Moh, the legend.... Kauaaaaa hatari, ujue.. Wizzy ulivyoanza nkawa najiuliza, kaka mkubwa atatambaaje humu. Kaonesha kuwa yy ni legend alaf fundi wa mziki. 👏👏👏
🎶 This song is an absolute banger! It hits all the right notes and gets me grooving every time I hear it. The artist's vocals are on point, and the lyrics are so relatable. It's like they took the words right out of my mouth! This song has that special something that makes it stand out from the rest. It's got that mature vibe that just oozes confidence and style. I can't help but turn up the volume and sing along every time it comes on. So, keep jamming to your favorite song And let the good vibes flow! 🎵✨"
Just saw this and i cant stop playing,been a big Wizzy fan toka way back even thou am Kenyan 🔥🔥that tune is maad and Big shout out to the Legendary Jay Moe ❤️
Unyama mwingii saana kazi safsana very inspiring song big up mr country wizzy and Legendary Sooo Famous,,hii akili mingi ndio sijejua unatoa wapii legend 😂😂❤❤ much respect
Ahaaa kumamakee bonge moja mbupu km lembe vilee af umetisha kutuletea bishoo since waaaaaay back daah 🔥🔥🤜🤛 Kwnza hku nishachana verse km mbili hiiv km vip remix ihusike
Mie sina shida na like ya mtu😊 but honestly nina shida na comment ya countrywizzy na jay moe ndio furaha yng❤❤ itakamilikaa.................🎉🎉🎉 HIYO NJAA YA NYUMA BABA USIULIZZEEE UKIWA UNAKULA UNAOMBA USIMALIZEEE...great reality ❤❤❤❤ Jaymoe umeua sana humu dahhhh ngoma tokea Ramadan inaanza naskiza hii ngoma tuuuu can't explain my feelings about this dude❤❤❤ 31 March 2024.
Wizzy hii ngoma karii sanaaaaa Kila kitu kweny hili goma ni 🔥 kuanzia Beat, melody, swagger everything is Good ,for me i wish kam ukaifanyia REMIX ukaniwekea na wa2 flani ivi.. km lunya,we mwenye,moni nk..bila m'bana PUA MMOJA kwajili ya kuilainish kidg ,SEMA KAKA HILI GOMA MUMEUWA
Lets Geerr it 🏆
orcd.co/wayback_countrywizzy
Kali kinoma man❤
Ulivyopita humu ni hatari kak ❤ na ilo beat 🔥🔥
Moh, the legend.... Kauaaaaa hatari, ujue.. Wizzy ulivyoanza nkawa najiuliza, kaka mkubwa atatambaaje humu. Kaonesha kuwa yy ni legend alaf fundi wa mziki. 👏👏👏
Sijakosea kia shabik ako
Sijakosea kua shabiki ako number1
like za jay Mo gonga hapaaa, mwamba ni great off all the time
Kama jay moe amemfanya kamfunika Country boi gonga like hapa❤❤
Feak Lasty was here.... Like the melody and idea 💡
Mshaanza vita😂
always i love the melody of country wizzy
Huelewi kwamba jay ni brother so .
Jay moe ni zao la p funk majanii ndio maana ikatokea hivyoo utunduu mwingi wa mashairii + melody flow ndio usimguseee
Mkongwe ni mkongwe Jay moe ameflow vizur sana.
