Mpina alipuka Bungeni kuhusu trilioni 360 za Makinikia; amtaja Magufuli, aibua Trat na Trab

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лис 2022
  • Mbunge wa Kisesa Luhwaga Mpina (CCM) kwa mara nyingine leo ameendeleza moto wake bungeni kuhusu malimbikizo ya kodi zaidi ya Sh360 trilioni zinazotajwa kuwa zinatokana na makinikia.
    Leo Jumatano Novemba 2,2022 Mpina amesema ni wakati sasa Watanzania kujua nani alitoa kauli ya kusamehe kodi hiyo kwa nchi masikini kama Tanzania ambayo inahitaji kodi ili iweze kupanga maendeleo.

КОМЕНТАРІ • 88

  • @georgenicholaus9309
    @georgenicholaus9309 Рік тому +6

    Nimekuelewa sana Mh mpina, your the only on mp in Tanzania

  • @barnabalushenshe5671
    @barnabalushenshe5671 Рік тому +4

    bora ungekuwa Rais wa Tz mpina.. hivi hizo mbz zingne zinakula kodizetu bila chango

  • @rajabumalupu4184
    @rajabumalupu4184 Рік тому +4

    Safi sana mh.mpina mbunge wa kisesa

  • @majaysjrmtitu5300
    @majaysjrmtitu5300 Рік тому +3

    Asante mh.Mpina.

  • @gabrielkitia6808
    @gabrielkitia6808 Рік тому +4

    Nakukubali sana mbunge makini

  • @masaimollel2525
    @masaimollel2525 Рік тому +5

    Mungu akulinde tuu

  • @khaliduhadi2336
    @khaliduhadi2336 Рік тому +4

    Safi sana mpina upigaji umeludi sasa ivi

  • @yonaphilimoni8625
    @yonaphilimoni8625 Рік тому +1

    Mungu akulinde

  • @singidaone5628
    @singidaone5628 Рік тому +4

    Salute sana mpina

  • @paulmwandambo7799
    @paulmwandambo7799 Рік тому +6

    huyu jamaa kabaki peke yake mzalendo bungeni mungu amsaidie na amsimamie

  • @manasekabusha7180
    @manasekabusha7180 Рік тому +4

    hata kama hujui kusoma unaelewa kinaongeleka nn love mpina

  • @nangukidasu8040
    @nangukidasu8040 Рік тому +6

    Msema kweli ni mpenzi wa mwenyezimungu.

  • @davidulenje1264
    @davidulenje1264 Рік тому +2

    Tunashukuru mmetupunja tunawasamehe na zingine nchi imeshakuwa ngumu sana hii ,

  • @bedamgaya3229
    @bedamgaya3229 Рік тому +4

    Ila uwe makini haya majizi yakiongozwa na........yasije yakakuondoa kama.......

  • @mathewdeus9751
    @mathewdeus9751 Рік тому +1

    Saluti kwako mheshimiwa

  • @omarikessy2339
    @omarikessy2339 Рік тому +5

    Mwanamme anaongea wote wameufyata

  • @arafamrope8877
    @arafamrope8877 Рік тому +3

    Mpina uko sawa kaka, kama watanzania wa Hali ya chini wanasubuliwa na kodi zisizo na mashiko vip pesa ndefu namna hiyo isamehewe? Ni vyema tukajitathimini wana CCM

  • @mwanagwakyala1051
    @mwanagwakyala1051 Рік тому +1

    mungu akuongoze siku zote

  • @marumbamgeni4796
    @marumbamgeni4796 Рік тому +8

    Heshima kwako mpina v,hakika wewe Ni mbunge wa wananchi

  • @nedkatunge5702
    @nedkatunge5702 Місяць тому

    Salute to you hon. Mpina nakukubali sana gombea urais 2025 nina uhakika hakuna wa kukushinda samia yeye ni rais wa muendelezo wa awamu ya tano baada ya jpm kuuawa hakuna mtanzania aliyemchagua

  • @augustkisaka5107
    @augustkisaka5107 Рік тому +3

    Baba tutakukumbuka ,angelikuwepo daa

  • @sylvestercharles3585
    @sylvestercharles3585 Рік тому +1

    Mpina for Tanzania....wengine ni waharibifu tu.

  • @martinmasaga5591
    @martinmasaga5591 Рік тому +9

    Kaka endelea kutoa hoja kama hizi, maana wewe ndie mwakilishi wa wazalendo, japo ukija kurudi nyuma ntakuhama mara moja kwa sasa tupo pamoja kwa hizi hoja za akili nyingi kama unavyohoji.

    • @denisyohana8104
      @denisyohana8104 Рік тому

      shida bahofia anaweza kupotea..maana anavyovisema vinawagusa wengi....

