwi hata ww penda marekani ila ukija na habari hapa njo nayo ilionyooka

    • @user-ig3qn9zw6b
      @user-ig3qn9zw6b Місяць тому

      ​@@user-ww5iu4gz4bwatuleteye nondo za huko tanzania ili tuahelewe

  • @directortwicep3028
    @directortwicep3028 Місяць тому

    Ujanja wote wa Mrusi anaanza kulifuatilia kombora la mmarekani 😂
    Hawa jamaa teknolojia bado na mmarekani hawezi peleka kwasasa silaha more advance ukraine hilo kombora lakitambo na bado linawapa wakati mgumu mrusi 😂😂😂

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk Місяць тому +4

    🇷🇺🇷🇺🇹🇿🇹🇿❣️👑

  • @kanutimosha1193
    @kanutimosha1193 Місяць тому

    Kama afngastani ilimshinda mmarikani je baba putini

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm Місяць тому

    Marekani ana nguvu sana

  • @jeromeshirima2053
    @jeromeshirima2053 Місяць тому

    Kwanini was display why isingekuwa silently

    • @ElisalMasawe
      @ElisalMasawe Місяць тому

      Hapa watakua wamepata JB bt wanacheza na akili ya us waone action hivyo hiyo action ndo itawaxaidia

  • @yonathanbanyikwa1813
    @yonathanbanyikwa1813 Місяць тому

    Propaganda nazo zipo

  • @furahafrank8267
    @furahafrank8267 Місяць тому +2

    Nina sikia huu mfumo unamutesa murusi.

    • @mustafamasudi8093
      @mustafamasudi8093 Місяць тому

      Kvp wakati anayaharibu kila siku

    • @lakasid3860
      @lakasid3860 Місяць тому

      ​​@@mustafamasudi8093wameyaharibu lini wakati hapo mchambuzi anasema wamepata tabu kuyaharibu mpaka wamechukua wataalamu kuyachunguza au hujaelewa kinachoongelewa?

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Місяць тому

    Putin afe

  • @Badvoice707
    @Badvoice707 Місяць тому

    Mmarekani humuwezi kirahisi hivyo aligundua atomic wa Japan wakasalit amri 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @SaidiMkome-qq7hy
      @SaidiMkome-qq7hy Місяць тому +1

      Urusi sio japana soma hostory

    • @Expl0rer.
      @Expl0rer. Місяць тому +1

      ​@@SaidiMkome-qq7hy 💯💯 Urusi anaongoza ktk nyuklia . 💪

    • @YohanaMasebo
      @YohanaMasebo Місяць тому +2

      Akili yako ni kizibo

    • @user-tq4lx9si1n
      @user-tq4lx9si1n Місяць тому

      Japan hanamzd urusi kiraktu hacha ujinga naunaz Japan ashawai kumchakaza urusi vbaya mno urusi yesta hanapata ushnd kwa watoto kama mwenzake Netanyahu harafu wana vmba kichwa wababe hajakutana nasaiziyao​@@SaidiMkome-qq7hy

    • @ManOfSteel-2ruku
      @ManOfSteel-2ruku Місяць тому

      Fuatilia vizuri science ya atomic bomb haikugunduliwa na mmarekani Bali mjerumani ndiye aliyeanza kuitengenesa kwa kuwatumia wafungwa wa kiyahudi mwaka 1944 lakini kwa bahati mbaya mwaka huo wakati wakiendelea na utengenezaji wa silaha ujerumani kipindi hicho Vita ilimgeukia vibaya kukawa hakuna coordination nzuri katika jeshi la ujerumani vikosi vyake vilitawanyika ndipo mmarekani akapata taarifa ya kwamba mjerumani yupo kwenye hatua za utengezaji wa silaha kubwa ya maangamizi, ndipo marekani akatuma askari wake wa kijasusi kwenda kudukua BLUEPRINT ya Technology hiyo, hatimae mwishoni mwa 1944i na mwanzoni mwa mwaka 1945 marekani akaikamilisha kuunda bomu la atomic na kwenda kumpiga swahiba wake mjerumani ambae ni mjapani aliyekuwa akimsumbua mmarekani kama mbu mwenye kiu ya Damu,
      N.B wakati marekani ametuma majasusi wake kwenda kudukua utaalamu wa uundaji huo Mrusi pia alipata taarifa ya sakata hilo hivyo Mrusi ilimbidi atume majasusi wake kwenda kudukua utaalamu wa bomu la nyuklia,
      Mwisho, Ujerumani ndiyo ilikuwa nchi yenye teknolijia kubwa ya kijeshi kipindi cha Vita ya pili ya Dunia kuliko nchi yeyote ile, na baada ya kuanguka kwake nchi kubwa ziliiba utaalamu mwingi wa kijeshi kutokea kwake, mfano utaalamu wa silaha za Maroketi nchi za marekani na urusi ziliiba ujuzi kutokea kwa mjerumani✌

  • @ramadhanhassan5285
    @ramadhanhassan5285 Місяць тому

    Ili mjue mrusi vita anaimudu mwambieni marekani anyooke moja kwa moja kunpiga urusi nadhan mtakua mmenielewa kwa wale mnao shabikia mashoga

  • @GodenBMDaniel
    @GodenBMDaniel Місяць тому +4

    Urusi ndiyo inchi pekee yenye nguvu zaidi

    • @InnocentZamkulu
      @InnocentZamkulu Місяць тому +1

      Nguvu za kushindwa kumaliza vita ambayo walidai watashinda kwa wiki mbili. Bali leo imekua karibu miaka.

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 Місяць тому

      ​@@InnocentZamkuluurusi anapambana na mashoga wote duniani kupitia Ukraine

    • @user-ig3qn9zw6b
      @user-ig3qn9zw6b Місяць тому

      Mashoga wanasapoti tuu. Vita imemukuana ngumu tu. ​@@omarymwaluko9765

    • @ShekhMufyd-mn9zn
      @ShekhMufyd-mn9zn Місяць тому

      @@InnocentZamkulu hujui kitu wew urusi anapigana na NATO wew

  • @Elizabeth-gq9kl
    @Elizabeth-gq9kl Місяць тому +2

    Warusi hawawezi kufaulu.

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari Місяць тому

      Trump kaapa akaingia ikulu ndani ya masaa 24 iyo vita anamaliza na dalili za Trump kurudi ni 99% , na atachofanya ni kukata hela za kumpa Ukraine na kumpigia simu putin aache kushambulia

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 Місяць тому

      Urusi kiboko ya mashoga

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE Місяць тому +1

      ukapimwe akili kwanza😂😂😂, na ukifuatiliwa mpaka leo haujaolewa bwege wewe akili yako imeganda😂😂😂😂

  • @Hassanbaoma
    @Hassanbaoma Місяць тому

    Huyu Ali masubi ni mchambuzi mzuri kuliko DJ smaa angekua DJ smaa hapo ungesikia kiingerza kingi mara fuse mara logic mambo rundo hongera ali masubi

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE Місяць тому +1

      ukapimwe akili kwanza😂😂😂