Now we want Agape Gospel Band to do something with Evelyn Wanjiru ama vipi Wakenya. The anointing and energy zinaendana sana. Wapi likes za wale wanasupport hii proposal. ❤❤❤❤
Indeed, amenishangaza!!! Today a stranger gets me a specialized wheelchair for my 6 years old with CP, just from nowhere. Amenishangaza Yesu. Glory be to Him.
Music director Benjamin, Hans official, John peter and Benson Aux 2 amd The all musical team kazi Safi sana... Victor maestro jamani kaka una kipaji Cha ajaabu sana mungu awainue sana huku Kenya 🇰🇪 Moore love.... Ai ai aii aiiii aii ❤❤😅
Get ready to experience the latest track! AMENISHANGAZA || Dropping tomorrow at 18:00 EAT-don’t miss it. God bless you @agapegospelband may God lift you high and may your heart desires be fulfilled In Jesus Name!🎶 #NewMusic #Countdown #FeelTheVibe. Kenya 🇰🇪 & Tanzania 🇹🇿 like 👍🏽 Share ⏩⏭️ on all digital platforms.
How are you my brothers and sisters in Christ 👋🙏.Truly Jesus has amazed us with His great works and we pray that He may continue the marvelous work. All thanks also to the Agape Gospel Band for you truly are a blessing to us. May God bless you even more. Just like this comment as a sign of appreciation to this great band and you will all be blessed.
😂😂😂😂😂 kweli aseeeee hawachoshi mpk saa 12 leo tulikuwa nao pale MCRC DAR ES SALAAM kwenye YOUTH SWAG 😂😂😂😂 hawajalala wala hatujalaaaaaaaa Muziki wa Yesu kwa kwenda mbeleee njoooni muonje yakuwa BWANA ni mwema❤❤❤
Amina na mimi MUNGU amenishangaza sana mimi na familia yangu nikiwa ni mtu wa kwanza kusoma kufika kwa level ya degree, na zaidi nimegraduate na GPA nzuri mno sifa heshima na utukufu ni kwa MUNGU, na ni maombi ya MUNGU anifungue toka kwa vifungo mbalimbali na zaidi ya yote naomba MUNGU anifanyie njia nipate scholarship nikasome zaidi 🙏🙏🙏🙏 kiufupi MUNGU aliyonitendea ni mengi😢😢😢 i cant eplain more ila ninashuka chini yeye ainuliwe🧎🧎🧎🧎
Amenishangaza yesu nimepata scholarship kusoma abroad keshkutw naanza safari Kuelekea Masomoni USA 🇺🇸 😭😭
Hongera sana🎉
Amina kwa ushuhuda huu na mm naomba MUNGU akanitendee jambo Kama hili ni haja ya moyo wangu sana
Wooow MUNGU
akutangulie .ukaangaze na kufikia malengo yako ,kwa jina la YESU.
MUNGU akakushangaze zaidi ❤
Mungu akutangulie mkuu. all the best
Amen sadaka ya shukrani umetoa😊
Ushuhuda wangu unakuja
Umenishangaza wa kwanza from Kenya 🇰🇪 Fons of agape please weka like hapa zote🎉🎉🎉🎉 Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 like hapa
Ndugu zangu wa Kenya tuko wapi. Likes zote tunaweka hapa 😂❤
Amen amenishangaza yesu ❤❤❤❤❤ from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kama mungu amekushangaza piga like tukisonga❤❤❤
Wale yesu ameshangaza huu mwaka tujuane 🇨🇩🇹🇿🇰🇪
Wapi Vigelegeleee from KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ileleleeeee from Zambia 🇿🇲 ❤
@@ambindwilehosea6837 Hallelujah
Wakenya tuko wapi?🇰🇪🇰🇪🇰🇪Wapi likes za Agape Gospel Band. Yesu amenishangaza🔥🔥
Amen Amen and Amen 🙏.
Amenishangaza eee..From Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪.Blessed voices..WanaAgape 🤗👐
Now we want Agape Gospel Band to do something with Evelyn Wanjiru ama vipi Wakenya. The anointing and energy zinaendana sana. Wapi likes za wale wanasupport hii proposal. ❤❤❤❤
Music Composition ni Heavenly level, Bass imepigwa na Nusu mtu Nusu Malaika
Amenishangaza nilimwomba nipate kazi,Sasa Hivi nina Kazi,Amenishangaza Kweli🎉🎉🎉🎉
Tanzania kwa sifa ya mungu Amina yeye ni mungu si mtu asema wongo si mtu wa baya si Freemason 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
It's a long wait. Njoni muone yale Bwana ametenda kwangu
Wale ambao tupo pamoja tangu kupostiwa kwa huu wimbo gonga like niwaone
Indeed, amenishangaza!!! Today a stranger gets me a specialized wheelchair for my 6 years old with CP, just from nowhere. Amenishangaza Yesu. Glory be to Him.
