PRODUCER BOB MANECKY : DIAMOND PLATNUMZ MJUAJI SANA SIPENDI KUFANYA NAYE KAZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 чер 2024
  • Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
    BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...
    Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
    Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 44

  • @MusaJuma-jr7wb
    @MusaJuma-jr7wb 6 днів тому +19

    Sio mjuaji anakili kuliko wewe zuzu

  • @imanimhagama4647
    @imanimhagama4647 6 днів тому +10

    Diamond platnumz ndio lile jiwe walilolikataa waashi na ndio limekuwa jiwe kuu limeshikilia jengo dadeki

  • @samyspesho1698
    @samyspesho1698 6 днів тому +11

    Huyu pia ni mjuwaji

  • @imanimhagama4647
    @imanimhagama4647 6 днів тому +8

    Saiv mnaumia mwana kashatoboa mlibana mlijua mmeweza saiv mnatamani kufanyanae kazi ila aibu kumfuata mnabaki na vijiba vya roho na mtakufanavyo

    • @beautyibrahim8428
      @beautyibrahim8428 6 днів тому +1

      Umeonaa we waliziba huku mungu akafungua kule😊

  • @einsteinmboje4730
    @einsteinmboje4730 6 днів тому +2

    Basi Naanza Kuelewa Kwann Diamond Anafanikiwa ...Anaujua Sana Mziki , Ambao Hawawaelekezi ndo Wapo Chini Yake Wote

  • @tomfoss9613
    @tomfoss9613 6 днів тому +2

    Wewe ndio mjuaji sana tena mvivu maana hutaki kuskiliza idea ya msanii. Mnataka mle pesa ya mtu kirahisi tu

  • @user-st3ws1ns5g
    @user-st3ws1ns5g 6 днів тому +8

    Hasa Bob ndio anajiona mjaja au? Diamond platnumz angekua hachagui hivyo asingekua alipo! Umesema juzi umemufanyia musani hivyo zairi umeuwa kipaji cha kijana kwa kujisifia kabisa choko wee.

  • @MusaJuma-jr7wb
    @MusaJuma-jr7wb 6 днів тому +12

    Kwani wewe ndio umemfikisha alipo rohombaya tu hamumuwezi simba

  • @kingkinye1419
    @kingkinye1419 6 днів тому +4

    Huyu mjuaji

  • @Leonardmpemba-xj1wy
    @Leonardmpemba-xj1wy 6 днів тому +3

    KICHWA KIKUBWAA NDIO MAANA HUNA HAKILI HAKILI CHOKO WEWE

  • @othinielkamyola3697
    @othinielkamyola3697 6 днів тому +11

    HUYU SIO MFANYABIASHARA NI MZURULAJI😂😂😂😂😂

    • @albertkadyanji9722
      @albertkadyanji9722 6 днів тому +3

      Kabisa uyu sio mfanyabiashara ana leta ujuaji na uvimbaji kwenye kazi eti mtu msumbufu wewe unataka hela unaangalia usumbufu peleka upumbavu wako mbele ya safari

    • @user-st3ws1ns5g
      @user-st3ws1ns5g 5 днів тому +1

      Majitu yanajihusisha na ushoga yanajiita wafanya biashara mbwa kabisa

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 4 дні тому

    PRODUCER+MUSICIAN=......

  • @JosephEmmanuel-eb7gj
    @JosephEmmanuel-eb7gj 6 днів тому +3

    Ndy maan yupo mbali kuliko nyie😅😅😅😂😂

  • @infodigtechforcommunityemp4103
    @infodigtechforcommunityemp4103 6 днів тому +6

    Anaakili kuliko wewe zuzu

  • @user-rx7te2px5d
    @user-rx7te2px5d 6 днів тому +2

    Anae ongea ukweli wake muacheni ni yeye,mkipata nafasi ongeeni za kwenu.Watz matusi so tamaduni yetu hiyo.