Jay moe kaua vibaya mno hadi sijaamini flow za kimbele uko😊
Class is permanent performance is temporary kama unaamini j moe kamficha mwamba gonga like
Kama unasikia melody ya Wayne umu likes mingii
😊
Waliorudia verse ya moe gonga like za kutosha
Oya wee ni noma
Pp@@alifocusmsham7623
Jaymoe payed homage to Ngwair ....❤NIPENI LIKES ZA JAYMOE
vjay Moe fire
Yeah man
Mooo kamfunika country🔥🔥🔥
Kama ujua JMO kafunika twende na like💥
🏌️♂️
NILIANZA NA MJENGO KABLA YA GARI....JAY MOOOOOOO🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Sema malegend bado wapo juu tu always. Naashum angekua ndan Brother Mangwea humu, daah! RiP
Alichokifanya jay moe🙌
Watoto wa 2000 watajua ni mwenzao au underground 😅😅😅😅😅
Hatari sanaaaa
🎉
Kama unamkubali FAZA COUNTY Gonga Like Hapaa🔥🔥🙌🙌
hit song
Je moe never disappoint❤❤
fr
Father j mor umetishaa kinoma🔥🔥🔥
Mo techniques nilikuwa nasubiri vers yako...noma mzee
nataman jay Moe angepiga verse mbili yaan umu Kuna ukatili Santa🔥🔥🔥🔥
🏌️♂️
Nawapenda wote guys bt Jay more mzee wa swaga aisee tangu enziiii zilee
Hii chemistry ni hatari sana🙌
From 🇰🇪 nakubali country 🙌🏿🔥🔥🔥🔥
Jay moe kisiki kisichochipua bado yupo vile vile hachuji wala hazeeki,, wanakuja wanapotea ila yeye yupo vile vile tu, Big up Jay moe umeua👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
🎲
🎶 This song is an absolute banger! It hits all the right notes and gets me grooving every time I hear it. The artist's vocals are on point, and the lyrics are so relatable. It's like they took the words right out of my mouth! This song has that special something that makes it stand out from the rest. It's got that mature vibe that just oozes confidence and style. I can't help but turn up the volume and sing along every time it comes on. So, keep jamming to your favorite song
And let the good vibes flow! 🎵✨"
Countrywizzy & Jaymoe you guys killed it
Oyaa ili nidudee ankoo kip running as usual
HUYU MNYAMWEZI KAMA HAKUSTAHILI KUZALIWA TZ HAPA HATA HUYO J MOE CHUPA KAMA MBELE HIVI🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥
Daaaaah umeonaaa kama mimi, wizzy kama wambeeele man
This song Sound with magical Voice contry wizzy was Lit❤️🔥
Daaaah Jay Mo kill it 🔥
Wow mmejua kunifurahisha nilmmiss sana kaka yangu jay moe👊👊 and countrtwizzy ngoma kali ubunifu wa kutosha humu ndani🔥🔥🔥r.i.p ngwea🕊️🕊️
Doooh huu mverse wa mchopanga ni 🔥🔥🔥🔥🔥
Hii nyimbo Naweza mfananisha Country Boy ndyo kama Lil Durk Na Jay moe kama J.cole Yaan kuna Bridge Ya 2 Generations Hapa Kazi nzur sana country Boy🎉
Just saw this and i cant stop playing,been a big Wizzy fan toka way back even thou am Kenyan 🔥🔥that tune is maad and Big shout out to the Legendary Jay Moe ❤️
Ngoma ni kali sana uwandishi uliotukuka,chupa frani alinaga mmbo mengi 💯🎧🎤🔥🔥🔥
Aise hili dude ni kali sana …S/O to the king country wizyyyyy and jay moe …way back hatari
Sema wee Jay moe balaa Bado inatisha mzee
Kumamake ngoma kali Sana
You kill broh
Jay Moe hazeeeki man, kawa na flow tamu more than
Country apewe maua yake🎉🎉🎉🎉🎉🎉 hot song congratulations bro
Jaymoe so famous 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌
Unyama mwingii saana kazi safsana very inspiring song big up mr country wizzy and Legendary Sooo Famous,,hii akili mingi ndio sijejua unatoa wapii legend 😂😂❤❤ much respect
Way back bonge la chuma
Country swagg zakuzidi
Ila
J.moe kauwa
hapana axe kaka wizzy huu mziki wako sidhan kama kuna baba mwingine wa trap kama hii❤❤❤❤❤ much love for you bro
Jay moe 🔥🔥🔥🔥
🎉
Juma mchopanga Jay moe ni mtu atare sana kweny kuandika Bars 🔥🔥
Like za country wizzy gonga apa🔥🌎😎
The father
KAka .... Mm wakwnza kukulike Matomedia Tz ❤
Zimefnyaje
Hii imeenda
Swag daddy,Gaddafi one more tym
Moe is absolutely up there with the all time Greats, Wizzy umepigika vibaya mno humu.
Jay to the moe #fameous Never disappoint 🎉
mkongwe mkongwe tuuuuuuuu jmoooooo
Mo Mo Mo Mo. Kitasa Kabisa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Toka way back 🙌🙌🙌💯💯💯
Mamae jay moe famous 🙌🙌🙌🙌
Watoto wa country tujuane
Another lever
Jay Moe kubabakeee💥💥💣
Hii bonge la ngoma jay moe way back
Much love country 🔥🤩🥰😍
Bonge la ngoma kumalamamaake wote mmeuwa sema melody tamu
Sitochoka kuwa shabiki wa wizy🔥🔥🔥
Hapo kwenye "R.I.P Albert Mangwea" .. really took me way back. This is a classic hit!!
