MZIZI WA TATIZO NDANI YA FAMILIA NYINGI // CHUKI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • 1 Yohana 3:15
    Kila anayemchukia ndugu yake ni muuaji; nanyi mnajua kwamba muuaji yeyote yule hana uhai wa milele ndani yake.
    Maarifa ya Ki-Mungu
    @SIRI ZA BIBLIA
    www.sirizabiblia.com
    +255 758 708 804
    linktr.ee/siri...
    Instagram Account
    / siri_za_biblia
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

КОМЕНТАРІ • 47

  • @Nauminaumi_1984
    @Nauminaumi_1984 2 місяці тому +1

    Mungu nipinganie. Nakungoja hatakama utashelewa nitakungaja amen

  • @RuthAmojong-sm4kl
    @RuthAmojong-sm4kl 2 місяці тому +1

    Mungu tuonyeshe njia .tusipoteze mwelekeo.

  • @SmilingArcade-xj7zg
    @SmilingArcade-xj7zg 2 місяці тому +1

    Amen sana mtumishi mungu atusaidie sana kwamana kwa akili yetu atuwezi 🙏

  • @SelinaRaphael-dr5lg
    @SelinaRaphael-dr5lg 2 місяці тому +1

    Mungu walinde watoto wangu na uwafunike kwa damu ya Yesu amen

  • @SaraMpozi-nf1yk
    @SaraMpozi-nf1yk 2 місяці тому +3

    Mungu linda family yangu

  • @SurprisedDaisy-lq8sh
    @SurprisedDaisy-lq8sh 2 місяці тому

    Ameni Mwenyezi Mungu lejesha mausiano yangu miliki zangu upendo na heshima katika Jina la Yesu

  • @HAPPYOSCAR-nj5xq
    @HAPPYOSCAR-nj5xq 2 місяці тому

    Ameni Ameni Ameni Mungu nipe ujasiri tupendane zaidi kweny familia

  • @leahtonola8332
    @leahtonola8332 2 місяці тому

    Mungu pigana na wanaopigana nami Mungu teta na wanaoteta nami

  • @ElianaMlita
    @ElianaMlita 2 місяці тому

    Pigana na adui zangu Jemedari wa vita kama zaburi 35:1-------- inavyosema dumisha upendo,umoja na mshikamano katika familia yangu

  • @janecharo1196
    @janecharo1196 2 місяці тому

    Mungu naomba Amani, upendo na ushirikiano kwa familia yetu.kila mipango aliopanga shetani ili kutuvuruga nazifuta jioni ya leo kwa DAMU YA YESU KRISTO shetani hana nafas tena kwa DAMU YA YESU 🙌🙌🙌

  • @JumaNusura
    @JumaNusura 2 місяці тому

    Mungu nisaidie watoto wangu wapone

  • @HAPPYOSCAR-nj5xq
    @HAPPYOSCAR-nj5xq 2 місяці тому

    Ameni Ameni Ameni Mungu wangu nahita amani upendo na mapatani na mafanikio ktk familia

  • @VeronicaMtesigwa
    @VeronicaMtesigwa 2 місяці тому

    Mungu mkuu, mtetezi wangu ulie hai ,ukarudishe upendo, mapatano, na mafanikio yote Shetani aliyoiba ktk familia yetu, ninakutumainia wewe ili niwe salama🙏, unajibu kwa wakati Bwana! Umetamalaki nje ya dunia yote, unaejua idadi ya nyota na kuzipa zote jina zao, shughulika na shida zetu ee Mfalme wa Amani, bila wewe hatuwezi Yahweh 🙏😢

  • @dammyduro1643
    @dammyduro1643 2 місяці тому

    Amina 🥰

  • @shedracknuru4489
    @shedracknuru4489 2 місяці тому

    Ni kwel kabisa family zetu ndozinatukwamisha MTUMISHI

  • @perisriziki1592
    @perisriziki1592 2 місяці тому

    Mungu uwe nasi wakati zote ameeeen

  • @DelaneyWambui
    @DelaneyWambui 2 місяці тому

    Shalom shalom amen pastor

  • @neemakarisa1496
    @neemakarisa1496 2 місяці тому

    Amen 🙏 Asante Mtumishi.kila hatua niliyo kua nikichukua ili kuachana na tabia zazamani najikuta narudi Tena Kwa dambi Kwa sababu nilikua siishi kama MUNGU apendavyo lakini sahii nashukuru kukaa Kwa uwepo wa MUNGU Kwa kusoma Bibilia kuskiliza mafundisho hakika nitashida Roha zote chafu Amen, shetani ana tenganisha familia Kwa sababu Anajua Mungu anapenda umoja kama upendo na kwenye upendo Mungu hushusha Baraka za mafanikio , tuombee MUNGU aingilie kati asaidie pia familia yetu,kwenye hivyo vitu vitatu hatuna hata Moja, Amen 🙏🙏🙏

