William Yilima NINA HAJA NAWE {Official Music video} HD

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 жов 2024
  • Bwana Yesu Apewe Sifa ,Napenda kumshukuru MUNGU Kwakunipatia Wimbo mwingine mpya Unaoitwa (NINA HAJA NAWE) Naomba Ushirikiano wako Tena kwa kushare, kucomment na Ku SUBSCRIBE Pia Napenda Kuwashukuru watumishi wa MUNGU na wadau kwa kuendelea kufuatilia kazi zangu MUNGU Awabariki sana.

КОМЕНТАРІ • 183

  • @william-yilima
    @william-yilima  Рік тому +50

    Ooh asanteni sana wadau kwa comments zenu Mungu awabariki sana,karibuni karibuni karibuni sana

    • @andrewmorara3775
      @andrewmorara3775 Рік тому +1

      Nina haja nawe hakika wimbo wa kututia moyo haja zetu zijulikane kwake.wafilipi 4:6

    • @shukranialfred2681
      @shukranialfred2681 Рік тому

      Nyimbo zako zinanibarikigi sana tu basi sina jinsi lakini nkubuke kuja

    • @eliascharles6414
      @eliascharles6414 Рік тому

      🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @silajosiah6509
      @silajosiah6509 Рік тому

      Nataka hii wimbo ya nitafanikiwa tu

    • @denisngenzi
      @denisngenzi Рік тому

      Amen 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @michaelkamtupe1970
    @michaelkamtupe1970 Рік тому +10

    WATANZANIA KENYA CONGO BURUND ZAMBIA NITAFULAHI KUONA LIKE ZENU HAPA.🔥

  • @MosesDusengimana
    @MosesDusengimana Рік тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Yes with god okay whatout mungu hakuna kitakacho endelea katika maisha yetu tukiwa na mungu kila amwaminiye atabarikiwa na mungu

  • @william-yilima
    @william-yilima  Рік тому +4

    Ooh Amina sana wapendwa wangu,Neema ya Mungu iwe nyingi kwenu,asanteni kwakunitia moyo

  • @harrisonomumiah7871
    @harrisonomumiah7871 Рік тому +1

    nashukuru kwa huu wimbo 🙏🙏🙏🙏ubarikiwe sana mtumishi

  • @paulinyava8012
    @paulinyava8012 2 місяці тому

    kwangu wewe maisha yangu yote,nyimbo yako inanifikishaka atwa murefu zaidi , ju ya kufikili utukufu wa Mungu , mungu akubariki

  • @exodebahati397
    @exodebahati397 Рік тому +1

    Hii ni Maombi makubwa ubarikiwe mtumishi wa Mungu.
    Kwa maisha yetu tangiya utoto mpaka uze tunahaja ya Mungu katika yote tunayo fanya

  • @MosesDusengimana
    @MosesDusengimana Рік тому +1

    I say Hello to you and everyone is here to take this message you give all the world I have trust this message and god bless you for your work and god bless us all get more messages from god let’s us thanks to god

    • @MosesDusengimana
      @MosesDusengimana Рік тому

      God love us no one have love like god ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @DaudiAdrianokt
    @DaudiAdrianokt 11 місяців тому

    Umeniliza huu wimbo ubarikiwe mtumishi hujawahi kukosea kwenye hii kazi Mungu Azidi kukuinua

  • @johnmizunguofficial
    @johnmizunguofficial Рік тому +1

    Mungu akulinde saana kaka willium wimbo umenipower kitu furani Hadi Raha

  • @charleskitheka8809
    @charleskitheka8809 Рік тому

    Nina haja nawe kila wakati mungu wangu usiniache ata kama watu wataniacha mungu kuwa nami kwa kila hhatua yangu katika maisha yangu

  • @leahfredy7983
    @leahfredy7983 Рік тому +1

    mungu azidi kukuinuwa ......ubarikiwe mtumishi...

    • @william-yilima
      @william-yilima  Рік тому

      Amina sana atukuzwe MUNGU wetu Wa mbinguni atuwezeshaye ktk utumishi huu

  • @millywalusuna5180
    @millywalusuna5180 Рік тому

    Huu wimbo umenibariki sana ndani ya moyo wangu Wacha mungu aendelee kukupa neema

  • @fighterbenson-cs2tz
    @fighterbenson-cs2tz Рік тому

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Kristo Mungu wa mbinguni azidi kukuinua viwango vya juu zaidi

  • @hortenseornella-po8zw
    @hortenseornella-po8zw Рік тому

    Mungu akubariki nyimbo zako zinanitiyaka nguvu ninapopitiya cangamoto zamaisha.

