Nilikua naskiza nyimbo za jidee za zamani uwie uyu dada apewe maua yake alikua anaimba jamn na ni ligend katoka nao mbali and i think wasanii wa zaman kama hawatendewi haki vile mana waliteseka mzik wa zaman kama ulikua haulipi lkn saiv naomba wapewe maua yao
Acha komando achkue vyeo ,respect Kwa jide anastahili
Komaa tu dadangu mimi nakupenda sana , ubalikiwe sana , mshabiki wako san mm nakupenda sana sana
hana baya jide nafuatilia tangu machozi hadi leo
Nawapenda sn cz mna rekodi yenu kubwa sn katika historia ya huu mzik wa bongo fleva
RAYC please 🙏 Ana hit nying na anajua kuimba fanyen jambo kwake
Jaman komando anavyopenda hela 😂😂😂....
we hupendi??
Dah we kweli sugu ,kisago chote mpaka kulazwa almanusra kudanja leo unapeta honors..
We shoga nn mbona unaongea mimavii auna Malinda nn
Nilikua naskiza nyimbo za jidee za zamani uwie uyu dada apewe maua yake alikua anaimba jamn na ni ligend katoka nao mbali and i think wasanii wa zaman kama hawatendewi haki vile mana waliteseka mzik wa zaman kama ulikua haulipi lkn saiv naomba wapewe maua yao
haswaaa
❤❤
🎉🎉🎉❤❤
💥
Ww bwan hiy ndio fani yako muziki sio siasa, ukatufanyia fujo