Vunja bei atoboa siri ya mafanikio yake, "Mpenzi alinikataza"/'"Sijawahi kulala polisi".

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024
  • #Kumekucha #Kishindo, Aprilii 22, 2021.
    #ITVTanzania #KumekuchaKishindo #Mubashara
    Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
    Subscribe to our UA-cam Channel : bit.ly/itvtanzania
    Facebook : bit.ly/2KeQNl3
    Twitter : bit.ly/2XG7aii
    Instagram : bit.ly/34KItmg

КОМЕНТАРІ • 91

  • @alfredzunda4655
    @alfredzunda4655 3 роки тому +5

    Very humble speaking

  • @johnrogath1066
    @johnrogath1066 3 роки тому +14

    Sichokagi kumsikiliza uyu brother, Mungu akubariki sanaa brother...Very inspiring

  • @aloyskamalamo1675
    @aloyskamalamo1675 3 роки тому +16

    Nimejifunza kitu kikubwa Sana ubarikiwe sana

  • @genetic_online_tv
    @genetic_online_tv 3 роки тому +2

    Barakoa yenyew inasemaj

  • @johwilly8723
    @johwilly8723 3 роки тому +14

    Matangazaji ya ITV yamelala lala tu, hata hayana maswali ni kuitikia tu, sasa mtu amesema alikua mtumishi wa Umma hata kumuuliza alikua anafanya kazi gan hamna, mtu anasema amesoma sana hata kumuuliza elimu yake hamna, nnnhhhiiii!!! aaanhhaa!!!

    • @jacksonsilvery5963
      @jacksonsilvery5963 3 роки тому +3

      amesoma BCom pale UDSM na MBA mzumbe.Huyu jamaa ni smart

    • @emmamatemu8225
      @emmamatemu8225 3 роки тому +2

      Unadharau sana boya wewe

    • @magecharles7158
      @magecharles7158 3 роки тому

      Ulidhani ana form4,asingesema kasoma LA saba Na form4 ni elimu ya taifa

    • @magerito6811
      @magerito6811 3 роки тому

      Barakoa linamchanganya..anatangaza na Barakoa jmn khaa

    • @muzikizaidi
      @muzikizaidi 3 роки тому

      nnnhhhiiii!!! aaanhhaa!!!

  • @christophermsekena616
    @christophermsekena616 3 роки тому +5

    Khaaa jamaa anatangaza na barakoa

  • @amenyemwansile631
    @amenyemwansile631 3 роки тому +1

    Hongera kaka wewe kweli Ni kioo Cha jamii una tuhamasisha Sana vijana broo

  • @nasrafadhili8941
    @nasrafadhili8941 3 роки тому +3

    Kuna kitu huwa najifunza kupitia ww kila ninapokusikiliza

  • @Ibraah06
    @Ibraah06 3 роки тому

    Go baby

  • @elibarikisospita8804
    @elibarikisospita8804 9 місяців тому

    Uko vzur xana vunja bei

  • @ericfelician7996
    @ericfelician7996 2 місяці тому

    Duuu kuajiriwa inatakiwa kujiangalia

  • @remichimogu-eb3yq
    @remichimogu-eb3yq Рік тому

    Gudi bro

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 3 роки тому +2

    Mika 2 mbele nitakuja nikiwa karibia wewe Umeongea point nzito..wakinga nawakubali Sana ..mnajituma ,,najifunza kutoka kwako kwa kusikia ..hii comment note

    • @allenmethod6788
      @allenmethod6788 3 роки тому

      Kalibu kwetu ukingani tukupe elimu ya biashara

  • @partnersah8802
    @partnersah8802 3 роки тому +11

    Eti mtu ana dislike hii duuuh! Kweli hakuna kitu utatoa kitakuwa perfect kwa kila mtu

  • @sirielsamweli5688
    @sirielsamweli5688 3 роки тому +6

    Huwa sipitwi na interview zako hata wiki iishe ntafungua tu maana huwa napata vya kujifunza,,,,,uje na moshi ,,,, laki tano na sisi wa moshi

