Majitu mengine hayaelewi ujue me kada wa ccm lkn Kwa tulipofkia na hii ccm yetu tutafukuzwa kweny nchi yetu Lissu Yuko sahihi ccm imekuwa chama Cha mafisadi
Kuna viongozi wachache mno wa dini tanzania ambao ni "wasafi" wengi wao ni "wezi,wasaliti,wauza utu"ambao hutumiwa na vibaraka wanaouza nchi yetu kila kona"
Sasa uwoni kama magufulii alikua ana tumia nguvuu muuwaa Mikutano ya azala kupiga watu lisasi mzee ulikua una ishii wap matukio uwoniii au una fagilia aliongea lisu 2 ujui maan ya udikiteta
@@GodfreyMwamaso alisema lini lakini jamani? Mbona m Unaongea bila kipimo? Acha maneno yasiyo na ushahidi. Marehemu hakuwahi kutamka ma.eno hayo bali maadui zake ndio mnapakaza wongo mtupu. Acheni hizo. Mungu hapendi uwongo.
Hakika lisu ni mtu wa Haki sana,mungu WA mbinguni akulinde Sana
Lissu hapo umenena kwa ujasiri.
Nakupongeza
Strong leader always loved by the people
Fact.
Mungu atakunyanyua Kwa ukweli wk.ccm ni dhambi tupu
Mungu hashunguliki na mambo ya kipumbafu
Majitu mengine hayaelewi ujue me kada wa ccm lkn Kwa tulipofkia na hii ccm yetu tutafukuzwa kweny nchi yetu Lissu Yuko sahihi ccm imekuwa chama Cha mafisadi
Shida walaji ni wengi
Ndio maana hawamtaki Lissu
Lissu juu sana, mbona watanzania hamuelewi?
Kweli Kwan ni uwongo ni ukweli
Amina CCM
Brave
Nashangaa Serikali ndiyo inaongoza kutoa pesa chafu wakati dinia inapambana na pesa chafu 😢
Ccm takataka.
Safi lissu
Sijutiagi kumkubali lisu
Kweli watu wamekosa sela kazi matusi tu
Nyie wote mnaomkosoa lisu ni mafala hawana jipya zaidi ya kukosa elimu
Kuna viongozi wachache mno wa dini tanzania ambao ni "wasafi" wengi wao ni "wezi,wasaliti,wauza utu"ambao hutumiwa na vibaraka wanaouza nchi yetu kila kona"
Nimeanza kuamin makonda alivo sema kwenye vikao walikua wanakuacha nje kwakua nimlopokaj
Atali tupu uyu jamaa ni changamoto kwelikweli
Mbn mabango ya samia yamejaa tanganyika,,lln kwao yanahesabika
Yakuambiwa changanya na yakwako
Chizi kweli
Wew mwenyewe ulipokea 5 mll
Rudisha milioni 5 kwanza
Chadema sijasikia ata wakitoa pole kwa waliofariki kaliakoo wao nikuangalia maslai yao upuuzi mtupu
We hujamuona mwnyekit na katibu mkuu msiban acha unafiki wewe
Umelogwa bado tuu ujavua nguo
Tatizo LA upinzani hawako nchi mzima kama morogoro ndipo nilipo nipigie uniulize
Ongeza sauti mpaka upasuke hicho kifua! Ushindi unasubiri sana!😂😂😂😂 CCM HOYEEEEE!❤❤❤❤
Hujielew
@MosesMgala-qx3bb ukijielewa wewe inatosha! Hahahaaaa!!
Huyu asubirie ndoa tuu
Wana wagombea wa halmashauri..mjue hyu mwehu
Kwa sera hizi ulizo nazo utasubiri sana
Kipindi Magufuli anatetea mali za Tanzania ulikuwa unamuita dictator leo unasema nchi imeuzwa hahaahah unataka kipi Mr tundulisu
Sasa uwoni kama magufulii alikua ana tumia nguvuu muuwaa Mikutano ya azala kupiga watu lisasi mzee ulikua una ishii wap matukio uwoniii au una fagilia aliongea lisu 2 ujui maan ya udikiteta
😂
Huyu tundulisu kila siku anahama mada...leo naona amekuja na mada ingine...😂😂😂😂
@@RomanMwinyiAlipigwa lisasi kwa kosa lipi kama wewe unajuwa??
@@RomanMwinyiAlipigwa lisasi kwa kosa lipi kama wewe unajuwa??
Wewe ni mkimbizi tu,acha kelele pls
Sera zako kwa sasa ni matusi,chuki na kudandia tu mambo yasiyona kichwa wala miguu.
Hilo ni jukwaa au kilinge cha mganga wa kienyeji 😂😂
Hujui ulisemalo ! Tatizo ni risasi zimekuchanganya!
Endeleen kukeli mungu yupo
Nenda zako wewe, huna lolote ! Huna Sera wewe, umechemsha hupati urais ng'o !
Fikria tena bado una nafas
Risu mpuuzi sana hana jipya anatumia nguvu kupotosha wananchi😂😂😂
Acha ushabiki wa vyama , ujue ukweli alafu ndo utajua unasimama upande wa nani
Makonda anakusikiliza
kiongozi unanyoa kihuni utapata nchi kwa namna hiyo
Wewe mbona huelezi kero yako ya kuzuiliwa ushoga Tanzania
Ujui kitu ww kojoa ulale uamke unye
Huna ishu bro story ndo hii kwa miaka 2 sas
"Kunguni" wa CHADEMA 😂.
Huyu ni mpuuzi tuu
Muelewane kwanza wewe na mbowe...afu uje tukusikilize
Wewe unachangia nini ktk Nchi hiii? Kama si maneno tu
Mama samia mitano tena, ata mupange yasio panginga
Mitano kwako tunaojielewa iyo kulaa ata isikia kwenyee ledio
Magufuli alitaka akimaliza mihula yake miwili aongezewe muda wa kuendelea kubaki madarakani hata awamu ya pili hakumaliza Mungu hadhihakiwi
👍👍👍
@@GodfreyMwamaso,,,Wala siyo mpango wa Mungu..Mbona huyu Lisu kala hela ya madini Kwani Mungu huoni??
@@GodfreyMwamaso alisema lini lakini jamani? Mbona m
Unaongea bila kipimo? Acha maneno yasiyo na ushahidi. Marehemu hakuwahi kutamka ma.eno hayo bali maadui zake ndio mnapakaza wongo mtupu.
Acheni hizo. Mungu hapendi uwongo.
Ndio mnazidi kupotea
😂😂😂
Ŵewe TAPERI DÀNGAÑYA KUNGUNI ŴA ÇHADEMÀ FAMILÌA ŸÀĶO IPO UĹAYA ÑA DREVA WAĶO ?___CHADEMA MMESHAßHÌNDWA KÀBLA YA ÙCHAGUZI PUMƁAVU MLÌTÀKIWA KÙĤI MÌŹÈ WÀTU WAJÌANÐIKÌßHE ĶÀMÀ WAĹÌVYO FÀÑYA CCM
Lisu taira
Ujinga wa Tindulisu ndiyo huo ameuza wapi? Ndiyo maana ulipingwa risasi .
Pole
We punguani mwache Tundu siyo saizi yako
Wewe na Yundu nani mjiga zaidi ni wewe tu
Uyu mweu nn alafu uyu tejaa
😢
Mungu atakunyanyua Kwa ukweli wk.ccm ni dhambi tupu
Mungu ana mambo mengi ya kufanya,sio aje amnyanyue huyu mbuzi