Magoli | Tabora United 1-3 Fountain Gates | NBC Premier League 20/09/2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 вер 2024
  • Tabora United wamekula kichapo cha mabao 3-1 kutoka kwa Fountain Gate FC, mchezo wa ligi kuu ya NBC ukipigwa kwenye Dimba la Ali Hassan Mwinyi Tabora...
    William Edgar amefunga magoli mawili dakika ya 37 na 90, huku lingine likifungwa na Salum Kihimbwa kwa penati dakika ya 27.
    Goli pekee la kufutia machozi kwa Tabora limefungwa na Yacoub Sogne dakika ya 77 huku Heritier Makambo akikosa penati dakika ya 43.

КОМЕНТАРІ • 13

  • @ramadhanyahaya5737
    @ramadhanyahaya5737 5 годин тому

    William Edgar, a baller

  • @kimwerimwerondo708
    @kimwerimwerondo708 8 годин тому +1

    Huyu William Edger kama Mtanzania si aitwe National team atuna forward aseee watu kama Hawa ndo wanatakiwa sio kina BALUA wanalegea kama mlenda

  • @salehelikenji3006
    @salehelikenji3006 8 годин тому

    Ndugu zangu tabora daah

  • @AdinanMohamed-lq3xw
    @AdinanMohamed-lq3xw 8 годин тому

    ❤❤❤

  • @ommietrendz7175
    @ommietrendz7175 4 години тому

    TFF iangalie viwanja
    Majani mengi yanapunguza speed ya mpira ukipigwa pasi

  • @Tunzoo
    @Tunzoo 7 годин тому

    Mtu anagomboa goli moja afu dakika ya 89 na anashelekea kwa kunyamazisha watu😂😂😂.

  • @barakaonlinetv1318
    @barakaonlinetv1318 8 годин тому

    Uwanja mmbaya

  • @Niwajr
    @Niwajr 7 годин тому

    Hawa wangkuwa wamekamlika Simba axngtoboaaa

    • @nuhumaalim4976
      @nuhumaalim4976 7 годин тому +3

      Walikua 8 au 9

    • @atupelemsyani7411
      @atupelemsyani7411 7 годин тому +2

      ​@@nuhumaalim4976kaka huyo ni nyuma mwiko Hawa viumbe Wana shida sana we unaambiwa wenye akili ni wawili tuu huo ndo ukweli.

    • @abbytafa
      @abbytafa 6 годин тому

      😂😂😂 ndo hapo sasa​@@nuhumaalim4976

    • @Msabi-cp7wy
      @Msabi-cp7wy 47 хвилин тому

      Lig haijaisha

  • @salehelikenji3006
    @salehelikenji3006 8 годин тому

    Ndugu zangu tabora daah