  • @tithotweve-my9zj
    @tithotweve-my9zj Рік тому

    Correct

  • @mangenyanyondo8691
    @mangenyanyondo8691 3 роки тому +3

    Mapembeloo kinga jangu

  • @babgmachenje7115
    @babgmachenje7115 3 роки тому +2

    Uyu jamaa nae anasifa sn kila cku ctori ioio moja mamaee

  • @funnymen194
    @funnymen194 3 роки тому +8

    Very smart guy reminds me of Ruge Mutahaba RIP.
    Big inspiration to the youth
    #Tomuchmoney

  • @rajalfred3859
    @rajalfred3859 3 роки тому +4

    Hana tofauti na mtu anakuwa kwenye gari mwenyewe ukiwa umevaa barakoa. Very pathetic

  • @smartboyeze2190
    @smartboyeze2190 3 роки тому +3

    Mask ya nn bro😒
    Mnatisha watoto bnaa distance ur self wash ur hands mask doesn't protect that much only that t prohibit u from touching ur 👃

  • @MartinMadimilo-z6w
    @MartinMadimilo-z6w 2 дні тому

    Mwandishi very low,vunja Bei alikuwa na vingi vya kusema

  • @mulangilakabwarebenson5128
    @mulangilakabwarebenson5128 3 роки тому +4

    Litangazaji libovu sana

  • @leonardgervas7515
    @leonardgervas7515 3 роки тому +14

    Fred ana mengi sana kichwani ,kuhusu biashara

  • @nilansaid2927
    @nilansaid2927 3 роки тому +2

    Sasa wewe na hilo libarakoa lako what for? Huyo director wako nae Taahira kama wewe

  • @magecharles7158
    @magecharles7158 3 роки тому +3

    Sio uwongo nawajua vzr familia yake niwafanya biashara kaka ake namjua vzr sio ajabu haya maendeleo

    • @iddimngazija1957
      @iddimngazija1957 3 роки тому

      Fredi na CF/Makambako wana uhisiano wowote ki Familia?

  • @CharlesNgelata
    @CharlesNgelata Рік тому +1

    Yupo smart sana lakini nimependa hakuibeza elimu ! Bado elimu Ina mchango mkubwa sna

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 Рік тому +1

    Ndio wakinga wengi na wachaga

  • @johanesjohn8471
    @johanesjohn8471 3 роки тому +14

    Huyu jamaa anafaa apewe hata saa nzima maana anakitu Cha kufunza vijana.

    • @ignassindabaha1813
      @ignassindabaha1813 3 роки тому

      Na siyo mchoyo wa material, harafu muwazi tu yuko open kinyamaa

  • @ajeyplatnumz7436
    @ajeyplatnumz7436 3 роки тому +2

    Iko poa sana

  • @evcloudjuma9790
    @evcloudjuma9790 3 роки тому +2

    Huyu mbwa aliye vaa barakoa mpaka kafanya kipind kiwe kinaboa!

    • @georgeakasha764
      @georgeakasha764 3 роки тому

      Baba ako nae sio mbwa kwani ?

    • @rosenaadolfu99
      @rosenaadolfu99 3 роки тому

      Unaboa sana sasa kwann umwite mwenzako mbwa kwa kua amevaa barakoa

  • @abubakarkhamishaji2849
    @abubakarkhamishaji2849 3 роки тому +6

    yaan nimependa umekuja media yakiustarabu ukavaaaa kiustarabu

  • @david2tsh834
    @david2tsh834 3 роки тому +2

    Mungu nisaidie na mimi nitoboe

  • @rabsonchisumo6640
    @rabsonchisumo6640 3 роки тому +1

    Huyu jamaa ni kichwa

  • @salbokosaid8992
    @salbokosaid8992 Рік тому

    Upo vizuri maliza na biashara ya chakula hasa mafuta ya alzet hio no moja kwa wewe unaweza kwani Ina biasha Mara 2 shudu na mafuta Nina PhD ya mtaa

  • @neltontias3827
    @neltontias3827 3 роки тому

    Xx hilo li barakoa tutajuaje ka ww n kijana mwenzetu,...litoe bhna,

  • @MosesSanga-oo9du
    @MosesSanga-oo9du 8 місяців тому

    jamaa unajibu maswali vizuri sana

  • @haidaryjoe5546
    @haidaryjoe5546 11 місяців тому

    that's My broo Vunjabei

  • @neemasky822
    @neemasky822 Рік тому

    Nashukuru kaka kwa kutufungua

  • @hakusfakir7364
    @hakusfakir7364 2 роки тому

    Nice........fredy...( Vunja bei )