  • @MethodTweve-nx2ms
    @MethodTweve-nx2ms Рік тому

    Safi sana mchungaji weyu William yilima jembe kutoka sumbawanga

  • @michaelkamtupe1970
    @michaelkamtupe1970 Рік тому +4

    Nyimbo Imenibariki Sana Mtumishi wa Mungu.

  • @michaelkamtupe1970
    @michaelkamtupe1970 Рік тому +2

    BARIKIWA SANA MTUMISHI WA MUNGU.KAKA YANGU WILLIAM YILIMA.
    NINA HAJA NA WEWE BWANA.

  • @timotheoshedela9213
    @timotheoshedela9213 Рік тому

    Hongera sana kwa wimbo mzuri Bwana aendelee kukuinua zaidi kila iitwapo leo

    • @william-yilima
      @william-yilima  Рік тому

      Asante sana,kwa maombi yenu tunasonga mbele,narikiwa

  • @AnguraLinah
    @AnguraLinah 6 місяців тому

    Hongera mtumishi wa mungu wimbo imenigusamoyo wangu,nashukuru.

  • @stellawanjiro8993
    @stellawanjiro8993 Рік тому

    Huwa napenda nyimbo zako sana nikisikiliza huwa na barikiwa sana

  • @lilianekabaganzaofficial
    @lilianekabaganzaofficial Рік тому +1

    NINAHAJA NAWE EEH MUNGU🙌🙌 TUNAKUPENDA KAKANGU 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
    MUNGU AZIDI KUKUINUWA NA KUKUBARIKI

    • @william-yilima
      @william-yilima  Рік тому +1

      Asante sana dada Liliane, wasalimie sana huko nchini Kenya

  • @jacobkhisa7537
    @jacobkhisa7537 11 місяців тому

    Amen 🙏🙏🙏 wimbo nzuri saana mungu akubariki sana 💐🙏🙏🙏

  • @eunicenanzala2784
    @eunicenanzala2784 Рік тому +1

    Nina haja na wewe nice song nimebarikiwa sanaa

  • @harrisonomumiah7871
    @harrisonomumiah7871 Рік тому

    nasikia utukufu unashuka kwa kusikiliza huu wimbo 🙏🙏

  • @josephkato5367
    @josephkato5367 Рік тому

    Blessings man of God nyimbo imetubariki from USA tunakufuata ❤

  • @mariammwajeka-kt5ov
    @mariammwajeka-kt5ov Рік тому

    Mungu akubariki mtumishi wa Bwana Yesu aliye hai nmebarikiwa mno

  • @SamHudda-be4mc
    @SamHudda-be4mc Рік тому

    Amen nina haja na wewe baba, nyimbo nzuri ubarikiwe

  • @ClalenssMwaweza-m4g
    @ClalenssMwaweza-m4g Рік тому

    Mungu akwinue Kati ya waimbaji halisia was mungu nipamoja na yilima nakubal huduma yako Kaka from mtai Godfrey msangawale

  • @nathanizebedayo6561
    @nathanizebedayo6561 Рік тому +1

    kazi njema Sana sh..

  • @doctorwanjala
    @doctorwanjala Рік тому

    Amina Mungu akubariki sana mtu wa Mungu am from Kenya 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @AshaSulle
    @AshaSulle Рік тому

    Mung akutunze akuinue viwango vya juu Zaid na barikiwa injili ninayoipata kweny nyimbo

  • @kashindicharles686
    @kashindicharles686 Рік тому

    Barikiwa sana Mtumishi William Huwa unanibariki unapo towa kitu kipya kwahi ubarikiwe Sana still Charles Congolese by nationality lives in Uganda for evangelical

  • @doriceelabonga1637
    @doriceelabonga1637 Рік тому +1

    Hallelujah 🙏🙏🙏🙏 nice song napenda nyimbo zako sana mtumishi wa mungu,, barikiwa sana

    • @william-yilima
      @william-yilima  Рік тому +2

      Asante sana barikiwa rafiki kwa ushirikiano Wako

  • @AYUBU.MSANGAWALE
    @AYUBU.MSANGAWALE Рік тому

    Barikiwa sana mutumishi wa hakika wimbo huu umenibaliki

  • @masanjamwamba3283
    @masanjamwamba3283 Рік тому

    Kweli Nina haja Bwana, Bwana Yesu akuinue zaidi

  • @naomikathusi5061
    @naomikathusi5061 Рік тому +1

    Wapi likes amazing song 🥳😘🔥

  • @rachaelomari
    @rachaelomari Рік тому

    nina haja nawe Mungu kutana tu na haja ya mwoyo wangu

  • @derickkitila5957
    @derickkitila5957 Рік тому

    Wimbo mzuri sana mtumishi. Mungu akubariki zaidi

  • @violetyumelo
    @violetyumelo Рік тому

    Namimi Nina haja na MUNGU wambinguni anae kutendea makubwa baba yangu Yilima 🙏🙏

  • @barakamwaitebele6929
    @barakamwaitebele6929 Рік тому +1

    Waaaao kazi nzuri sana barikiwa sana kwa ujumbe mzuri.