Wale tulioshangazwa na Bwana wote mlike hapa
One thing I know and it's true God can be trusted👐
🎵🎶🎶😍 aweee sister SARAH NDOSI
Eliyaa nakuonaa
Wapi vigelegele
Wapi vigelegele
@@SarahNdosi Wapi vigelegele
Njooni muone bwana amefanya kwangu
Hata mimi najua Mungu atanishangaza, Biblia inanitia moyo kuwa kesho yangu ni ile nzuri kabisa
Amina
Walio shangazwa na MUNGU tujuane hapa
Agape your always top nawapenda buree mungu azidi kuwainua nawapenda nyote from🇰🇪
Wooow barikiweni kwa wimbo huu sote tumemshukuru Bwana kwa yale aliyotutendea ❤
De Angola para onde vocês estão! Deus abençoe.
Nipo hapa hapa mpaka wafike viewers 1000
Tushaafika 8.5k😂😂❤❤🎉🎉
from kenya 🇰🇪 I love your ministry. Amen atanishangaza pia nikijipata niamba nanyi ipo siku pia
Amenishangaza Yesu Wangu amenitendea mpk natoa machozi ya furaha ❤❤🎉🎉
Yesu amenpa kazi napata uzima nakula nakunywa jina yesu ntamu sana
Jesus is my Answer 🙏
That lady has a very beautiful voice... Her dress is very decent. So beautiful and the music 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉.
Huyu yesu amenishangaza
Wapi vigelegeleeee... great love from Kenya 🎉
Niko tayariiii...huu wimbo❤❤❤
Music director Benjamin, Hans official, John peter and Benson Aux 2 amd The all musical team kazi Safi sana... Victor maestro jamani kaka una kipaji Cha ajaabu sana mungu awainue sana huku Kenya 🇰🇪 Moore love.... Ai ai aii aiiii aii ❤❤😅
Agape Gospel Band never misses🔥🔥🔥
Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 tupo tuna ongoja mje Kenya mara tena
Asante sana ndugu zangu mungu Awa bariki awape piya mwisho mzuri kuliko mwanzo❤nawapenda sana
Am blessed... Mungu azidi kuwatumia #agapegospelband... Austines from kenya
Get ready to experience the latest track! AMENISHANGAZA || Dropping tomorrow at 18:00 EAT-don’t miss it. God bless you @agapegospelband may God lift you high and may your heart desires be fulfilled In Jesus Name!🎶 #NewMusic #Countdown #FeelTheVibe. Kenya 🇰🇪 & Tanzania 🇹🇿 like 👍🏽 Share ⏩⏭️ on all digital platforms.
Yesu amenshangaza sana amentoa shimoni akaniweka juu ni kiwa kenya
Niko nakuru ninawependa sana karibuni nakuru jamaani iyo ni tamuuuu sana
I will sing this song soon i will hold my own child in jesus name ...waliniita tasa lakini mungu umenishangaza
Amen!
Napenda Agape nikiwa Kenya ,,,Kenyans wapi likes 😊
Mahali watu wanafeli Mimi nafaulu kweli Mungu amenishangaza. Barikiwa sana @agape band
Amenishangaza anazidi kufungua milango baraka kwenye kazi zangu 🙏
C.G FAMILY to the WORLD 🌏Bwana Yesu ametushangaza, pokea Sifa na Utukufu Yesu❤
Good job AgapeBand&Sara Ndosi
BIla kutegmeya amenishangaza🙏❤❤
Say Hi to the drummer😅Much Love From KENYA
Kwa kwel yesu umenishangaza hallelujah what a song
Amina❤
Filimbi yetu ikowapi agape lakini😊😊Mungu ametukuzwaaa kwenye huu wimbooooo🙌sijawahi ona
How are you my brothers and sisters in Christ 👋🙏.Truly Jesus has amazed us with His great works and we pray that He may continue the marvelous work. All thanks also to the Agape Gospel Band for you truly are a blessing to us. May God bless you even more. Just like this comment as a sign of appreciation to this great band and you will all be blessed.
