Ujenzi wa Banda la Vifaranga wa Kuku wa Kienyeji
Вставка
- Опубліковано 24 січ 2025
- Ujenzi wa banda la kutunzia Vifaranga wa Kuku wa kienyeji.
Ili vifaranga wa kienyeji wakue bila changamoto za vifo kama mfugaji wa kuku haupaswi kusahau ujenzi wa banda la kulelea vifaranga. Banda la vifaranga ni sehemu muhimu sana katika ufugaji wa kuku wa kienyeji.
Vifo vingi vinavyotokea kwenye kuku wa kienyeji ni kwa sababu ya wafugaji hawaandai banda la kulelea vifaranga hivyo wanawaacha kuku wazunguke na vifaranga wao mchana kutwa bila kufikiria hatari ya wanyama na ndege wa porini waonaowahitaji hao vifaranga kama kitoweo.
Sasa kwenye makala ya leo tutajifunza Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa ujenzi wa banda la kulelea vifaranga wa kienyeji.
#jinsiyakutengenezabandalavifarangawakienyeji