Holy Trinity Studio - Mungu Anaishi ( Official Music Video )
Вставка
- Опубліковано 4 тра 2023
- Kwaya ya Mt. Fransisko wa Asizi UDSM, MCHAS
Jimbo Kuu Katoliki Mbeya wanakukaribisha kusikiliza na kutazama Wimbo huu uitwao MUNGU ANAISHI. Wimbo huu ukiwa ni utunzi wake Perfecto Mtuka. Na umerekodiwa na studio za Holy trinity studios.
"Mungu wetu ni Upendo"
Kinanda kimechezwa na Baraka Thomas Mashibe.
#munguanaishi #munguanaishi.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: / hurudigital
Blessed ❤
Kidogo kidogo watu tunaosoma afya tunaanza kuja kwenye raman sasa nmependa sana boys wamefanya video iwe tamu wamejiachia good barikiwa sana 🙌
Amina
Kula Chuma hichoooo😅😅❤💪👏👏.
Very nice song. HT.🔥🔥
Mungu awabariki Sana mko vizuri
Wimbo mzuri Sana hongereni.
Wimbo mzuri sana mbarikiwe
Jamaa mko kiwango kingine..kazi safi
Much Appreciation HT. ❤❤🥰👏👏.
Mungu aendelee kuibariki kazi hii. Very Nice job.
Us💪💪❤
Kazi nzuri Sana MUNGU awabariki
Nice song... congratulations Holy Trinity team
Kazi Nzuri Mungu ni Mwema Kila Wakati
Nyimbo nzuri♥️♥️♥️♥️♥️
❤❤❤ Mungu ni upendo kazi nzuri saana❤❤
Nimeupenda sana wimbo na nimewamic wanachuo wenzagu hongereni sana
Asante Sana
Awesome ...
Peace and well being
Nice work Hongeara sana 🎉
Thank you SFAC UDSM MCHAS🥰🥰😍
Mbarikiwe sanaa
Mmetisha kinomah big up kwaya ya Mt Fransisco wa Asis
Wow!!! Amazing 🤗🤗🤗
nice song my choir
Waooh, nice song🔥🔥
Hongereni sana kwaya ya St.Fransisco of Asis UDSM-MCHAS ,hongera kwa HT pia kwa kazi yao nzuri, hakika Mungu ni upendo na hakuna cha kututenganisha na upendo❤❤....Wimbo mzuri sana🎉🎉
Beautifully nice. ❤
Goodwork..! Big up to all team..
T.mashibe wewe ni shida..usisahau kutoa fungu la kumi
Great to see this work from St Francisco choir udsm mchas ❤
Wooow.. so gdy
Wimbo ni mzuri poa Unaujumbe kabambe Sana
Nice song
I like it
Yaa Mungu ni mwema UDSM-MCHAS mkuwe katika Roho wa Bwana🙏🙏
Amina
KAZI NZURI👏👏👏👏
Hakika Mungu wetu ni upendo❤❤
Huu wimbo 🙌🔥🔥🔥, congratulations to you Both SFAC UDSM-MCHAS and Holy trinity for nice work
Kazi muzuri saaaana. Hongereni wanakwaya. Team video na audio mmetisha sana. Keep it up tusonge mbele.
Amina sana
Gorgeous ❤❤,, utatu mtakatifu utukuzwe kama jina la studio❤
Baraka tele, kwa kweli mungu wetu ni upendo
I like your moves, leave alone the content of the song🎉😊one of the best Songs i ever heard
Hongereni Kwa kazi nzuri🔥🔥🔥🔥
Asanteni Dana majirani zetu
Fantastic Song.Well done Sauti ya Alto.& bass
Asante Sana kwakweli, ubarikiwe
🔥🔥💥🤗
Thank you for the nice song.....vijana wako vzr ...
All of the best wishes to HT Kwa kazi nzuri mnazofanya
Hongeren wimbo mzur Mungu ni Upendo
Amina
Waooh my brother hujawahi kukosea aisee kula chuma hcho
Asante sana bro
Kazi njema sana wana TMCS
Holy Trinity did it again ❤🔥👏
What a song ❤
Barikiweni sana Kwa kazi nzuri unayofanya
HT is indeed the clear choice. ❤ Wimbo mtamu sanaa❤
Achiaaa jiweeeeee
😁🔥🔥
Good job you guys
Wimbo mtamu huu jamani,,,,,,, much love from Kenya 🇰🇪 Mungu ni upendo.
Amen
❤❤
Hongerenii sana
Amina sanaaa wimbo mzur
Good job😘👍
Thank you
Mungu wetu ni upendo❤...Nice song👏
Thank you ❤️
Thanks to SFAC UDSM-MCHAS for a nice song, you did it🙌🔥🔥🔥🔥
nice song
👏👏👏👏👏👏
Beautiful song. Thanks for blessing us.
Amen
❤❤❤
So proud ❤
Thank you tooo
What a great song and message. Thank you so much St. Francis Choir. Holy Trinity Studio you never disappoint and always on top,👏👏👏👏
vema
Well done boys , nyimbo nzuri, Asante P, MTUKA