Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Mbona mafuta kupanda bei kiholela ,matozo mengi na ufisadi msd hauongelei?kosa la Rc hapi liko wapi?
JAMANI UKWERI WENYEWE UYU KAKA HAPI NI MFANYAKAZI SANAAAA TUNAMFUATILIA SANA. HAPI NI MCHAPA KAZIII SAANA
Sisi tumeshajuwa samia hawataki watu wa jpm,msituzingue🤔kama namnagani tutaona 2025🤦
Huyu jamaa nikiboko,anafaa sana mkweli
Lakini wewe Samia unamtoa Ally Happy unamuweka nani wewe unamsikiliza kinana.nape.membe. lakini umempoteza kijana mashuhuri na mchapakazi
Mdomo wangu
Ivo kwanini nyie ndo mnaongoza nchi alafu mnalalamika? Kwann msiachie nchi wengne waongoze?
Huyu Dogo kumbe mchonganishi tu, Kwani yeye alichukua hatua zipi km mkuu wa mkoa? Sasa kaichimba Shimo puu katumbukia mwenyewe.
Mama jengo la kitega uchumi tanga haliishii pesa imetumika nyingi lina miaka mitatu.
mama njoo Iringa kuna madudu mengi halmashauri ya Iringa ni chafu kila idara
Mungu atakusaidia ali hapy
Aly happy ukitumia nafasi yako aidha kisiasa kuwafitinisha wenzako wakt wewe una machafu makubwa , inafika mahali mambo hayo yanageukaTizama mno roho yako ilivyo....
SASA MOTO UNAZIMA.
Huyu Maza nae ni kibaraka wa vibeberu
Ally happy now kiongozi bhana tunsmfatilia kila anapopangiwa kazi ansitendea khaki....ila siasa tuiache ulivyo.
yetu macho na masikio
Mama mjinga sana unatoa jembe kama Ally happy
SASA YAKO WAPI.
Huyu na omari mgumba ni wanafiki na wachonganishi ndo mana wametumbuliwa
Mama bara bara ya kivule ilala itakutoa machozi waja wazito wanapata tabu njoo ufanye ziara
Mkuu wa mukoa Ako kazi ama vipi nipasheni jamani
KUNAMTU ANASURA MBAYAA NA ROHOYAKE IPO IVO IVO..
Mama Lila la heri
Si chaguo la timu
Sisi tunaona2
UTAMU WA TANGA RAHA UNAKWAMA WAPI ua-cam.com/video/S77t6LT8XK0/v-deo.html
Ally happy nimchapa kazi mama ungemuacha kijana achape kazi
samia umekanyaga mara kilimanjaro angalia sana iyo mikoa
Mama wafukuze hawo
Fukuza hawo
Mama anamfukuza hata mwenye NCHI YAKE😳😳😳😳😳😳😳
Hawa DMO ni vilaza bora wachagulie na Rais sijui walisoma wapi
Mbona mafuta kupanda bei kiholela ,matozo mengi na ufisadi msd hauongelei?kosa la Rc hapi liko wapi?
JAMANI UKWERI WENYEWE UYU KAKA HAPI NI MFANYAKAZI SANAAAA TUNAMFUATILIA SANA. HAPI NI MCHAPA KAZIII SAANA
Sisi tumeshajuwa samia hawataki watu wa jpm,msituzingue🤔kama namnagani tutaona 2025🤦
Huyu jamaa nikiboko,anafaa sana mkweli
Lakini wewe Samia unamtoa Ally Happy unamuweka nani wewe unamsikiliza kinana.nape.membe. lakini umempoteza kijana mashuhuri na mchapakazi
Mdomo wangu
Ivo kwanini nyie ndo mnaongoza nchi alafu mnalalamika? Kwann msiachie nchi wengne waongoze?
Huyu Dogo kumbe mchonganishi tu, Kwani yeye alichukua hatua zipi km mkuu wa mkoa? Sasa kaichimba Shimo puu katumbukia mwenyewe.
Mama jengo la kitega uchumi tanga haliishii pesa imetumika nyingi lina miaka mitatu.
mama njoo Iringa kuna madudu mengi halmashauri ya Iringa ni chafu kila idara
Mungu atakusaidia ali hapy
Aly happy ukitumia nafasi yako aidha kisiasa kuwafitinisha wenzako wakt wewe una machafu makubwa , inafika mahali mambo hayo yanageuka
Tizama mno roho yako ilivyo....