  • @yonaphilimoni8625
    @yonaphilimoni8625 Рік тому +1

    Uzalendo kama huu ndo unahitajika katika nchi

  • @celinamosha9420
    @celinamosha9420 Рік тому +2

    Mpina tuko nyuma yako Ila kuwa makini jamani😭😭😭😭😭😭

  • @Bise270
    @Bise270 Рік тому +2

    Bonge la kiongozi🇹🇿

  • @athumanimhina1869
    @athumanimhina1869 Рік тому +1

    Mnatuchosha akili tuu,mnatuongezea tozo walalahoi halafu mnasamehe matajiri

  • @gosberthussalvatory7992
    @gosberthussalvatory7992 Рік тому

    Uko sawa kabisaaa

  • @lilykarim8968
    @lilykarim8968 Рік тому +2

    Sema sema mpina waambie majambazi hao kutwa kukopa miradi aliyo acha baba magufuli haikamiliki umeme maji shida imebaki miradi ya kuletewa magonjwa tupate chanjo watu wage pesa

  • @eliudijustinyindi5939
    @eliudijustinyindi5939 Рік тому +2

    SEMA ukweli mkuu watu niwezi

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 Рік тому +1

    Ccm mnatia aibu

  • @Kakamkubwa3564
    @Kakamkubwa3564 Рік тому +2

    Bunge limebaki la mpina na msukuma tu

  • @conradkapama9140
    @conradkapama9140 Рік тому

    Kazi nzuri mpina

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 Рік тому +3

    Uyu ndo mpina ninae mjua Mimi.

  • @georgegeorge9688
    @georgegeorge9688 Рік тому +1

    Mpina unajisumbua liccm uwa nilaivyo miaka yote,

  • @petermwawa3161
    @petermwawa3161 Рік тому +1

    VIP WABUNGE WOTE WANGEFANYA KAMA MPINA

  • @jenngenes2364
    @jenngenes2364 Рік тому +3

    sasa ccm simtoke madarakan

  • @selemsigala4771
    @selemsigala4771 3 місяці тому

    kama wabunge ote wangeungana kulitetea taifa kama anavyofanya Mpina Akika taifa lingesonga mbele ila kwakua umebaki pekeako mpina acha tuendelee kukuombea na kumuomba Mungu atupe wabunge wenye uzalendo.

  • @nmasternmasternmasternmast7317

    Nahitaji tushindanishe waliosoma na ambao hawajasoma, katika kutatua madudu kaya ambayo yanaturudisha nyuma kwa maendeleo ya Taifa letu. Tusichezeane kwa mambo muhimu.

  • @leomwashikumbulu7996
    @leomwashikumbulu7996 Рік тому +2

    Viongozi wetu kueni na uchungu na nchi yetwatulipe tu pesa Ili itusaidie kuinjenga nchi yetu 355tilion zetu

  • @samwelgeho2602
    @samwelgeho2602 Рік тому +1

    Kama fedha nyingi zinaliwa bila bunge kupitisha hii ni hatari kazi za bunge ni kushauri na kusimamia serikali kweli kuna jambo hilo mjitafakari.

  • @levidavid1156
    @levidavid1156 Рік тому +3

    huyu ndo mpina

  • @georgegeorge9688
    @georgegeorge9688 Рік тому

    Limefuga wapigaji wengi, hapo yakusikiza tu, ilolichama, halina wazalendo ukiwakuta. Wanaapa unajua tumepata mzalendo, balaatupu, sisi tunamkubali JPM % 100

  • @akidahamad142
    @akidahamad142 Рік тому

    Uko ok uccm hauja kuvaa kabsa kabsa mzalendo wa kweli

  • @sophiaelias2190
    @sophiaelias2190 Рік тому +1

    Waumbue hao wapigaji

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 Рік тому

    Wanao takiwa kulipa kodi hawaguswi sa TRA wafanyeje ni vigogo.

  • @fredrickmarco-hw8lb
    @fredrickmarco-hw8lb 2 місяці тому

    Angekuwepo JPM hao wote waliotajwa wangenyea ndoo mchana kweupo

  • @imelidamfikwa7954
    @imelidamfikwa7954 Рік тому +1

    Hoja njema,Ila kwa utaratibu wetu 2025 kura hazitatosha kwa amri

  • @augustkisaka5107
    @augustkisaka5107 Рік тому +1

    Wasome wanaiba kisome ati trap na tret mm shule sina najulia wap masula la trap na tret

  • @emanuelchrisant8221
    @emanuelchrisant8221 Рік тому +3

    Unatakiwa uwe Raisi 2026 wewe ni mzalendo.