Mo techniques Mo Famous🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
RIP NGWEA❤
Country wizzy ni noumaa hiooo🔥🔥
Ahaaa kumamakee bonge moja mbupu km lembe vilee af umetisha kutuletea bishoo since waaaaaay back daah 🔥🔥🤜🤛
Kwnza hku nishachana verse km mbili hiiv km vip remix ihusike
Hii ni sauti ya young thug kabisa... Gonga like kama unamkubali wizzy country
Ver very true😂😂
Jay moe weka namb apa tukuchangie utuimbie ngoma moja tu
Moe nailed it.. I didn't hope he could fit on this beat I was wrong
Jay to the moo✊
Yule boy❤
Naipata love toka way back
Good sampling #Extravagant. Shout to Nasty C... Jay mo umelizika beat kaka🔥🔥🔥🔥🔥💪🏾
alafu kwa mbalii akatumia style ya Young Thugg kurap
Kwa mbalii cheque ft Fireboy- history
Especially the beat
@@julius_wankyoyah naskia melodic rap. A-boogie, Cheque, J.I the Price of NY type
Beat tu ndio imekuwa sampled, ila wamepita nayo tofauti kabisa, na actually wameua kuliko nasty c
Huyu jamaa fundi sana, your a GOAT bro, wanaobisha wabishe your GOAT 🐐
Lazima tujifunze Ku appreciate vitu vikali vya ubunifu mkubwa🔥🔥🔥💯💯💯
Mamaqe ngoma la moto kisengduuh 🚬🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🎧
Kali sana wakubwa...
Dah jay more on top toka way back ... mzee kagoma kuzeeka more tekiniki
Nyie Baba ni Baba Tuu #JayMo 🔥🔥
Kwaadogo ambao hamjui jay moe ni nani. Njoo hapa niwape somo la history
Daah jay moe ni rapper wangu bora siku zote 🙌🙌
Mie sina shida na like ya mtu😊 but honestly nina shida na comment ya countrywizzy na jay moe ndio furaha yng❤❤ itakamilikaa.................🎉🎉🎉 HIYO NJAA YA NYUMA BABA USIULIZZEEE UKIWA UNAKULA UNAOMBA USIMALIZEEE...great reality ❤❤❤❤ Jaymoe umeua sana humu dahhhh ngoma tokea Ramadan inaanza naskiza hii ngoma tuuuu can't explain my feelings about this dude❤❤❤ 31 March 2024.
Jay moe mwamba kabisa 🙌🏿 way back 🔥🔥
Jaymoe mnyama sanaaaa
Jay moe kaua lakini what's up my bro country unajua
Legend JumA MChopanga "Jaymoe"🔥🔥🔥
Ngoma hii kali sana
Jay mo never disappoint , he boy got flow kali kinyama
Another hit song trap beat 🔥🔥🔥 wizzy 💯
Jay mo mr famous 💯💯😳 umepita kinyama aise 👏👏🔥🔥🔥🔥
"Good music lives forever 🎧☺️"
Moe technique murdered this. This is a masterpiece. Waaaaybaack
Tangu nianze kuskiza HIP HOP.
Hii ndo hip hop yangu ya kweli kabisa
This Combo ni kwere asee
🎉🎉❤️🏆
Wizzy hii ngoma karii sanaaaaa
Kila kitu kweny hili goma ni 🔥 kuanzia Beat, melody, swagger everything is Good ,for me i wish kam ukaifanyia REMIX ukaniwekea na wa2 flani ivi.. km lunya,we mwenye,moni nk..bila m'bana PUA MMOJA kwajili ya kuilainish kidg ,SEMA KAKA HILI GOMA MUMEUWA
Jay moe on fire spitting it hard
Another smash from wizzy alongside legend Jaymoe ......thanks for good music
Me naona country ameenda toe to toe na brother ake fair fight❤
I love the creativity you put into this. That old school set is fire 💯!
And one more thing, its always good to see Jay Moe do his thing again.
Legend.
Kak wizzy hip hop unaitendea haki......... Way back ya moto💥💥💥💥
Oyaaa jay mo kiboko alafu long time kwenye game toka long Mzee landlord na alianza na kibanda mpaka kupush ndinga salute Brazamen j_more
Noma sana jey mo hazeeki babu nakubari mwamba bonge moja ngoma bonge corabo
Noma🎉
Melody tuu mbajoo najikuta nalia af nyimbo siyo ya kusikitisha....I like this song brow