  • @evalynependo3824
    @evalynependo3824 2 місяці тому

    Amen and Amen in jesus might name amen and Amen 🙏🏻🙌👏🏿❤

  • @Nauminaumi_1984
    @Nauminaumi_1984 2 місяці тому

    Nitajiekaima Iman mpaka mpaka utakaponikubuka sitachoka kuomba sitachoka kusoma Bibilia kusikiza neno lakosatachoka kutoka sadaka jabo ninashinda lakini kipatalazimanitmize agano la mungu najkungaja wew Baba mumbabingu ICHI nakungaja

  • @mankiankya310
    @mankiankya310 2 місяці тому +1

    Ee Mungu 😢

  • @Nauminaumi_1984
    @Nauminaumi_1984 2 місяці тому

    Ea mungu. Niokoe nimeshoka

  • @Princesscareen
    @Princesscareen 2 місяці тому

    Mungu tusaidie kwa family yangu

  • @JamilaKusiluka
    @JamilaKusiluka 2 місяці тому

    Mungu Nina kuomba uwa zungushie Wanangu husna Na zuberi. Ukuta watoto unao wazunguka mariki magharibi kasiksini Na kusini hata adui akitaka kuwa zuru mrudishie uwadui wake wafunike Kwa damu YA yesu mwanao

  • @MarieMakiwa
    @MarieMakiwa 2 місяці тому

    Ee mungu pigana naho wanaho pigana nami

  • @JumaNusura
    @JumaNusura 2 місяці тому

    Tusaidie bwana yesu

  • @denisedward2983
    @denisedward2983 2 місяці тому

    Asante Yesu

  • @NdayishimiyeAgnes-of2tn
    @NdayishimiyeAgnes-of2tn 2 місяці тому

    Amen napokea

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 2 місяці тому

    Ameen

  • @setds-ey2qs
    @setds-ey2qs 2 місяці тому

    Amen

  • @alicemwaka3762
    @alicemwaka3762 2 місяці тому

    Emeeeen

  • @Nauminaumi_1984
    @Nauminaumi_1984 2 місяці тому

    Amen amen

  • @pstjosephineivali7627
    @pstjosephineivali7627 2 місяці тому

    Amenn

  • @theresialubida161
    @theresialubida161 2 місяці тому

    Amina asante kwa neno la upendo

  • @NdayishimiyeAgnes-of2tn
    @NdayishimiyeAgnes-of2tn 2 місяці тому

    In name of jesus

  • @gukawafly
    @gukawafly 2 місяці тому

    Amen Asante

  • @marymaria6544
    @marymaria6544 2 місяці тому +1

    Sylvia amen asante mungu Kwa Neema YA ulinzi Na uzima,baba naomba uwafiche wanangu Kwa damu YA yesu🙏 hasa mwanangu wakwanza gitfy ,mungu regesha Upendo ,Umoja,ushirikiano Kwa familia yangu🙏🙌♥️

  • @BahatiChengo-n8k
    @BahatiChengo-n8k 2 місяці тому

    🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥

  • @annaemmanuel-ni1pi
    @annaemmanuel-ni1pi 2 місяці тому +1

    Familia nyingi za kiafrica tunashindwa kuendelea kwasababu maadai wengi wanatokea kwenye familia

  • @ElianaMlita
    @ElianaMlita 2 місяці тому

    🙏🙏🙏

  • @JacklineKwamboka-j9j
    @JacklineKwamboka-j9j 2 місяці тому

    Amen

  • @kamillahjoseph6488
    @kamillahjoseph6488 2 місяці тому

    Mungu Linda family yangu

  • @ezekielmwau7320
    @ezekielmwau7320 2 місяці тому

    Amen 🙏

  • @Neema-mc2qu
    @Neema-mc2qu 2 місяці тому

    Amen

  • @denisedward2983
    @denisedward2983 2 місяці тому

    Amen

  • @JONISIAMWILONGO
    @JONISIAMWILONGO 2 місяці тому

    Amen

  • @SaraMpozi-nf1yk
    @SaraMpozi-nf1yk 2 місяці тому +1

    Amen