Soma Surah Hizi Kujifungua Vifungo Vya Wachawi / Namna Ya Kumkamata Mchawi / Dr. Omar Bihizi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • Soma Surah Hizi Kujifungua Vifungo Vya Wachawi / Namna Ya Kumkamata Mchawi / Dr. Omar Bihizi
    Mashaa Allah Dr. Omar Bihizi akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Soma Surah Hizi Kujifungua Vifungo Vya Wachawi / Namna Ya Kumkamata Mchawi / Dr. Omar Bihizi
    usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
    Support us DARSA TV
    M-PESA +255 765100906
    Airtel +255 782 466 586
    Paypal 👇👇👇👇
    paypal.me/Dars...
    Get MORE of DARSA TV:
    ► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
    ► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
    ► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
    Subscribe
    Comment
    Like
    And
    Thanks
    Tu follow katika social media zetu
    Facebook @Darsa tv
    Instagram @Darsatv
    UA-cam @Darsa tv
    TikTok @Darsa tv

КОМЕНТАРІ • 32

  • @Oman12Phone-f5i
    @Oman12Phone-f5i 5 місяців тому

    Mashaa Allah sheikh uko vizur sana huna roho ya choyo Allah azidi kukupa elimu ya tiba watu watibike baada ya kutaabika kwa muda mrefu Allah akupe umri mrefu wenye keri

  • @HabeebiHabeebi-rr6rk
    @HabeebiHabeebi-rr6rk 2 місяці тому

    Maa shaa Allah...nitapata vp niko kenya-mombasa

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  2 місяці тому

      namba ziko piga simu

  • @MariamHussein-bg6rk
    @MariamHussein-bg6rk 3 місяці тому

    Sallam Aleykum na weza 🎉 16:27 pata vipi na nipesa gapi

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  3 місяці тому

      NAMBA ZIKO PIGA HAPO

  • @kuruthumumkalawa2786
    @kuruthumumkalawa2786 Рік тому

    Nimemuerewa Sana Docta Asante.

  • @athumanikhamisi3377
    @athumanikhamisi3377 Рік тому

    شكرا جزيل

  • @NamatovuLumama
    @NamatovuLumama Рік тому

    Niko dodoma inapatikana huku

  • @eunicebosibori4094
    @eunicebosibori4094 11 місяців тому +1

    Natamani kuona mti mkuu

  • @ukhtyafsaty
    @ukhtyafsaty Рік тому

    Dr Allah akupe umri mrefu n'a Afya njema uzidi kutupa elim , tunataabanika saana n'a sihri kwakweli

  • @josephonkendi1906
    @josephonkendi1906 9 місяців тому

    Dr. unaoffice bande za zirare

  • @ukhtyssalama5083
    @ukhtyssalama5083 8 місяців тому

    Hostazi nachezewa nyumbayangu na watotowangu na ndowayangu hapanilipo naumwa

    • @ukhtyssalama5083
      @ukhtyssalama5083 8 місяців тому

      Naomba duwà mikonoyangu miguuyangu inakosanguvu

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  8 місяців тому

      kunanamba ziko kwenye screen mpigie

  • @hadiyamohamed594
    @hadiyamohamed594 3 місяці тому

    Jamani nanikatumia kafanikiwa . Swali nauliza tu

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  3 місяці тому +1

      wengi tu

    • @hadiyamohamed594
      @hadiyamohamed594 3 місяці тому

      @@DarsaTV. Shukran .nilkuwa na taraji jibu kutoka kwa viewers

  • @JabirHaji-vj2nf
    @JabirHaji-vj2nf Рік тому

    Sasa docta kwa sisi tuliokuweko zanzibar tutakupata vipi

  • @husnaaboud2416
    @husnaaboud2416 Рік тому +1

    Kwa sisi tulio nje ya nchi oman tutaipataje

  • @AsyaMohd-t7n
    @AsyaMohd-t7n Місяць тому

    Tunaipatajee iyo dawa nipo znz

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  Місяць тому

      namba ziko piga wanakuletea

  • @JabirHaji-vj2nf
    @JabirHaji-vj2nf Рік тому

    Zanzibar tuta kupata wapi

  • @yvettemamdogo2289
    @yvettemamdogo2289 11 місяців тому

    Doctor , Mimi Niko south African nitaipata je?

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  4 місяці тому

      namba ziko piga hapo

  • @Player1_666
    @Player1_666 Рік тому

    Ila mtangazaji unaongea sana mwache Dr atiririke kwa kueleza bila kumkatizia

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  Рік тому

      sawa

    • @ShiftMan-xe1yn
      @ShiftMan-xe1yn 8 місяців тому

      Kweli kabisa. Mwache amalize kuzungumza mwisho wa topic muulize masuala unakuwa unatukatisha utamu wa kusikiliza au concertrat inapotea

  • @esthakilicho
    @esthakilicho Рік тому

    Gaka Jo nn

  • @hajiomar-ky1tf
    @hajiomar-ky1tf 9 місяців тому

    Ngaka ndo kitu gani

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  5 місяців тому

      piga simu namba ziko