Nmefurahi sana kupata Pastor ambaye anahubiri ukweli kama ulivyo. Receiving and giving blessings all the way from Nanyuki, Kenya. Barikiwa zaidi Pastor.
uishi milelel pastor....una ponya wengi...Mungu anatukuzwa kupitia wewe songa mbele, makanisa leo hayakemei dhambi yanahubiri mahubiri yafurahishayo washiriki wao lakini wewe ni kama yoshua, alisema yeye na nyumba yake watamtumikia Mungu
Tunashukuru mshungaji kwaneno tamu kama hili, ningipendanijuwe kama binti hawezi kuasha naumekwisha pana Mali , kwahiyo kupoteza hakuhepukike hatakama haja soma. Ni Yohana marango james kutoka Congo DRC
Kufundixha ni ubunifu kaka unaweza kuwa unajua ila ubunifu auna ila hapo wanamuelewa vzr tu hata mm nimemuelewa mtumishi mungu akubariki kwani ukwer umeunena katika jina la yesu
KWELI MCHUNGAJI KUNA JAMAA MMOJA NEWALA YUPO MAABARA ALIMSOMESHA MDADA MMOJA CHUO CHA UALIMU KITANGALI MKE TO BE ALIPOMALIZA ALIOLEWA NA MWALIMU MWENZAKE YAAAN HUO NI UKWELI.
Asante sana papa mchungazi nakufata sana kwenye youtube nikiwa D.R.C Congo ndani ya Muji wa butembo
Nakufuatilia sana kwenye UA-cam nikiwa tassia nairobi❤❤❤❤
Mungu akutunze sana mchungaji 🎉🎉🎉
Mchungaji Mungu akuzidishiye ili taifa liendeleye ku faidika neno la Mungu
Mm ni miisllamu na naipenda sana dini ya kislamu ilala huyu jmaa nmftlia sana napenda mahubiri yake
Sasa nan kauliza dini yako
Karibu kwenye ukristo
Dini haipeleki mtu popote.Neno la Mungu ndilo la maana.
@@margaretkarambu936 😊
Ni muzuri mpendwa
Congratulations pastor
Amen pastor
Umbalikie pasture napenda ijili Yako unasema ukweli 🇧🇮
Mch. Ubarkiwe. Gonga like hapa kwa wanaume waxhambaa😃😃😃😃
Mchungaji sante sana kwa mawaidha mazuri nimependa❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nakukubali sana kutoka 🇷🇼✌️🥰♥️
Nmefurahi sana kupata Pastor ambaye anahubiri ukweli kama ulivyo. Receiving and giving blessings all the way from Nanyuki, Kenya. Barikiwa zaidi Pastor.
hongera kwa kusema asante mchungaji
Daah pastor may GOD bless you 🙏🏽🙏🏽😇❤️❤️🌹🌹🌹👏👏. Thank you pastor ❤️❤️❤️❤️👏👏👏🇰🇪🇰🇪
Amen mtumishi unayo yatamka n ukweli mtupu hapa Kenya,Mungu akubariki Sana kwa maubiri yako .
Daniel Mgogo asanti kwa Neno.hili bingu izidi kufunguliwa kwa kila dakika jiuu yako , ujiaziwe mno .
Alléluia Alleluia Alléluia Alleluia
Amina.
Waambie ukweli mchungaji. Barikiwa
I really love the massage of his preaching
Mchungaji asante kwaukweli I love you ❤
Mungu akubariki sana Kwa kulea vijana wetu
Huyo mr music anaharibu ujumbe muda wa mchungaji asiingizie sauti za vinanda
Mungu amekutuma kwetu utupe elimi na utufundishe ukuu WA mungu
From Nairobi Kenya, praise be to Jesus
Poster barikiwa San unanisahindia
Kila mtu ni unic.....,na wewe pastor ni unic kweli kweli,siku ukitoweka mungu atakuwa na msiba mkubwa,sababu unamtengenezea kanisa
Huko sawa ongeza sauti mchungaji wanaume wa hivyo wako wangi
You are the really man of God ...the preaching is too powerful am so blessing
uishi milelel pastor....una ponya wengi...Mungu anatukuzwa kupitia wewe songa mbele, makanisa leo hayakemei dhambi yanahubiri mahubiri yafurahishayo washiriki wao lakini wewe ni kama yoshua, alisema yeye na nyumba yake watamtumikia Mungu
I'm being blessed, from Burundi
Mchungaji wa mungu hakika mungu anakupenda sana toboa yote lasima tubatilike
Mawe yanapiga kwelikweli
Hongera sana baba kwa mahubiri mazito na yenye ujumbe mzuri mungu azidi kukubariki.
Halleluya Halleluya Halleluya imetufikia hio asante sana pastor
Ameni pastor jamani eeee
Aminaa baba maana umekuwa mponyaji wa nafsi, yangu. 🙏🙏🙏
Amakweli asiyesikia la mkuu huvunjika guu..asante mchungaji twambie tutimize kusudi la mungu
Nimebarikiwa sana jmn somo zaid ya somo
From Kenya, an getting you loud and clear 😇
Nashukuru kwa malezi mazuriii
Mchungaji.unanifulahisha.mafundisho.yako.mungu.akurinde.
