Mashaaa Allah... Sheikh Othman unatuonyesha njia ya kujitatulia matatizo yetu. Allah akutatulie matatizo yako Sheikh wetu. Kweli kabisa sadaka ni kinga ela hatufatilii. Allah atuonyeshe njia kupitia mawaidha yako. Mungu akuweke Sheikh wetu.Asante sanaaaa. Ni kweli hata asie muislam. Viumbe vyote ni vya Allah lazma tuelewe hivyo. Hata sisi tunakupenda sanaaaa Sheikh wetu.
Inshaallah hiki kitu nilikuwa nakiwaza sana kukifanya ila nikawa na Hof kias kutokana na kipato changu. Ila leo imenipa nguvu na ujasiri. Inshaallah nitaanza muda sio mrefu
Naam shekh nakuomba sana kama utaweza kunielekeza mimi niko mbali kikazi nitawezaje kufanya hii ibad endapo nahitaji kuwaita nyumbani ili nije kula nao na nyumbani nimeacha watoto wangu itafaa wao wapike nakuomba samahani lakini shekh
Shukran sana Sheikh maneno yako sadaqta nami napenda nikuongezee kwamba mialiko na misaada ifanyike na kwa ndugu wa karibu pia,ukiwa wewe tajiri na nduguyo ni maskini basi anza kumkirimu na kumtatulia shida zake nduguyo kwanza then endelea na kwa maskini na wahitaji wengine.
A great listener to your mawaidha, be blessed always my sheikh. I have tried to reach you through your whatsaap but in vein. You never commented back hope you ware busy. Big love from Kenya
Na Wa onya using Wa Uzi ma imam ma sheikh awa ndi yo TWA tegemeya Allah alissma kuwa atacu nga Islam nikupitiya kwa awa sasa ukiwacezeya kazi yako yatakayo kukuta
I guess im asking the wrong place but does any of you know of a trick to get back into an instagram account? I was dumb lost the account password. I would appreciate any tips you can give me.
@Hayden Harley I really appreciate your reply. I got to the site through google and Im in the hacking process atm. I see it takes a while so I will get back to you later with my results.
Masha Allah Allah akuweke miaka mingi hap duniani yenye kheri nakupenda San kwajili ya Allah 😘😘
MashAllah ustadh mwezimungu akuweke pamoja na waalimu wenzako mi nko Kenya nakufuatilia darsa zako mzuri sana
Nikisia mawaiza yako moyo wangu unazidi kujaa imani masha Allah mungu akulipe kheri na mm uniombe imani yangu izidi Mara dufu insha allah
Shukra shekhe wetu mungu a. Kuweke
Mashaaa Allah... Sheikh Othman unatuonyesha njia ya kujitatulia matatizo yetu. Allah akutatulie matatizo yako Sheikh wetu. Kweli kabisa sadaka ni kinga ela hatufatilii. Allah atuonyeshe njia kupitia mawaidha yako. Mungu akuweke Sheikh wetu.Asante sanaaaa. Ni kweli hata asie muislam. Viumbe vyote ni vya Allah lazma tuelewe hivyo. Hata sisi tunakupenda sanaaaa Sheikh wetu.
Asantaa kwa Ilimu hii mungu akupe siha dhabiti
Mashallah amiin dua kwa sote
Mashaaallah Allah akuzidishi elmu yenye manufaa ww Allah atupe na sie aminnnnnnn tuombeee dual na Ss shekh othman
Wallah mm napenda niwe mwenye elmu na mm niweze kuwa mtoaji nasaha niombee dual Allah aniwezeshe niwemo katk makundi ya kher
sheikh othman tunashukuru kwa kutuzindua allah akulipe kila la kheri
Mashallahu jazaka llahu hery tutaaza kuyafanyiya kaz ishalla
Shukran shekh nakupenda kwa ajili ya Allah
Shukran mawaidha yenye.mafunzo
Shukran Sana shekh umenifundishs mengi
Maashaallah,, jazakallaahu khair
Amina shekhe
Shukran shekhe wangu Allah akuzidishie kheri
Maashaallah tabaraka Rahman sheikh ahsante cna Allah akubarik fii dunia u fil akhera aaammmmiiin Yaa rabby
sheikh Othman unajitahidi sana kûtoa darasa Allah akuhifadhi
MashaAllah,,shukran
Mashaa Allah tabaraka Rahman. Allah akuhifadhi kaka yetu asante sana.
Assalam alykum sheikh shukran Sana kwa ujumbe wako mm nakupenda kwaajili ya Allah mung akuweke siku moja nijikukuona 🙏
Walaikum salam warahmatullah wabarakatuh.