  • @alphanyasin3915
    @alphanyasin3915 2 роки тому

    Kuna vitu vingi nimejifnz

  • @benardethamhela4898
    @benardethamhela4898 2 роки тому

    Uko juu sana.una akili nyingi

  • @ngonyani1
    @ngonyani1 3 роки тому +5

    Barakoa linaboa kaka sauti kama uko kwenye chungu...

  • @Ibraah06
    @Ibraah06 3 роки тому

    What

  • @barakanatus5676
    @barakanatus5676 3 роки тому

    Sawa sawa

  • @yumbujackson869
    @yumbujackson869 2 роки тому

    Good message

  • @shabanially8022
    @shabanially8022 3 роки тому

    Man of fact

  • @qasimsaid2486
    @qasimsaid2486 3 роки тому +9

    Mungu azidi kumuinua maana ana moyo sana ya kusaidia vijana wenzake

  • @selestinmajura8782
    @selestinmajura8782 2 роки тому

    Vunjabei mimi nakubari sana wewe nimuekezaji mzuri nakuombauwekeze na kweujenzi wa majumba nibiashara nzuri

    • @abufirdaus4254
      @abufirdaus4254 Рік тому

      Kuwekeza kwenye nyumba ni kulaza Hela ya mzunguko...hiyo ni akili ya kizamani

    • @nickylyanga2139
      @nickylyanga2139 Рік тому

      Napingana na wewe ...biashara ya majengo kama una mtaji mkubwa ndo biashara bora kbs...ishu ni mtaji wako tu

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 2 роки тому +1

    Mmmmh kijana wangu ur a
    Very smart nafurahia SN hudaharau kabila lako umeongea uhalisia wako mm ninaekujua all ur are talking is real tumekua wote Safi bro nakuombea ufike mbali maana umebeba wakinga wengi SN nyuma wanakutegemea kwa maono yko.. mm mwenyew kwa uwezo wa Allah nitapambana.

  • @immajuzo2440
    @immajuzo2440 3 роки тому +1

    Unastahili kua ulipo

  • @manduatechnology1055
    @manduatechnology1055 3 роки тому +1

    Braza Fred my role model..nakukubal san

  • @hassanmsipi4094
    @hassanmsipi4094 3 роки тому +2

    5:48 Brother kuna wasambaa wakina Makurunge wamejazana hapo kariakoo

    • @sosbrayantbenjamin9701
      @sosbrayantbenjamin9701 3 роки тому +1

      Wakinga weng sana kkoo hao wasambaa hata 200 hawafik pale

    • @amenyemwansile631
      @amenyemwansile631 3 роки тому

      Na wanyakyusa kibao wapo Kama wakina rungwe palace hotel wengi tuu wanna maduka pale kariakoo

    • @sosbrayantbenjamin9701
      @sosbrayantbenjamin9701 3 роки тому +1

      @@amenyemwansile631 idadi yao bado hawafikii wakinga kwa wing

    • @innocentherman5101
      @innocentherman5101 3 роки тому

      mim sio mkinga ila wakinga bro nawasikia sanaaaaa, ni wengi kariakoo pale

    • @amenyemwansile631
      @amenyemwansile631 3 роки тому

      @@innocentherman5101 unaamini Cha kuambiawa Mimi nilidhani umewaona ndugu

  • @BongoCryptos
    @BongoCryptos 3 роки тому +1

    Kula dislike kwa kuvaa barakoa.

  • @luganomwambete7090
    @luganomwambete7090 3 роки тому

    Kweliii Kaka vijana unatufundsha njia za kutokea

  • @barakaenockdaniel260
    @barakaenockdaniel260 3 роки тому

    Wekeni access ya kudownload please

  • @maxpharm2714
    @maxpharm2714 2 роки тому

    Smart Generation tuko nyuma yako.

  • @edwinnyabikwi560
    @edwinnyabikwi560 3 роки тому

    M