Amina amina❤❤❤ mungu akubaliki kwa neno unatupatia
Kenya hoyee. Nairobi hoyee🇰🇪
Nakufuata Sana Siku zote nikiwa Inchini Congo Mujini Goma, Vuma Mzee Ndani Ya Yesu
Mwenye kusikiya asikiye
Kuna mara ukweli unasema n'nai 🎉
amini
Pastor naipenda mahubiri yako tafathali njoo kenya
Powerful message. Thank you Man of God
Amen mchungaji twakuomba uje kenya
Mungu mwema dozi zinatufikia Kwa uaminifu sana
Bwanayesu asifiwe mucugaji mimi nimrundi napendaka saaaana maubili yekosaana yananibaliki sana namugu akutiye nguvu
Apo kwely pastor Daniel mgogo barikiwa
Nashukuru sana mchungaji nimeelimika sana kupitia semina zako,mungu akupe siku nyingi zakuishi hapa duniani.
Asante mchungaji
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 ndio mchungaji
Hakika si gome chakula cha Clariss wangu tena, mimi ni Sosthene pa Goma/ DRC
The nks so much chungaji❤❤❤
You right pastor mungu akusaidia sana kwa maisha yako
Mchungaji unafurahisha sana na bado mzigo mmoja
Unaoneyaka kweli tu Mchungaji
Aki pastor c ukuje Kenya plzz ufanya crusade angalau
Na Mungu akakuinua kiwango cha juu mno
Ubarikiwe sana Muchungaji🙏🙏🙏🙏🙏
Mtumish neno lamung limenibarik
From BurundiYou're Truthful
Tunashukuru mshungaji kwaneno tamu kama hili, ningipendanijuwe kama binti hawezi kuasha naumekwisha pana Mali , kwahiyo kupoteza hakuhepukike hatakama haja soma. Ni Yohana marango james kutoka Congo DRC
Be blessed man of God 🙏🙏🙏❤
Amen Amen UBALIKIWE Michungwani kwa neno hilo
I'm so greatful may God grand you the long gift of Life
mungu akubariki sana kwa mafundisho mazur.
Eti moyo unataka kutoka...utoke...
Nafurahia mafundisho yako Mchungaji
Mahubiri ni mazuri tunabarikiwa sana.😮😮😮
Napenda sana magubiri yako aki....cz wwbusema ukwelu kabsaa....ningejua penye church yako ko ningekuja
It is apreated word. God bless you pastor
Nvile tu uko mbali but nngekuwa mshirika wako coz unanifaa sana na mafundisho yko
Ubarikiwe mch hamna Kama ww we ni kichwa sana
From Kenya, Right information. Preach Servant of God.
From Kenya Mombasa, amen pst
Amen amen tuambie kabixa tusikie
Asante mchungaji kwa mahubili haha🙏🙏🙏🙏
Whatching you from kenya.Amen😅
Be blessed man of God
Namuelewa Sana huyu mchungaji💓💓
Papa Muchungaji Daniel Nkolo Yesu Apambolayo Mingi Abakiselayo Nguya Y'a Liloba Teya Papa Pamela Masumu Libota Na Nzambe Ebikisama Libela
Kufundixha ni ubunifu kaka unaweza kuwa unajua ila ubunifu auna ila hapo wanamuelewa vzr tu hata mm nimemuelewa mtumishi mungu akubariki kwani ukwer umeunena katika jina la yesu
Amen
KWELI MCHUNGAJI KUNA JAMAA MMOJA NEWALA YUPO MAABARA ALIMSOMESHA MDADA MMOJA CHUO CHA UALIMU KITANGALI MKE TO BE ALIPOMALIZA ALIOLEWA NA MWALIMU MWENZAKE YAAAN HUO NI UKWELI.
Asante baba
Mimi hata mke wangu kumsomesha kweli sina uhakika.
Ayo ndo niliyakataa mapemaaaa nakushkuru mungu kwa kunipa ujasili maana nomaaaaa
Injili Haï Muchungaji Mungu Akutie Ngufu Uzae Waziidi Yako Kama Elia na Elisha
Mafundisho ya kweli
Amen amen sana mchungaji,kaziya pale baba,Mungu akubariki
Mtumishi wa Mungu haya Yote ni ya kweli kabisa
Amen 🙏🏽 my pastor
Ubarikiwe mchungaji kwa maneno
Ameen pastor, be blessed
Umetisha babake
Yes...true there are true faithful...so wote fisi...
Ubarikiwe myumishi danieri mgogo injiriyako izidi kubarikiwa
Mchungaji Asante sanaa
thank you pastor be blessed
Barikiwa pastor, tembelea kenya pastor
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU kwa mafundisho mazuri
Amen mchungaji i agree with you
Kweli kabisa mtumishiI barikiwa sana
Wife to be hatusomeshwi ni kweli kabsa
Thanks you man of God