Mashaallah jazakallah khery allaah akuifadhi
As saallam Aalaiykum warrhmatullahi wabarakatuh
Shukran, sheikh ujumbee mzuri sana kabisa Allah akulipe MaashaAllah, safi Sana
Marshala nimepata funzo lililol Bora, m,mungu akupe wepesi ktk mafunzo yako,aamin
Shekhe sijui nikuombee duwaa ipi maana siwezi kueleza shukran zangu kwa allah na kwako piya kwa kisomo cha rukya
Allah akuzidishie inshallah
Nitakupigiya unipe maelekezo zaidi juu ya matatizo yangu allah akujaliye umli wa kheri zaidi
Mashaallah "shukran shekh wetu ujumbe mzuri Allah akulipe kheri inshaallah
Ameen
Mashallah shehe Mungu akuweke Inshallah tujifunze meng kupitia ww
Asalam alykum shekhe wetu mungu azidi kukuzidishia palipo punguwa unatuelimisha unatukumbusha asante sana
MashaAllah,Jazakkallah kheir🤲
Ameen
Waalykum msaalam waramatulah wabarakatul. Ammeen yaraab alamiin, insha Allah kheir. Shukran jazaaka Allah kheir 💗💗💗
🙏🙏🙏
Amiin Manshaallah Shek
Inshaallah hiki kitu nilikuwa nakiwaza sana kukifanya ila nikawa na Hof kias kutokana na kipato changu. Ila leo imenipa nguvu na ujasiri. Inshaallah nitaanza muda sio mrefu
Shekhe siku Kama sisikilizi mawaiza yako hakika kwangu naiyona siku ngumu sana kwangu
جزاك الله الخير 🙏
mashaa allah mashaa allah
Wanaopenda kudhalilisha watu huwa ni watu wenye husda mbaya sn
Mashalla kwasomo
Naam shekh nakuomba sana kama utaweza kunielekeza mimi niko mbali kikazi nitawezaje kufanya hii ibad endapo nahitaji kuwaita nyumbani ili nije kula nao na nyumbani nimeacha watoto wangu itafaa wao wapike nakuomba samahani lakini shekh
Mashaa allah
Mashekh wengi shida din waijua ila maslah kwa sana
Mashallah barak llah fikhy
inshallh
Shukran Allah atuongoze
Please niunge kwenye group lako la wasap 0628842209
Maashaallah, kweli kabisa
ماشاء الله تبارك الرحمن
Jazzakumllah Khery
امين يارب العالمين
As a lam aleykum mashaallah
Shkran Ata mm nakupenda kwajili y Allah..
Shukran sana Sheikh maneno yako sadaqta nami napenda nikuongezee kwamba mialiko na misaada ifanyike na kwa ndugu wa karibu pia,ukiwa wewe tajiri na nduguyo ni maskini basi anza kumkirimu na kumtatulia shida zake nduguyo kwanza then endelea na kwa maskini na wahitaji wengine.
mansha allah
AMIN.. IN SHA ALLAH
Shukran sana shekhe wetu MashaAllah
Alhamdulillah Rabbi l
Alhamdulillah Rabbi l
Alhamdulillah Rabbi l
Kweli kabisa nimekuelewa sana
Masha Allah
Jazakar allahu kher
A great listener to your mawaidha, be blessed always my sheikh. I have tried to reach you through your whatsaap but in vein. You never commented back hope you ware busy. Big love from Kenya
Na Wa onya using Wa Uzi ma imam ma sheikh awa ndi yo TWA tegemeya Allah alissma kuwa atacu nga Islam nikupitiya kwa awa sasa ukiwacezeya kazi yako yatakayo kukuta
@@musafiahlalbayt9978 wewe unaongea nini?Ebu andika vizuri watu wakuelewe
INSHAANLLA 👏👏🤲🤲
Swadakta sheikh kwa hapo kibri kinapata dawa labda uwe na moyo wa jiwe
Maashaallah
Maa shaa Allah
Ahsanta
Shekh Asthuman naiomba namba yako. Nina matatizo.
Asalaam alykum sheikh shukran kwa ujumbe wako Allah akuongeze Inshaallah.namba gani tunaeza piga kukupa kwa sisi tuliombali na Tanzania kwa dua??
Masha Allah ❤
Mashallah
I guess im asking the wrong place but does any of you know of a trick to get back into an instagram account?
I was dumb lost the account password. I would appreciate any tips you can give me.
@Malachi Nikolai instablaster :)
@Hayden Harley I really appreciate your reply. I got to the site through google and Im in the hacking process atm.
I see it takes a while so I will get back to you later with my results.
@Hayden Harley It did the trick and I finally got access to my account again. Im so happy:D
Thanks so much, you really help me out !
@Malachi Nikolai no problem :D
Mashaallah
Alhamdulillah Rabbi l
MashaaAllah jazzak la kheri
Mashallh