Huyu kaka kwanza namuona mstaarabu sn Anafanya kitu kwa faida Sio kwakujionesh Pia hamisa nimstaarabu sn Yule mdada Maana hataakikwazana namt huwa sio rahisi kumzungumzia wala kumtukana
Naaaam na si kujibu kam kina Gigy utandhani wamewehuka akili brother ananibu kistarabu na hana sauti ya fujo masha allah yupo simple mno huyu interview zake hata upo na nanivwaeza tizam hadi mwisho na unajifunza kitu kutoka kwake
Fred kama Vunjabei✨Nmefurah jinsi mnasupportiana na hamisa Mobetto jah bless you😘
Vunja bei is the true definition of tall dark and handsome African guy alafu pesa kama makaratasi 💞💞💞💞💞💞💞💞
Fred vunjabei Nakuelewa sana kaka yaan hunaga mambo mengi....Una hela afu una nidhamu Tuishi humo💯
kabisa jamaa ana busala sana
NomaSana
Naomba isizidi mwakani, harusi kanisani. Kaka Freddy hii iko ki verse zaidi... kila lakheri thou 🙏
Aisee Fred respect kwako vunja bei maana iringa vi2 ni bei hatari bora umetuona jmn
Kweli
Huyu broo namkubali Sana, Sema ndiyo hivyo Tena
Marshall Allah
Uyu kaka ni.mpole sana mungu amlide
Safi sana bro 👏👏👏
Huyu kaka kwanza namuona mstaarabu sn Anafanya kitu kwa faida Sio kwakujionesh Pia hamisa nimstaarabu sn Yule mdada Maana hataakikwazana namt huwa sio rahisi kumzungumzia wala kumtukana
Huko sahii kabisa Ashula
Safi Sana Kaka fred
MWANZA MKO WAPI BRO NIMEKUELEWA KINOMA NOMA SANA
Vunja kama vunja 🙏
Ndiyo mara ya kwanza naon hii sura
Ni mstaarabu mno mungu amfungulie zaidi
Vunja bei ni genius
Ana adabu Sana huyu Kaka
Anawaheshimu Sana watu wote
Kaka fredi habari
Wao
Kazi nzuriii
Aisee nimependa ustarabu wa huyu kaka vunjabei hana majivuno kabisa kwel wazazi walilea hapo
Wow nice
Tuna subiri uzindu wa Vunjabei IRINGA TOWN.
gooooooood...tulike hapa
Fungua Duka na Tabata Kimanga
Fred oyooo
Hizi ndio habari za kujifunza.
Kweli yaani
Naaaam na si kujibu kam kina Gigy utandhani wamewehuka akili brother ananibu kistarabu na hana sauti ya fujo masha allah yupo simple mno huyu interview zake hata upo na nanivwaeza tizam hadi mwisho na unajifunza kitu kutoka kwake
Arusha brz mnakuja lin
Wanaume kama hawa wanaojielewa wamebaki wachache sana piga kazi kk wanavyozidi kukujaji ndivyo unavyozidi kufanikiwa kila la khery
Wachache sn
D
Wekeni Duka na tabata
Baba levo njaa yl akae kwa shishi apike uko
🤣🤣🤣🤣
Hahaahahahahahahahah
@@marypeschke1750 marry mambo