Asante mtangazaji, ila taarifa yako kuanzia maneno yako binafsi, usomaji wa barua na comments za watu inaonesha wewe ni mnafiki na ni chawa tena zaidi ya machawa wengine... hizo comments ulizosoma kama umetunga mwenyewe sawa ila sio rahisi kila raia kuwa na mtazamo wa aina moja. Mungu akusaidie ili uwe unatoa taarifa zinazoamasisha watu kudai haki zao na kupinga dhuruma za serikali.
Haki ya kuandamana ni ya Kikatiba. Sheria inaelekeza kutoa taarifa Jeshi la Polisi tena OCD na siyo mwingine yeyote kwa mujibu wa sheria ya Vyama vya Siasa. IGP hatajwi katika sheria na yeye atakuwa anakosea kwa sababu nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria . Maandamano yaliyo fanyika mwaka jana , hakukuwa na tukio lolote ,na mambo yalikuwa shwari kabisa . Wanao haribu utaratibu ni Jeshi la Polisi . Wafanye kazi kwa weledi na si kujiamulia tu kwa utashi .
■Mungu awe pamoja nao "KUPINGA MAUAJI,KUTEKWA NA KUPOTEA KWA WATOTO" wasio kuwa na hatia. Ni haki yao KIKATIBA🇹🇿.🙏
Mwenyezi mungu amuongoze katika maandamano ya Amani mwenyezi mungu asikilizo sautiyabwanae
Tutaandamana kwa maslahi ya taifa letu 🇹🇿
Wanaokosesha amani siyo chadema ila ni polisi na wanao shikilia dola (wenye mamlaka) Tz kuna utulivu amani inazungumzwa tuhaipo ktk uhalisia.
Iv hii nchi kumbe wanaotakiwa kuish ni Wana CCM 2/tu duuh!!
Kwanini Chadema ndio wapenda maandamano,kwani ndiyo Wtz peke yao au vipi😮Lissu huyo
Asante mtangazaji, ila taarifa yako kuanzia maneno yako binafsi, usomaji wa barua na comments za watu inaonesha wewe ni mnafiki na ni chawa tena zaidi ya machawa wengine... hizo comments ulizosoma kama umetunga mwenyewe sawa ila sio rahisi kila raia kuwa na mtazamo wa aina moja.
Mungu akusaidie ili uwe unatoa taarifa zinazoamasisha watu kudai haki zao na kupinga dhuruma za serikali.
POLISI WALINDE. HILI NALO LITAPITA.
Kilaaniwe chama cha watekaji na wauwaji
Nakiongozi muuwaji mkubwa
Moto unawasubiri mungu sio wenu nyie pekenu
Tuko pamoja
Watauwa wangapi ? Hii ni haki kikatiba Polis wajibu wao ni kuwalinda tu waache kujihusisha na siasa hii nchi sio ya chama kimoja
Mungu atulinde. Ni haki yetu kikatiba. This is just a course. It happened in the past, and all was well. Amen
Ehee jamani
Kama ni maandamano ya amani sawa kabisa police wa walinde tu
Haki ya kuandamana ni ya Kikatiba.
Sheria inaelekeza kutoa taarifa Jeshi la Polisi tena OCD na siyo mwingine yeyote kwa mujibu wa sheria ya Vyama vya Siasa.
IGP hatajwi katika sheria na yeye atakuwa anakosea kwa sababu nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria .
Maandamano yaliyo fanyika mwaka jana , hakukuwa na tukio lolote ,na mambo yalikuwa shwari kabisa .
Wanao haribu utaratibu ni Jeshi la Polisi .
Wafanye kazi kwa weledi na si kujiamulia tu kwa utashi .
WANAOTOA COMENT ZA CHADEMA NI WATU WA ITIKADI MOJA NA KABILA LA WACHAGA LINAONGOZA
Kwani Kabila lako liko wapi
Kwa hiyo Jumatatu ni siku ya kazi watu wasiende kazini kwa sababu ya maandamano kwanini wasifanye siku isiyokuwa ya kazi?? Ama kweli akili ni mali.
ungewashari wewe
kwani wamekunyima kwenda kazini?
Hivi hapo panahitaji akili kiasi gani? Amua wapi unataka kwenda....
@@ashaali7154 Acha utoro kazin J3 ni siku ya kazi nenda kazin, alafu inaonekana bado mtoto mdogo hujui kujiongoza
Hujalazimishwa , siku zote ni ziku za kazi inategemea uko sekta ipi.
Hospitali, polisi, magereza, usafirishaji ,nk
Nyumbu watapata kipigo Cha mbwa koko
Kumbe ni nyumbu kumbe siyo watu kuiitwa nyumbu ni kumtukana MUNGU kuweni makini na ndimi
Watoke na watoto wao wawemfano na watangulie mbele kwenye maandamano hayo tutawaona waungwana sana wakifanya hivyo
Tutakuwa na Watoto wetu kwani Watoto wetu siyo mambumbu.