𝗣𝗜𝗖𝗛𝗔 𝗭𝗔 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗞𝗔𝗦𝗦𝗜𝗠 𝗠𝗔𝗙𝗨𝗧𝗔 𝗡𝗝𝗔𝗠𝗔 𝗭𝗔𝗢 𝗭𝗜𝗠𝗘𝗕𝗔𝗜𝗡𝗜𝗞𝗔 𝗭𝗔𝗡𝗭𝗜𝗕𝗔𝗥 𝗡𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗕𝗔𝗥𝗔 𝗙𝗜𝗧𝗡𝗔 𝗡𝗔 𝗡𝗔𝗦𝗔𝗛𝗔

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 64

  • @KhalfanSaidi-ul4iy
    @KhalfanSaidi-ul4iy 9 днів тому

    Nasaha nzuri sana kutoka kwa Sheikh Abul Abbas... Allah amlipe kheri

  • @NassifSuleiman
    @NassifSuleiman 18 днів тому +7

    Sheikh Abul Abbas Allah akuhifadhi wallah nakupenda kwaajili ya Allah, nakufatilia sana wallah Allah kakupa Elmu kubwa mno, namuomba Allah kwa Elmu hiyo iwanufaishe Masalafi wote na wasiokuwa masalafi wafaidike pia

  • @JumaMambwembwe
    @JumaMambwembwe 18 днів тому +7

    Allah amhifadh sheikh qassim mafuta na Allah aivunje migongo ya wenye kupenda umaarufu

  • @HajiDibwa-n2f
    @HajiDibwa-n2f 18 днів тому +8

    Allah amuhifadhi sheikh abul fadhil Qassimu mafuta Qassimu na ampe mwisho mwema

  • @IssaKabelwa-zs2ct
    @IssaKabelwa-zs2ct 11 днів тому

    Allaah
    avunje mgongo
    wa yule anae waombea
    watu kuvunjwa migongo

  • @zuberimohamed43
    @zuberimohamed43 16 днів тому +2

    Mkubali tu mafuta kayatipika kwa mujibu wa kile anacho kihubiri kwa watu wake kujifanya mwamtakasa ni kuzidi kujitukanisha tu mbele ya watu wenye ufahamu

  • @Zinab-j8o
    @Zinab-j8o 18 днів тому +3

    Mashaallah umeongea vzr Allah akuifadhi

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 13 днів тому

    Allah amhifadhi sheikh wetu Kassim Mafuta. Hakika tuko pamoja nae bega kwa bega wala haturudi nyuma n tutaendelea Kuisoma na Dawatu Salafiya 🎉
    Hatuna haja na Muhammad Bachu mtu ambae dalili yake na TUNDULISU hahaaa Allah amuongoze

  • @abulqassimashirazy-mv8ee
    @abulqassimashirazy-mv8ee 18 днів тому +3

    Allaah amuhifadhi sh abul abas na masheikh wote wa kisalafy.

  • @IkaryIddi
    @IkaryIddi 18 днів тому +6

    Allah amhifadhi sheikh Qassim mafuta pamoja na masalafi wote

  • @IssaKabelwa-zs2ct
    @IssaKabelwa-zs2ct 11 днів тому

    Watu wanasubir
    sheikh qaasm
    mwenyewe atowe qauli
    mnapiga kelele bure
    أبو العباس
    Haijambo kua umefahamu
    kua Radd haichagui
    hata sheikh qaasim pia huradiwa
    Allaah akukuze kielimu

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 15 годин тому

      Basi na yey atarajaa kwan apige picha halaf eti mutuaminishe ile passport size

  • @DicksonLutende
    @DicksonLutende 9 днів тому

    Ayo unayoyasema shekh qasm akikusikia atakufukuza. Misimamo yk yy haifai kuchukuwa ilim kwa yyt asiejiita saraf, anamaneno mengi mengi sn ktk kinywa chake kama mwimbaji wataarabu. Allah amuongoze na ampe uwezo wa kuzibiti kinywa chake aache kuropokwa 34:17 34:20

  • @JumaMambwembwe
    @JumaMambwembwe 18 днів тому +4

    Baarakallah ustadh abul abbas na Allah aibariq elim yako

  • @AbubakariKiwayo-k3s
    @AbubakariKiwayo-k3s 17 днів тому +2

    Si mkubali tu kuwa kakosea mashekh wooote wanakosea ispokuwa huyo kasm yeye ni nani

  • @AbubakariKiwayo-k3s
    @AbubakariKiwayo-k3s 17 днів тому +2

    Mumemuona kasm mtume yani yeye hakosey muna akili ndogo wote masafii

    • @AbdallahAlly-b5m
      @AbdallahAlly-b5m 17 днів тому

      Sasa mnazungumzia picha wakati nyie mna ma album na album,tena videos hasa,na nani aliwaambia sheikh hajawahi kupiga picha? Utamiliki vipi passport ikiwa hujapiga picha? Masufi nyie mnachuki na hamjasimama kwenye mrengo wa dini,mtakwenda kusimama kwa Allah na kujibu huu uadui na uongo mnaozua kila siku

    • @hafidhsalum-jp2mw
      @hafidhsalum-jp2mw 16 днів тому

      Ukileta ushahidi wa makosa kwenye kadhia hii bc tutaamini

  • @hamadsuleiman-j7p
    @hamadsuleiman-j7p 12 днів тому

    ww unatoa mawaidha au watoa stori?