  • @johnsyonetz8323
    @johnsyonetz8323 6 днів тому +2

    HAYA LEO KIKO WAPI?? some times ujuaji unasaidia ili update kitu kizuri

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 6 днів тому +1

    Hujapata nafasi na unatamani lakini hupati unatamani uambiww njoo utakimbia bila chupi

  • @lulurubby2235
    @lulurubby2235 6 днів тому

    Diamond ana akili acha kuongea kama shoga

  • @sautikaliitz934
    @sautikaliitz934 6 днів тому

    Nomaaa

  • @jassonnelly3445
    @jassonnelly3445 6 днів тому +1

    Kwani ni nani huyu

  • @dripboymedia6032
    @dripboymedia6032 6 днів тому

    Mamaee

  • @infodigtechforcommunityemp4103
    @infodigtechforcommunityemp4103 6 днів тому +2

    Kweni wewe ndio umemfikisha hapo?

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 4 дні тому

    🤣🤣🔥🔥🔥

  • @kabwelerywamwatumu5078
    @kabwelerywamwatumu5078 6 днів тому

    Kwani huyu katokea kaburi gani?diamond level nyingine bro😂.

  • @shundathegreat1988
    @shundathegreat1988 6 днів тому

    Kwa Hiyo Kuna Bob Manecky na Manecky?

  • @REMEASYPIANO
    @REMEASYPIANO 6 днів тому

    Sio ujuaji kawaida mwimbaji anatakiwa kusikilizwa zaidi aidia zake maana yeye ndo kabeba aidia yakitu anacho taka kitokee hivyo producer niwajibu wako kumsikiliza mwimbaji anataka nini nasio wewe producer unataka nini

  • @kshayofurniture2941
    @kshayofurniture2941 5 днів тому

    Kwani huyu mshua amefanya hit gani mwaka huu ?

  • @fatmasaaed144
    @fatmasaaed144 6 днів тому +5

    Umenyoa kipala lakini akili huna 😂😂😂

  • @othinielkamyola3697
    @othinielkamyola3697 6 днів тому

    HAMJUI KULINGANA NA EXPO

  • @ddaddytz
    @ddaddytz 6 днів тому

    HUYU NANI ?? (who is this guy)😅

  • @user-pk1yl7zt8p
    @user-pk1yl7zt8p 6 днів тому

    Kajambe mbele uko mshamba mkubwa weee #simba n kama maj ucpo yanywa utayaoga

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 6 днів тому

    Sasa huyu nani anamjua hata atoe hit song? Mwanzo ni producer basi????

  • @lemeboyofficial
    @lemeboyofficial 6 днів тому

    😂😂

  • @WaziriRamadhan-ML
    @WaziriRamadhan-ML 6 днів тому

    Sawa ila wewe na diamond sasa leo hii nani mkubwa?😂😂

  • @mohamedmanga8391
    @mohamedmanga8391 6 днів тому

    🤪🤪🤪🤪🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @musiccaentertainment100k8
    @musiccaentertainment100k8 6 днів тому

    Diamond ni nyoka lakn huku a
    Inje hujifanya malaika. Watu waliokaa naye wakisema nyinyi huko nje mnabwabwaja na mitusi wakati hamjawahi kaa nayeye... Usimwamini mtu kwa kumwangalia

    • @user-pk1yl7zt8p
      @user-pk1yl7zt8p 6 днів тому

      Nyoko wivu utakuuwa. Tafta hela

    • @musiccaentertainment100k8
      @musiccaentertainment100k8 6 днів тому

      @@user-pk1yl7zt8p wivu gani wewe diamond unamjua wapi au ni kumuona tu mitandaoni acha usenge kuma wewe

    • @mhogomchungu7882
      @mhogomchungu7882 6 днів тому

      @@user-pk1yl7zt8pmwamba yupo sawa…uwez kuja studio we sio producer afu unataka usikilizwe ww tu …na inaonekana anakua anaisema vibaya ndo maana wanamaind…

  • @FadhiliMnyonge
    @FadhiliMnyonge 6 днів тому

    Mnataka mumtobangie awe anawatazama tuu?