  • @irenesilayo7318
    @irenesilayo7318 Рік тому

    Waoo. Safi UNANIBARIKI SANA KWA KAZI ZAKO.

  • @CheropStellah-yb7cd
    @CheropStellah-yb7cd Рік тому

    Lord I need u for more, its a blessing to have a musician like u.

  • @goodluckyalute4666
    @goodluckyalute4666 Рік тому

    AMINA Wimbo Mzuri Sana Ubarikiwe Zaidi

  • @bensonmakhongo7228
    @bensonmakhongo7228 Рік тому

    Mungu akubariki sana nyimbo zako zinajenga sana

  • @prodigalsaints254
    @prodigalsaints254 Рік тому +2

    Amen. Wimbo wenye kubariki na kugusa moyo. Mungu nina haja nawe

  • @kredojames3303
    @kredojames3303 Рік тому +1

    Ubarikiwe sana baba mtumishii kwa huduma yako bwana azidi kukuinua🎼

  • @KalonduMakenzi-pd8ih
    @KalonduMakenzi-pd8ih Рік тому

    Nina haja nawe yesu,, barikiwa Sana mtumishi🇰🇪🇰🇪

  • @Mas-el8bf
    @Mas-el8bf Рік тому

    🎉Waau nyimbo zako zinanibariki

  • @VeronicaMarutha-mc8bb
    @VeronicaMarutha-mc8bb 10 місяців тому +1

    Amen nice song

  • @hilarytowett6738
    @hilarytowett6738 Рік тому

    Mungu wa mbinguni akubariki sana bro tunataza kutoka kenya

  • @RdFd-dc2nr
    @RdFd-dc2nr Рік тому

    Wimbo za huwa sinaniguza sana😊😊

  • @amanimwandele
    @amanimwandele Рік тому

    Uko vizuri sana mwene

  • @rachaeldiana2562
    @rachaeldiana2562 Рік тому

    Nina haja nawe Jehovah 🙏🙏🙏

  • @Hannah-y2t
    @Hannah-y2t Рік тому

    Pastor napenda nyimbo zako sana

  • @emmanuelmwandu.3126
    @emmanuelmwandu.3126 Рік тому

    Wimbo mzuri sana mtumishi wa Mungu.
    Mungu azidi kukuinua Kwa viwango vya juu

  • @misagodafrosa4005
    @misagodafrosa4005 Рік тому

    Ubarikiwe sanaaa kabisa mtu wa Mungu.

  • @2k_music-g254
    @2k_music-g254 Рік тому

    This song is deep manze... am just trying to live in this soul.... deeply in Christ

  • @emmanuelwandabi9428
    @emmanuelwandabi9428 Рік тому

    Unanibariki kila wakati mtumish

  • @nyawangalydia
    @nyawangalydia Рік тому

    I need you Lord 🙏🙏🙏🙏 ,,,God bless you

  • @WiltonHuncho-xo2no
    @WiltonHuncho-xo2no Рік тому

    Thanks so much for the blessing songs unatoa God bless you abundantly and protect you I myself nimebarikiwa ,,,,,,,Nina haja na wewe Mungu. Thanks nks so much