  • @OmyThuram
    @OmyThuram 18 днів тому +2

    برك الله فيك

  • @khansconsultants
    @khansconsultants 10 днів тому

    Kwani ni lazima watu wasome kwenye Darsa zenu tu??

  • @IssaKabelwa-zs2ct
    @IssaKabelwa-zs2ct 11 днів тому

    Hii nasaha imuendee
    sheikh Abul faadhil
    kwa maneno yake
    dhid ya sheikh saalim barahiyaan

  • @maase2023
    @maase2023 13 днів тому

    Jamani tumewschoka na stori zenu kasim mafuta kasim mafuta! Waislam wanataka darsa na ilmu za kuwasaidia na kuwanufaosha sio hizi stori za fitna kila kukicha tumewachoka kabisa

  • @maase2023
    @maase2023 13 днів тому

    Kama hamna cha kuongea basi heri mkae kimya tu lkn maneno ya kasim mafuta sijui picha ni upuuzi mtupu hatutaki tafadhalini ! Desturi gani hizi mnatuletae za fitna na majungu ru

  • @hajijuma7001
    @hajijuma7001 18 днів тому +2

    نصيحة نفيسة، جزاه الله خيرا..

  • @mahfoudhcalender2747
    @mahfoudhcalender2747 17 днів тому +1

    kwan mafuta amewafedhehesha wangapi mitandaoni? mbona yye hatoi nasaha kwa siri?

  • @BaleSiaga
    @BaleSiaga 18 днів тому +4

    Uko pale pale katka kumtakasa shekhe kanakwamba hajakosa kitu

    • @NassifSuleiman
      @NassifSuleiman 18 днів тому

      @@BaleSiaga hujasikiliza hiyo Audio umekurupuka

    • @allynacksaid401
      @allynacksaid401 8 днів тому

      Je chanzo cha hii picha wakijua?

    • @allynacksaid401
      @allynacksaid401 8 днів тому

      Basi mkizungumza fanyeni uadilifu hata kama ni jamaa zenu wa karibu

  • @AbuuabdillahAOBA
    @AbuuabdillahAOBA 18 днів тому

    Hakika waumini wote ni ndugu.
    ALLAAHULMUSTAAN

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 17 днів тому

    Issa jumanne ulimtusi shekh Abul Abbas Muhammad Bin rasheed kwasababu ya paparazzi zako njoo apa uombe radh kwa shek

  • @auroxenterprises8003
    @auroxenterprises8003 18 днів тому +2

    Majadida kwa shukhe wao 😅😅😅 wanaona kama hakosei majida akili hawa

    • @NassifSuleiman
      @NassifSuleiman 18 днів тому

      @@auroxenterprises8003 huo ni uongo na utaenda kuulizwa kwa kila unachowazulia wenzako

    • @TalibMuhsin
      @TalibMuhsin 18 днів тому +1

      Umeona Akhy wamekaa kimya wao kazi mitusi tu yani kassim mafuta ndo wamuona kama mtume wao hakosei hana kosa hana baya hivi jahil muraqab kama huyo munafiq mafuta wanini kumkumbatia

    • @khaalidcheo5383
      @khaalidcheo5383 18 днів тому

      ​@@TalibMuhsinmaneno ayo azungmzi ispokuwa ni izbi

    • @KhamisiMulusi
      @KhamisiMulusi 17 днів тому

      Ebu kwa hissan zako naomba nijulishe hawa majadida ni akina nani hawa. Ili kama mi wabaya nijiepushe nao

    • @HarubKhamisSaid
      @HarubKhamisSaid 17 днів тому

      Yan nyinyi hamjaona tu masheikh zenu ndo waongo kuionganisha clip ya ust abul abass ya zamn kwa kadhia hii lengo lao nini naomba juu ya hilo

  • @MohamedHassan-kk5te
    @MohamedHassan-kk5te 14 днів тому

    Mbona unamipasho.mingi lete hoja ewe salafi wahovyhovyo huna jipya nakwahili mmefilisika mnajipa majna Mazur halina sifa hata moja huna kimfano hapa unaongea nini kabisa

    • @allynacksaid401
      @allynacksaid401 8 днів тому

      Allah asema"zisiwapelekee chuki kutofanya uadilifu

  • @mahfoudhcalender2747
    @mahfoudhcalender2747 17 днів тому

    Ila mukumbuke na Sheikh wenu mafuta amewatoa watu wengi katka Sunnah, Abuu muawiya Allah amrehem, dr. Islam, sasa yye alikuwa katka haki kufanya hivo?
    au mukirudiwa nyinyi ndo munaumia enh? kwan wao mukiwasema wahawaumii?
    Basi mkuki kwa ngurue kwa binaadam mchungu.

    • @AbdallahAlly-b5m
      @AbdallahAlly-b5m 17 днів тому

      Walitolewa kielm sio chuki kama mlizonazo nyie masufi,nenda kasikileze raddi anazofanya Sheikh kassim uone raddi za kielm,nyie mnaacha kuzungumzia shirk mnazozifanya mmekazana na picha,jambo la kipuuzi kabisa

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c 15 днів тому

      Mia kabisa ndugu yangu

    • @allynacksaid401
      @allynacksaid401 8 днів тому

      Wametolewa kwa hoja na burhan,na wewe unayo hoja?,je maasi yamtoa mtu katika usalafi??