  • @godfreybikukana2079
    @godfreybikukana2079 Рік тому +3

    Mpina wewe ndie mbunge uliyebaki mzarendo wote Hawa wapigaji kazi kutunyonya watanzania

    • @abubakarsaid1193
      @abubakarsaid1193 Рік тому +1

      Hawa ccm mungu anawaona ipo siku inshaall mungu atawahukumu tuu

  • @petergodwin544
    @petergodwin544 Рік тому

    Unashangaa nini mbunge wakati mmebaki wezi watupu?ccm ndivyo tulivyo wazoea mkibakitu wenyewe ndo zenu chadema hawamo

  • @fredrickmarco-hw8lb
    @fredrickmarco-hw8lb 2 місяці тому

    Huyo mama yao anawalea

  • @ahmedmakame1687
    @ahmedmakame1687 Рік тому

    jeshi la m2 mmoja kwamakini watakumaliza unahoja pesa za makinikia? easy to follow difficulty to oppose.

  • @mejakimaro2773
    @mejakimaro2773 Рік тому

    Kiukweli wabunge wetu wapo. Km wale wanyama waotokaga tz hd ke....juzi walimpigia Muigulu makofi wakati anahitisha hili swala leo wanampigia tena makofii Mpina

  • @yassinhamza1969
    @yassinhamza1969 Рік тому

    Mpina mtu na nusu

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 Рік тому

    Sasa pesa izoo mlonazo mnatulaza na njaa watanzania tulokuwa tupo milion 68 pesa iyoo trilion 360 gawa watu milion 68 kila mmoja atapata kias gani tuanzie maisha

  • @issacheka8373
    @issacheka8373 Рік тому

    Na mlioandika hii taarifa mbona mmeandika trilioni 360 badala bilioni 360 kama anasema mpina?,huu ni upotoshaji wa taarifa sahihi mkifungiwa mnaanza kulalamika.

  • @thedriver.michael.3975
    @thedriver.michael.3975 Рік тому

    Mbambamba nyingi bila katiba mpya

  • @paulmwandambo7799
    @paulmwandambo7799 Рік тому

    Leta hoja binafsi bungeni kuijadili Trat and Trab , wizi mtupuuuu

  • @nmasternmasternmasternmast7317

    Nchi hii wasomi tuwaeleweje?

  • @barakaisiraeli
    @barakaisiraeli Рік тому

    liccm likidondoka ndio watanzania tutakomboka

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 Рік тому

    Dah kumbe Symbion ishalipwa haraka hivi?

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 Рік тому

    Huyu si alikua wazir? anajifanya hajui kinacho endelea? Anahoji bilion 300 mbona hatuambii zilipo trilion 1 .3 zilizopotea kipindi kile yeye akiwa wazir? Kwann hakuongea wawakati ule profesa Assad alipo lazimishwa kustaafu au kwa vile yeye alikua wazir? Ccm ni ile ile.

  • @alberthkyando980
    @alberthkyando980 Рік тому

    Muulizeni wazili wa maaliasili ,amefanya janja gani baada ya kuteuliwa.

  • @mwailubikamongo9774
    @mwailubikamongo9774 Рік тому

    We ndo mpina bati mbaya kabaki peke yake msukuma kashakula chake

  • @mr.lawimagupa3914
    @mr.lawimagupa3914 Рік тому

    Dah! Ila hii nchi washkaji zangu..... bas tu.

  • @humphreyvidonyi253
    @humphreyvidonyi253 Рік тому +2

    Ukimsikiliza mpina unajua kua ccm na serikali yake ni wa hvyo na bunge halijui majukumu yake

  • @sigfredmawole2336
    @sigfredmawole2336 Рік тому

    Zina samehewaje...wao wanawasamee madeni yenuu
    .........

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 Рік тому

      Madeni yapi? Mpaka sasa huna akili ya kujua wanakukopesha walichokuibia?

  • @luhindakanige2987
    @luhindakanige2987 Рік тому +2

    Majambazi ni mengi mno

  • @mossesmaro9252
    @mossesmaro9252 Рік тому +2

    JPM aliwahi kusema nikiondoka mimi yatarudi yale yale, ndio haya tuyaonayo hivi leo ni upigaji kila iitwapo leo

    • @murattywamuratty9778
      @murattywamuratty9778 Рік тому +1

      Ebwana wee hakuna cha JPM wote ndo ao ao, izo trilion toka 2019, 2020, hela yote iyo imesamehewa na nani?

  • @sinaubavu2810
    @sinaubavu2810 Рік тому +1

    Bola mungu amfufue magufuli

  • @juliuskamasho8503
    @juliuskamasho8503 Рік тому

    safi sana

  • @MariaNchama-ot7tm
    @MariaNchama-ot7tm Рік тому

    We

  • @user-vg9sd2fc1k
    @user-vg9sd2fc1k 3 місяці тому +1

    Lissu alisema haya watu wakamuona mnafiki

  • @rajubakari6897
    @rajubakari6897 Рік тому +3

    Mpina pambana mpaka mwisho awo wangine wapigaji na wanajua 2025 apana apana