  • @kilyenyiemmanuel
    @kilyenyiemmanuel Рік тому

    Wimbo mzuri jamani! Ubarikiwe mtumishi wa BWANA

  • @jeniferwambugu2229
    @jeniferwambugu2229 Рік тому

    May almighty God keep you you are such a blessing to many mr william yilima

  • @FebyIsaya
    @FebyIsaya Рік тому

    Ubalikiwe mtumishii

  • @violetblessingstronglioness
    @violetblessingstronglioness Рік тому +1

    Barikiwa kaka..wimbo mzuri una upako 🙏🙏

    • @william-yilima
      @william-yilima  Рік тому

      Asante sana , atukuzwe MUNGU wetu Wa mbinguni atuwezeshaye ktk utumishi huu

  • @winnienini3150
    @winnienini3150 Рік тому

    Songs zako zabariki kweli, 🙏💯

  • @nestorymwaulambo8176
    @nestorymwaulambo8176 Рік тому

    Kaka barikiwa sana

  • @gstv1193
    @gstv1193 Рік тому +1

    Mungu azidi kukuinua Mimi Sanga Nambala Arusha

  • @franksangaonlinetv8593
    @franksangaonlinetv8593 Рік тому +2

    Nina haja nawe

  • @k.ayubutv5146
    @k.ayubutv5146 Рік тому

    Mungu akubariki sana mtumish kaz yako ni njema baba angu

  • @shainakate6238
    @shainakate6238 Рік тому

    Nyimbo zako huwa ni zenye kugusa moyo sana, Mungu azidi kukubariki ❤️❤️❤️🙏🙏

    • @william-yilima
      @william-yilima  Рік тому

      Asante sana,atukuzwe MUNGU wetu Wa mbinguni atuwezeshaye

  • @mercymuendi7057
    @mercymuendi7057 Рік тому

    Nina Aja nawe bwana , sikia sauti yangu bwana

  • @lucypaulo9238
    @lucypaulo9238 Рік тому

    God bless you mtumishi wa Mungu

  • @barakadanielmagwele
    @barakadanielmagwele Рік тому

    Song miaka yangu iliyoliwa nanzige narudisha

  • @piethacosmass5488
    @piethacosmass5488 Рік тому

    Amina be blessed mtumishi wa Mungu

  • @jewelsantana7391
    @jewelsantana7391 Рік тому +4

    The song is spiritually touching 🙏

  • @kanyingealex
    @kanyingealex Рік тому +2

    I like the music 🎵🎶🎵🎶🎵🎶 so blessing and beautiful to hear. Big up man

  • @anestykatheu9574
    @anestykatheu9574 Рік тому

    Awesome song God bless you man of God.

  • @WinnieMueni-l7d
    @WinnieMueni-l7d 9 місяців тому

    Very powerful song am blessed

  • @princessfay8031
    @princessfay8031 Рік тому

    My prayer right now...Nina haja na wewe Mungu,,,unapotendea wengine nami unikumbuke...barikiwa mtumishi kwa ujumbe mzuri

  • @Winnie-cb3sn
    @Winnie-cb3sn Рік тому

    Barikiwa sana

  • @kanyingealex
    @kanyingealex Рік тому

    Morning glory, beautiful song Yilima my favourite no day passes bila mm kusikia

  • @chemelilangat8613
    @chemelilangat8613 Рік тому +1

    Thankyou Jesus I need you at this moment .you know my heart's desire.

  • @mycletaitas4194
    @mycletaitas4194 Рік тому

    Nina haja nawe 💗💗💗💗

  • @jennysabina8696
    @jennysabina8696 Рік тому +1

    Amen mtumishi ubarikiwe na Bwana🙏

  • @GodfreyGodfreySaje
    @GodfreyGodfreySaje Рік тому

    Asant mungu akubalik

  • @AnguraLinah
    @AnguraLinah 6 місяців тому

    Amen😊Nina haja na yesu

  • @NancyLuyali
    @NancyLuyali Рік тому

    Powerful one..i like the song❤

  • @mnwp
    @mnwp Рік тому

    Yanibariki sana 🙏
    Mungu akuzidishe kaka

  • @hamisihassan8060
    @hamisihassan8060 Рік тому +1

    What a lovely and blessing song! Mungu abarikiwe kila anayesikiza nyimbo hii..

  • @minzasamweli7163
    @minzasamweli7163 Рік тому

    Waooohhhh nimebarikiwa sana nina haja nawe Yesu,i real this man of God

  • @cornelimwasonzwe3997
    @cornelimwasonzwe3997 Рік тому

    Wonderful song pastor. Barikiwa Zaid ya jana

  • @Janet-fi4fh
    @Janet-fi4fh Рік тому

    Kwa hakika Nina haja nawe mtakatifu, it's a very nice and blessing song, may God be with you always

  • @namutosimilia4064
    @namutosimilia4064 11 місяців тому

    God bless 🙏🙏🙏 you for everything

  • @VeronicaMarutha-mc8bb
    @VeronicaMarutha-mc8bb 10 місяців тому

    Powerful song 🙏god bless you❤

  • @mathiastuva
    @mathiastuva Рік тому

    Kazi njema mtumishi wa Mungu, neema izidi zaidi na zaidi 🙏🙏

  • @GladysAdisa-zr1sr
    @GladysAdisa-zr1sr Рік тому

    Powerful message 🙏🙏🙏🙏

  • @mildredatitwa8835
    @mildredatitwa8835 Рік тому

    God bless you, am really blessed

  • @WinniefridahMoraa-pe7uq
    @WinniefridahMoraa-pe7uq Рік тому

    This song is so touching 🙏🙏🙏🙏🙏,Nina haja nawe mungu wangu

  • @WemaBeatrice-yi2gt
    @WemaBeatrice-yi2gt 7 місяців тому

    Nina haha nawe😊❤😮