that bass guitar from G😍😍😍😍 ANANIBARIKI SANA
Amenishangaza this is my wedding song for 2025
This song for 2031 🥰 for my wedding
@@Smart12-p2q halleluya 🙌🏿
@@nyabokenancy Amina dada 🙏
Wonderful it's amazing 🎉🎉🎉🎉❤ I love this
Amenishangaza huyu Yesu!!!!❤🎉🎉
Amenishangaza amen, amen, amen 🙏🙏🙏🙏🙏
Nzambe na Bomoyi!❤
Kweil ❤
Ni kweli amenishangaza na mimi pia.🇧🇮
Mubarikiwe 🙌
❤ Agape Music Band, be Blessed dear🎉
Njooni muone yale Bwana amefanya kwangu🙏🙏🙏
Agape mkiwadekeza watawachezesha usiku mzima😂😂
😂😂😂😂😂
@@monicafaraji8330mambo 😢
😂😂😂😂😂 kweli aseeeee hawachoshi mpk saa 12 leo tulikuwa nao pale MCRC DAR ES SALAAM kwenye YOUTH SWAG 😂😂😂😂 hawajalala wala hatujalaaaaaaaa Muziki wa Yesu kwa kwenda mbeleee njoooni muonje yakuwa BWANA ni mwema❤❤❤
Hii ndio nitaingia nayo kwa harusi yang😂 nivile mchumba hayuko bado
Haahahahahhahahha
@@rulebudodo2301 nicheke tu
❤🎉 await is over, mubarikiwe wakuu 🫂 much love 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
aii aaii… nalia mimi machoz!! 😭🙌🙌🫡
These ministers🙌🏿🔥@agapegospelband
wow GOD you have really amazed me🥰🥰🥰🥰🥰
Huu wimbo umetoka wakati sahihi🙏🙏🙌mbalikiwe sana wapendwa
Amenishangaza, Amenishangaza, Amenishangaza Yesu❤❤❤
Agape Gospel Band you're anointed for this generation. We thank God for you. May your music turn more souls to Christ.
We have never had a gospel team like Agape Gospel Band in Africa. We thank God for this team.
Amenishangaza amenipa kazi🎉🎉🎉
Nko mm amenable kazi na Kibali
Ahazi singers ft agape gospel band Tumejipata ,soon
Hata Mimi amenishangaza
Amenishangaza yesu❤🎉🎉
Amenishangaza Yesu.
AMENISHANGAZA YESU❤❤❤
Amenishangaza Yesu kwa ukuu wake usio na mwisho maishani mwangu na familia yangu
🎉 allways God is good and first,, be blessed 🙏🏻📛
The instrumentalist of top notch ,beats oooooooh
This is beautiful stuff. Sweetest melody...JP you strum that bass the way I like bro_____Zimbabwe
Shuwa Anoshamisa Jesu uyu
Umenishangaza Yesu❤
Amina na mimi MUNGU amenishangaza sana mimi na familia yangu nikiwa ni mtu wa kwanza kusoma kufika kwa level ya degree, na zaidi nimegraduate na GPA nzuri mno sifa heshima na utukufu ni kwa MUNGU, na ni maombi ya MUNGU anifungue toka kwa vifungo mbalimbali na zaidi ya yote naomba MUNGU anifanyie njia nipate scholarship nikasome zaidi 🙏🙏🙏🙏 kiufupi MUNGU aliyonitendea ni mengi😢😢😢 i cant eplain more ila ninashuka chini yeye ainuliwe🧎🧎🧎🧎
Nalia aaii aiii❤🎉❤❤🇰🇪🇰🇪
Amefanya mambo ya ajabu, anenishangaza Yesu
Amenishangaza huyu Yesu🔥🔥🔥🙌
Amenishangaza yesu amenipa baraka
😊😊😊😊😊😊😊
Kenya is here Lord. Tushangaze nasi pia
Amenpa kazi na Kibali
Anavyonitendea Mema nanyi awakumbuke,Wema wake Mungu hauna kipimo,akitenda hakika utashangaa
Kali hii,,,was waiting for it
Nyie bwana naomba mrudi tena arusha natukeshe kama ilivyo kua wakati wa kurecod hakuna kuchoka mbarikiwe sana
love this song from zimbabwe
Amenishangaza,my song for graduation this year🎉
Mimi wa hapa Arusha nimeshangazwa zaid
Amen 🙏🙌 Amenishangaza
Amenishangaza huyu Yesu Mimi..sijui nisemeje❤❤😢
Amen Mungu utatenda kwangu mwaka 2024😢
Fire sanaaaa Amaizing song melody God bless you mko na talent sana nyie watu
I will perform this song on my weeding day cjui siku but lazima one love from Burundi